Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kutegemea cable nayo ni majanga tu! Leo jamaa wamenibandikia mechi ya city sina ujanja! Imenibidi nichungulie kwenye livescores.com!

pole mkuu mmepata la 2 kunako dk ya 64, kwa hiyo liv 2-1 newc
 
Asante Wa kwetu, ngoja tujikongoje ila ndoo tuliiweka rehani siku ya chealsick! Hatuna ujanja tena!

hapana mkuu waombeeni west warudishe hizo 2 walizopigwa kisha waongeze 1 tayar mtakua mabingwa kaka usikate tamaa
 
LFC Football team I'm proud of them na mashabiki wenzangu hapa wote kwa Kuwa pamoja kwenye fur aha na karaha well done kwa timu yetu LFC YNWA! Hakuna aliyetegemea tutafika mpaka final days. Pia tunawapa pongezi Manchester City Kuwa mabingwa wa Uengereza na kushangilia kombe katika Mji wao wa Manchester Clap Clap for them. I Love LFC I Love Liverpool.
 
Kuna watu magonjwa ya timu zao wanajifanya hawayaoni wanazuga wanashangilia Manchester City duh moyoni wanaojuwa hawawapendi ukiwa uliza eti hawawafikii kombe wacheni kudanganya roho zenu wehu wakubwa mpinzani wako unazuga kumshangilia muda mwingi si game moja tu si unafiki wahali ya juu.
 
LFC YNWA! I'm proud of my team, everton wangebeba nisingewashangilia hata mwaka mmoja na ushahidi comment zangu mtaona sijawahi kubishangilia Everton hata siku moja hata Arsenal sizani Kama wangewashangilia Totenham.
 
Bado game haijaisha hapo Anfield, kazeni bana huku game over...
 

Acha kujifariji...

Mpinzani wa United ni Loserfools...Shitty ni mtani wa jadi...

Sasa mtani wa jadi hana shida yoyote, kwani mwakani tunachukua tena kombe letu...

Ni heri nimfurahie mtani wangu kuliko mpinzani wangu...hii ndiyo sababu ya wanazi wengi wa pale OT kufurahia loserfools kuangukia pua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…