Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Hebu tudefine maana nzima ya neno WORLD CLASS..

Hilo neno maana yake ya haraka ni "Ranking among the foremost in the world, Au ranking Among the world's best"..kwa maana nyingne ni kuwa ranked katka Highest class in the world!!

so hatuwezi hapa, kumuelezea world class player kwa sababu ya kuchezea team ya taifa au someone who has played on the biggest stage in football, mfano WC, UCL and competitions. zingine!!! coz tukitumia hicho kigezo, basi itakuwa ni kwamba mchezaji yoyote wa New zealand, Honduras, Serbia na the likes nae ni World Class sababu ameichezea team yake ya taifa kwny stages zote kwanzia under 21 mpaka kwenye WC, au mchezaj wa sparta plague au FC basel nao nae ni World class player coz amecheza UCL!!

Hapa tunaongelea mchezaji ambaye ana vitu muhimu vya ziada ambavyo vinamtofautisha kwa mbali na mchezaji mwingine wa aina yoyote, Vitu vya ziada ambavyo vinamfanya astand out from his peers!!!

Ningependa kuongelea kwa kizazi hiki, hapa unawakuta watu kama, Messi, Ronaldo, Iniesta, Aguero, Van Persie, Suarez, Lahm, Pirlo, Thiago Silva, Xavi, Etc..wachezaji wa aina hii wenye uwezo binafsi na uwezo wa ziada, wachezaji wenye highest level of skills when it comes kwenye football, wachezaj ambao wanaweza wakaibeba team pale wanapohitajika, wachezaji ambao wana uwezo wa kufunga kila aina ya goal na kwenye nafasi yoyote ile..Mchezaji ambaye ana vitu vikubwa vya ziada!!!

Huwezi kumweka Dzeko daraja moja na kina Suarez, Rvp, Ibra au Falcao, Au nasri umweke daraja moja na Kina Iniesta!!!

Na fact ya kuchezea team ya Taifa, haikufanyi uwe World Class playet as far as the true definition of "World Class is Concerned"..Akina phil jones, Smalling, Clevarly, Henderson, jon flanagan, Ashley Young, Raheem Sterling, Luke shaw na wengneo, wanaichezea team ya taifa tangu walipokuwa under 17, does that rank them kuwa World Class players???

Kuchezea team ya Taifa haikufanyi uwe World Class players hata kidogo!!!..The definition of world class provide it all!!!
 
Mkuu Pazi si kwamba tunawasanifu Wanaotizama kwenye vibada Au Ni aina gani ya tv unayotumia! Vibandani Ni kizuri sn tu! Na tv yoyote Ni Nzuri ila nilikua namwambia ndugu Okhondima Kua Ukiwa Na Dstv Ni vema UKAWA Na Smart tv!
niliwaelewa wote na ninafahamu kwamba muda mwengine vizuri unatulia home na familia na kuna game unatizama na kick undi cha watu nilikuwa tu na Mie nafurahisha baraza kuhusu TV tumbo na TV Chogo ila wanadamu sasa hivi tumezungukwa mno na umeme mkuu!
 
niliwaelewa wote na ninafahamu kwamba muda mwengine vizuri unatulia home na familia na kuna game unatizama na kick undi cha watu nilikuwa tu na Mie nafurahisha baraza kuhusu TV tumbo na TV Chogo ila wanadamu sasa hivi tumezungukwa mno na umeme mkuu!


Ni KWELI Mkuu! Huu Umeme umetuzunguka sn!
 
Brendan rodgers has won the overall lma manager of the year!!

 
Nafikiri topic yangu imehusu wachezaji wa Man City na siyo wachezaji ambao umekuwa ukiwataja wakati ambapo hawahusiki mojamoja na hoja ya msingi. Ila inaonyesha umekuwa ukiwataja ili kuzuga na kujenga justification ya kile unachokifikiria.

…ehehehehe naona ishu ya difference umeiweka kando…

Kama unakumbuka mwanzoni nilisema kwamba wachezaji hao wanasifa nyingi na moja wapo ni recognition na heshima kwa nji zao. As far as I can see hata hao ambao umekuwa ukiwataja as world class players wako kwenye timu zao za taifa

Ulichokieleza is your definition and personal perceptions which you’re entitled too.

First, Kolarov is the best Serbian footballer of the year and hakuna namna ambapo washabiki wa mpira wa Serbia na man city hawatompa thamani ya the best world class. Sheikh Mansour spends his money to get world class players and that is what we have been witnessing, season inn season out! And there is no way utawambia waspaniola kwamba wachezaji wao wa timu ya taifa siyo world class.

Secondly, kuonyesha kwamba what you have said is your personal views and should remain that way…nagusia hapo uliposema kwamba kuwezi kumweka Dzeko daraja moja na Suarez. Kwenye mahojiano ya hivi karibuni waandishi wa habari walitaka kupata kaoni ya mourinho kuhusu ubora wa wachezaji kwenye BPL. Jose bila kuuma maneno alitoa ya moyoni na kutamka kwamba Dzeko is better than Suarez…

Thirdly, kuonyesha kwamba what you have said is your personal views and should remain that way…Brendan Rodgers was recently crowed LMA manager of the year. Hii siyo bahati mbaya bali ni kutokana na kazi nzuri aliyoifanya kwenye msimu wa 2013-14. He has been respected and won the vote of his fellow tacticians…angalia mahojiano yake na Sky sport baada ya mechi ya Liverpool na Newcastle halafu utasikia amesema nini kuhusu Man City.

Hapo ndipo utagundua kwamba ulichotulimbikizia ni mawazo yako ambayo hayaendani na waalimu

SWALLOW IT!!
 

Hahahahahahah!!!!

Aiseee!!!!..kwahyo kama Mourinho kasema Dzeko ni bora zaidi ya suarez, na wewe unayachukua hayo maneno..utawezaje kusema Striker mwenye magoli 16 tu msimu huu ni bora zaidi ya striker mwenye magol 31 msimu huu???...Seriously???

Na nmeshasema clear hapo juu, kuwa kuchezea national team, hakukupi nafasi ya kuwa consdered kama World Class player!!!as far as the true definition ya "world class" is concerned hapa!!!

BR ameshinda LMA kwasababu ya kuitoa Liverpool No.7 mpka nafas ya 2 this season!!!..Tony pulis kashinda PL manager of the year kwa kuitoa crystal palace kutoka nafas ya 20 mpk ya 11..kwa miezi minne tu aliyokuwepo klabuni!!

Me huwa natoa mifano sahihi kila ninapokuwa najibu hoja kaka, Ukiongelea suala la kwamba Sheikh Mansor hawez kutupa hela yake kununua Wachezaji wa kawaida lazima nikushangae, Coz mchezaji hazaliwi akiwa world class player bali anatengenezwa mpaka kuja kuwa world class player..mfano kwa Arsenal kuna watu kama kina Thierry Henry, Patrick Viera na kina RVP, Man utd mfano mzuri ni Christiano Ronaldo, Barcelona ndo unakuta kina Messi, iniesta na the likes, hawa wakati wananunuliwa au kupandishwa vikosi vya kwanza hawakuwa concerdered kama World class players hata kidogo.Pale Man city kina Vicent Kompany, Zabaleta, Yaya toure nani aliowaconsder kama ni world class players wakati wanasajiliwa???..and top of all, Yaya toure aliondoka Barca baada ya ukosefu wa namba ya kudumu chini ya Guardiola, Na sasa ni moja kati ya midfielder hatari sana duniani!!!

Maana halisi ya maneno "world class" sijayatoa kichwani mwangu, Unaweza ukagoogle katika online dictionary na kuyakuta kama yalivyo!

Hoja yako ni nyepesi sana!
 


Liverpool forward Luis Suarez has collected a double honour from the Barclays Premier League, adding the Player of the Season award to his Golden Boot prize as top scorer

CC.Jose Morinyo na Dzeko wake.
 
Nimeangalia maelezo yako ambayo umekuwa ukiyatoa toka mwanzo wa conversation yetu, yanikumbusha kipindi kile cha uhai wa TRC. Nilikuwa nikiona engine zikifanya shunting na kuhama toka reli moja kwenda nyingine…

Mazingira yaliyonifanya kumtaja jose hayana mahusiano yoyote with what I think between Lui and Dzeko. I tried to explain to you kwamba umetoa mawazo yako ambayo ni sahihi kwako. Mfano wa mourinho ni katika kukuonyesha kwamba kuna watu ambao wana nafasi kubwa kwenye soka la BPL ambao wana mawazo kinyume na hayo unayoyasema wewe

Kuhusu BR hapa unaonekana kuandika kichekesho...sababu ya BR kuwa LMA ni kuitoa Liverpool no.7 hadi 2...seriously!!? Any way sina muda wa argument kwenye hilo sababu mtu yeyote anayejua mpira anakushangaa. Even if that is the only reason (Every one know it’s not) then does it mean kwamba alichokisema kuhusu Man City hakina msingi?

Kumfananisha Sheik Mansour na Arsenal, Man U ama Barca ni kutuletea vituko! Arsenal, Man U Barca ni timu ambazo zimekuwa zikisimamia na kuendeshwa katika missing either ya kifedha or tikitaka (Arsenal) ama kiserikali/National team back bone (Man U, Barca). Sheik does not care about your traditions, tiki-taka, history or your government. He is here to do business papo kwa hapo. Ndiyo maana wale wote walioonekana kuzengua milangoilikuwa wazi bila ya kufikiria kwamba wamegharimu timu kiasi gana…robinho, tevez, Boateng, balotelli,maicon…

Kama ulihangaika kugoogle ili kupata maana ya “world Class’ then hapo kuna tatizo.

Mazoea hujenga tabia…careful usije ukawa KILEMA!!
 

Main reason ya BR kupewa LMA msimu huu, Ni kwasababu ya kuibadilisha liverpool kwa mda mfupi, na kuitoa nafasi ya 7 iliyokuwa msimu uliopita, mpaka kuifanya iwe serious title contender kwa msimu huu 2013/2014 kwa points 84 na 101 goals, na kupoteza game 6 tu katika game 38.

Asa kama kuna sababu nyingne kubwa zaidi ya hiyo me siijui!

Kuhusu mjadala wa World class players, naomba niufunge, maana ake tumetofautiana sana kimtazamo!!

Ulitaka nikutolee kichwani maana halisi ya neno "world class'?..
 

Porojo tupu. Sioni cha kushika.
 
CONFIRMED: Liverpool itakuwa katika Pot 3 msimu ujao wa UCL, so kwa mpango huo Liverpool itakuwa grouped with 2 other big teams..
 

am feel sorry 4 this little ass
 
am feel sorry 4 this little ass

Nig' siyo kwamba siwezi kukutukana, lakini natambua mpaka umeweza kipost hicho kitu hapo, ni kwamba we ni mtu mzima na unajitambua, so nakulindia heshima yako!

Hunijui, Sikujui...Naomba tuheshimiane tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…