Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LFC is said to be close in signing Emre Can frm leverkusen,simfahamu huyu Can,ni mchezaji wa aina gan,atatufaa? Au atakuwa muendelezo wa kina aspas,alberto,and Co.?
 
LFC is said to be close in signing Emre Can frm leverkusen,simfahamu huyu Can,ni mchezaji wa aina gan,atatufaa? Au atakuwa muendelezo wa kina aspas,alberto,and Co.?

Emre Can ni DM, yaani ndo namba ambayo anaimudu zaidi uwanjani, Lakini ni Versatile player, Anaweza kucheza kama Kama LB, DM, and AM, This season pale Bayer Levarkusen alikuwa anacheza kama LB, karibia game zote..Amecheza game 29 pale Levarkusen..na he's only 20, he turned 20 this january..

Nadhani Sami Hyypia atakuwa kamnong'oneza kitu BR kuhusu huyu dogo..

Binafsi sijaiFancy sana Hii Move, Lakin lets wait and see aisee if the kid can prove me wrong...
 
EMRE CAN Vs DORTMUND
http://www.youtube.com/watch?v=yEpHGLpuA0s&feature=youtube_gdata_player

EMRE CAN Vs HERTHA BERLIN
http://www.youtube.com/watch?v=uh87H_u4FAw&feature=youtube_gdata_player

ImageUploadedByJamiiForums1400937518.407128.jpg
 
LFC is said to be close in signing Emre Can frm leverkusen,simfahamu huyu Can,ni mchezaji wa aina gan,atatufaa? Au atakuwa muendelezo wa kina aspas,alberto,and Co.?
Ah atakuwa Kama Luis Alberto tu tunatakiwa kuleta watu Wenye Nguvu na skill katikati sio Emre Can Sema Rogers anajuwa analofanya Sema afanye mapema siku hizi kuna timu ukitaka players nao wanataka humo humo Kama Spurs alafu wanajifanya big team na Suarez naona anaumia Kama atakuwa Tatizo wachukiue tu million 100 static zinaonyesha sie better bila Luis Suarez so Kama kuuza wauze mapema walete watu wamaana.
 
who will replace suarez?
 
if that's true,why should LFC sell irreplaceable player? Yale ya Bale na spurs yatatukuta!
sie sio Spurs na hayawezi kutakuta wakiweza wafanye tu Hivyo au wakimbakisha pesa yote ya Tranfer wapeleke kwa Yaya Toure na Beki Mmoja mkali anayecheza kucheza kati na kushoto Andre Wisdom arudishwe kulia na Tiago Llori arudi kutoka Loan najuwa Yaya ni ndoto ikiwezekana aje Huyo sie Middle zenye kujuwa kukaba na kupasua hatuna piga shuti la nje bao.
 
CONFIRMED: Brendan Rodgers has signed a new long-term contract with the Club.

#LFC
 
sie sio spurs na hayawezi kutakuta wakiweza wafanye tu hivyo au wakimbakisha pesa yote ya tranfer wapeleke kwa yaya toure na beki mmoja mkali anayecheza kucheza kati na kushoto andre wisdom arudishwe kulia na tiago llori arudi kutoka loan najuwa yaya ni ndoto ikiwezekana aje huyo sie middle zenye kujuwa kukaba na kupasua hatuna piga shuti la nje bao.

luis suarez is irreplaceable.
 
ulimuona Sakho last night? He was fantastic! Afu alikuwa captain...nadeclare interest,me ni shabiki wa Sakho!

Sikupata nafasi ya kuangalia game yao Aisee!!

Ukiniambia Nichague kati ya Sakho na ilori, nadhan ntamchagua ilori, Me sakho simkubali kabisa..Hata Coates ntamchagua yeye badala ya Sakho!!!
 
Sikupata nafasi ya kuangalia game yao Aisee!!

Ukiniambia Nichague kati ya Sakho na ilori, nadhan ntamchagua ilori, Me sakho simkubali kabisa..Hata Coates ntamchagua yeye badala ya Sakho!!!

mkuu MosDef,unamchukia Sakho kama mimi ninavyomchukia Kolo. Sakho ni bonge la beki,trust me,ipo siku utaniunga mkono.Ilori bado mdogo sana,no coments on him.
 
Last edited by a moderator:
nimesoma mahali BR amemtoa Suso kama part ya deal plus euro 20 mil kwa sevilla kumsajili Moreno,inaniuma,Suso ni mchezaji mzuri,bora angemtoa alberto plus aspas plus hyo 20 mil.
 
Back
Top Bottom