MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Mkuu naona unaanza kuhama kwenye reli. Kwenye list tunayoiongelea hakuna Liverpool but wachezaji wa Man City. Nimekupa sababu yangu ya kuwaweke kwenye world class players. Na moja wapo ni vipaji vyao kuonekana na kulitumikia taifa since under 21 until now in senior level. Recognized na kusajiliwa with one of the wealthiest club in the world. Wewe unabisha bila kutoa sababu yoyote...serious!? nipe sababu ya kubisha kwamba they are not world class players. Tofauti ya world class players na top class player ni kitu gani?
Hebu tudefine maana nzima ya neno WORLD CLASS..
Hilo neno maana yake ya haraka ni "Ranking among the foremost in the world, Au ranking Among the world's best"..kwa maana nyingne ni kuwa ranked katka Highest class in the world!!
so hatuwezi hapa, kumuelezea world class player kwa sababu ya kuchezea team ya taifa au someone who has played on the biggest stage in football, mfano WC, UCL and competitions. zingine!!! coz tukitumia hicho kigezo, basi itakuwa ni kwamba mchezaji yoyote wa New zealand, Honduras, Serbia na the likes nae ni World Class sababu ameichezea team yake ya taifa kwny stages zote kwanzia under 21 mpaka kwenye WC, au mchezaj wa sparta plague au FC basel nao nae ni World class player coz amecheza UCL!!
Hapa tunaongelea mchezaji ambaye ana vitu muhimu vya ziada ambavyo vinamtofautisha kwa mbali na mchezaji mwingine wa aina yoyote, Vitu vya ziada ambavyo vinamfanya astand out from his peers!!!
Ningependa kuongelea kwa kizazi hiki, hapa unawakuta watu kama, Messi, Ronaldo, Iniesta, Aguero, Van Persie, Suarez, Lahm, Pirlo, Thiago Silva, Xavi, Etc..wachezaji wa aina hii wenye uwezo binafsi na uwezo wa ziada, wachezaji wenye highest level of skills when it comes kwenye football, wachezaj ambao wanaweza wakaibeba team pale wanapohitajika, wachezaji ambao wana uwezo wa kufunga kila aina ya goal na kwenye nafasi yoyote ile..Mchezaji ambaye ana vitu vikubwa vya ziada!!!
Huwezi kumweka Dzeko daraja moja na kina Suarez, Rvp, Ibra au Falcao, Au nasri umweke daraja moja na Kina Iniesta!!!
Na fact ya kuchezea team ya Taifa, haikufanyi uwe World Class playet as far as the true definition of "World Class is Concerned"..Akina phil jones, Smalling, Clevarly, Henderson, jon flanagan, Ashley Young, Raheem Sterling, Luke shaw na wengneo, wanaichezea team ya taifa tangu walipokuwa under 17, does that rank them kuwa World Class players???
Kuchezea team ya Taifa haikufanyi uwe World Class players hata kidogo!!!..The definition of world class provide it all!!!
