Kumukuza kocha sasa hivi haitasaidia kitu maana tatizo ni kwenye quality ya wachezaji na confidence yao. Heri wamuache tu amalizie alichoanza then mwisho wa mwaka tuangalie tufanye nini
We have also purchased the most expensive unfit player in the world in the name of Aquillani
mkuu kwakweli jamaa wananikosesha raha kabisa yani acha tu
ila kiukweli yankeees ndo wanafanya tukose quality, ndo maana benitez akikaona katoto kanachipukia anakabeba kwa bei rais..ila ka kelly kamejitahidi nadhani katoka kwenye academy
pia hamna kocha wa maana atakae kubali kukaa na yankees, kwani waarabu vip?wananunua lini club?
Wikiendi hii huenda tukamfukuza Benitez, naamini Tores na Gerard hawatakuwepo
team sina kwa kweli nafkiri coach tumuage
carriger ndo hoovyooo
mkuu mbona mmepoteza upendo kwa macherano wewe na kocha wako? maanake naona na wewe list yako umemuekea (mach/gerro).macherano huwa anawasaidia sana kukaba pale kati mkuu manake ferguson lazima hakupe anderson pale kuweka ugali.Belo;
Hawatufungi hata iweje, hizi timu ni kama simba na yanga.... hata uwe na form gani siku hiyo mambo huwa kiajabuajabu!!
I hope hawatamfukuza tumalize msimu ndio aondoke... XABI GAP IS NOW MORE THAT EVIDENT
na manure mie ntapanga
Reina
Glen
Insua
Carra
Skertel
Agger
Kuyt
MAsch/Gerro
Torres
Yossi
Babel
Res
Gerro/MAsch
Kelly
Aurelio
Lucas
etc
Hali si nzuri mazee
Umeanza kukubaliana nami.....nililisema hili mwanzoni nikapingwa na wazee wa liver fool!
mkuu mbona mmepoteza upendo kwa macherano wewe na kocha wako? maanake naona na wewe list yako umemuekea (mach/gerro).macherano huwa anawasaidia sana kukaba pale kati mkuu manake ferguson lazima hakupe anderson pale kuweka ugali.
jana tena kaenda kumtoa benayoun anamleta veronin ,nikasema kweli benitez bangi zake mbaya.
Belo;
Hawatufungi hata iweje, hizi timu ni kama simba na yanga.... hata uwe na form gani siku hiyo mambo huwa kiajabuajabu!!
I hope hawatamfukuza tumalize msimu ndio aondoke... XABI GAP IS NOW MORE THAT EVIDENT
na manure mie ntapanga
Reina
Glen
Insua
Carra
Skertel
Agger
Kuyt
MAsch/Gerro
Torres
Yossi
Babel
Res
Gerro/MAsch
Kelly
Aurelio
Lucas
etc
Hali si nzuri mazee
Aisee mie ni Kops kinoma ila uvumilivu unanishinda kumsubiri mtu miezi yoye hii waka tunakula vichapo vya kufa mtu... Tatizo reina akishazoea kuokota ile mipira ndani atasahau kabisa kule kuhangaika kwake
Hakyanani nawaloga Manure, wachezaji wote jumamosi nawashusha mabusha!!
Mkuu, kama umecheki vizuri, hakuna holding person pale, MAsch amekuwa sana mkimbiaji akitafuta sababu ya kuuzwa, kama unakumbuka katika goli 7 tulizofungwa kwenye mechi nne, utakuta mchango wake mkubwa
He needs a break for two matches or to come as a sub!
team yetu inaskitisha sana kiasi ambacho inanifanya niwe mzito sana kuangalia game zetu, ila chakufanya yankees waondoke maana hawatoi hela ya kutosha kuleta quality players anfield
tunawhezaji wanne tu wazuri Ger, Tor, Masc na kipa hao wengine wazugaji tu na hatuna strong bench..Rafa anamatatizo yake ya kufkuza wachezaji mfano sioni umuhim wa kumuweka Ngog afu unamuuza keen na crouchQuality players gani mnaowataka tena?