Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Liv 1-1 New agger63'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutegemea cable nayo ni majanga tu! Leo jamaa wamenibandikia mechi ya city sina ujanja! Imenibidi nichungulie kwenye livescores.com!
Anita wa New anakula red card 65'
pole mkuu mmepata la 2 kunako dk ya 64, kwa hiyo liv 2-1 newc
Asante Wa kwetu, ngoja tujikongoje ila ndoo tuliiweka rehani siku ya chealsick! Hatuna ujanja tena!
Liv 2-1 New 80'
mkuu nyie mmeshinda ngapi kwenu?Bado game haijaisha hapo Anfield, kazeni bana huku game over...
Bado game haijaisha hapo Anfield, kazeni bana huku game over...
Kuna watu magonjwa ya timu zao wanajifanya hawayaoni wanazuga wanashangilia Manchester City duh moyoni wanaojuwa hawawapendi ukiwa uliza eti hawawafikii kombe wacheni kudanganya roho zenu wehu wakubwa mpinzani wako unazuga kumshangilia muda mwingi si game moja tu si unafiki wahali ya juu.