MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
nimesoma mahali BR amemtoa Suso kama part ya deal plus euro 20 mil kwa sevilla kumsajili Moreno,inaniuma,Suso ni mchezaji mzuri,bora angemtoa alberto plus aspas plus hyo 20 mil.
hizo habari hazijawa confrimed bado, Ni just rumours tu, Deal ambayo imekuwa confrimed ni ya Emre Can tu, ambayo liverpool wameshatrigger Release clause, kilichobaki ni personal terms tu..
English outlet ilyoreport ishu ya Moreno ni Daily express (Paul Joyce), ambaye anasema tumeoffer £16 + Suso, wakat jana usiku reports za spain zilisema tumetable bid around £20mill tu bila mchezaji!!
So, ishu ya Moreno ni just rumours tu, Tony Barret na James Pearce bado hata hawajaziconfirm hizo habari..Labda tusubiri baadae!