Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kulia na kucheka zote kelele....msife moyo bado mna nafasi!
 
Kumukuza kocha sasa hivi haitasaidia kitu maana tatizo ni kwenye quality ya wachezaji na confidence yao. Heri wamuache tu amalizie alichoanza then mwisho wa mwaka tuangalie tufanye nini

Umenena yote mkuu... Ila The depth of squad is very good tatizo lake ni kuondoa ule uasialia wa ukocha wake [roration policy] na kuingia kwenye english propaganda... he has lost the confidence of any reserve member and this is negative for any championship contender!!!

I didnt see Ryan Babel, i saw Yossi off for the pony [porno] Andriy, Lucas is still shaking his arse on the filed while Carra was still enjoying his disability on the field

We have also purchased the most expensive unfit player in the world in the name of Aquillani

But wait, i am still for the kops and i two weeks we will be rolling, qualifying for Champions League and move to second by Christmas

Huhuuuuuuuuuuuuu
 
We have also purchased the most expensive unfit player in the world in the name of Aquillani

Umeanza kukubaliana nami.....nililisema hili mwanzoni nikapingwa na wazee wa liver fool!
 
mkuu kwakweli jamaa wananikosesha raha kabisa yani acha tu

ila kiukweli yankeees ndo wanafanya tukose quality, ndo maana benitez akikaona katoto kanachipukia anakabeba kwa bei rais..ila ka kelly kamejitahidi nadhani katoka kwenye academy
pia hamna kocha wa maana atakae kubali kukaa na yankees, kwani waarabu vip?wananunua lini club?

Last week Gillet alikuwepo Saudia lakini hawku negotiate anything kuhusu kuuza club.....Nasikia hiyo company F6 walitaka show off only lakini sio wanunuwaji wa kweli.......Wanunuwaji wa kweli walikuwa wale wa Dubai lakini hao mayankees wamewaekea ngumu.....
 
Hey my fellow liverpool surpoters!
Sikumuona Johnson Jana, Ni majeruhi au bado ni madudu ya barnitez!!
 
Wikiendi hii huenda tukamfukuza Benitez, naamini Tores na Gerard hawatakuwepo
 
Wikiendi hii huenda tukamfukuza Benitez, naamini Tores na Gerard hawatakuwepo

Belo;

Hawatufungi hata iweje, hizi timu ni kama simba na yanga.... hata uwe na form gani siku hiyo mambo huwa kiajabuajabu!!

I hope hawatamfukuza tumalize msimu ndio aondoke... XABI GAP IS NOW MORE THAT EVIDENT

na manure mie ntapanga
Reina
Glen
Insua
Carra
Skertel
Agger
Kuyt
MAsch/Gerro
Torres
Yossi
Babel

Res
Gerro/MAsch
Kelly
Aurelio
Lucas
etc

Hali si nzuri mazee
 
Rafael-Benitez-Pats-Yossi-Benayoun-Liverpool-_2375254.jpg

Jean-Makoun-Steven-Gerrard-Liverpool-v-Lyon_2375160.jpg

Hugo-Lloris-Saves-Liverpool-v-Lyon_2375161.jpg
 
Belo;

Hawatufungi hata iweje, hizi timu ni kama simba na yanga.... hata uwe na form gani siku hiyo mambo huwa kiajabuajabu!!

I hope hawatamfukuza tumalize msimu ndio aondoke... XABI GAP IS NOW MORE THAT EVIDENT

na manure mie ntapanga
Reina
Glen
Insua
Carra
Skertel
Agger
Kuyt
MAsch/Gerro
Torres
Yossi
Babel

Res
Gerro/MAsch
Kelly
Aurelio
Lucas
etc

Hali si nzuri mazee
mkuu mbona mmepoteza upendo kwa macherano wewe na kocha wako? maanake naona na wewe list yako umemuekea (mach/gerro).macherano huwa anawasaidia sana kukaba pale kati mkuu manake ferguson lazima hakupe anderson pale kuweka ugali.
jana tena kaenda kumtoa benayoun anamleta veronin ,nikasema kweli benitez bangi zake mbaya.
 
Pole sana mate .......naona jana vijana wamefungua vibaya bwawa lenu la maini...yote yakamwagika.....jipangeni mazee mtatoka!
 
Umeanza kukubaliana nami.....nililisema hili mwanzoni nikapingwa na wazee wa liver fool!

Aisee mie ni Kops kinoma ila uvumilivu unanishinda kumsubiri mtu miezi yoye hii waka tunakula vichapo vya kufa mtu... Tatizo reina akishazoea kuokota ile mipira ndani atasahau kabisa kule kuhangaika kwake

Hakyanani nawaloga Manure, wachezaji wote jumamosi nawashusha mabusha!!
 
mkuu mbona mmepoteza upendo kwa macherano wewe na kocha wako? maanake naona na wewe list yako umemuekea (mach/gerro).macherano huwa anawasaidia sana kukaba pale kati mkuu manake ferguson lazima hakupe anderson pale kuweka ugali.
jana tena kaenda kumtoa benayoun anamleta veronin ,nikasema kweli benitez bangi zake mbaya.

Mkuu, kama umecheki vizuri, hakuna holding person pale, MAsch amekuwa sana mkimbiaji akitafuta sababu ya kuuzwa, kama unakumbuka katika goli 7 tulizofungwa kwenye mechi nne, utakuta mchango wake mkubwa

He needs a break for two matches or to come as a sub!
 
Belo;

Hawatufungi hata iweje, hizi timu ni kama simba na yanga.... hata uwe na form gani siku hiyo mambo huwa kiajabuajabu!!

I hope hawatamfukuza tumalize msimu ndio aondoke... XABI GAP IS NOW MORE THAT EVIDENT

na manure mie ntapanga
Reina
Glen
Insua
Carra
Skertel
Agger
Kuyt
MAsch/Gerro
Torres
Yossi
Babel

Res
Gerro/MAsch
Kelly
Aurelio
Lucas
etc

Hali si nzuri mazee

Duuh! Kweli hali yenu ngumu MTM! Yaani wewe ukipewa timu leo ndio utapanga hivyo? Maana yake unakaba kwanza na magoli kama yatatokea basi ni bahati nzuri....maana naona umeweka mabeki watano hapo! Na ukiongeza Masch kama kiungo mkabaji hata lile puto la Sunderland halifungi bao hapo! Mwaka wenu huu mkuu!
 
Aisee mie ni Kops kinoma ila uvumilivu unanishinda kumsubiri mtu miezi yoye hii waka tunakula vichapo vya kufa mtu... Tatizo reina akishazoea kuokota ile mipira ndani atasahau kabisa kule kuhangaika kwake

Hakyanani nawaloga Manure, wachezaji wote jumamosi nawashusha mabusha!!

Hivi unajua ukirudi nyuma mpaka kwenye pre season games utaona kuwa Liverpool tulikuwa tume-doom kuchemsha mwanzoni mwa ligi. Matokeo ya pre season games hayo hapo chini:

Liverpool 0-0 St. Gallen
Liverpool 0-1 Rapid Vienna
Liverpool 1-1 Thailand (national team)
Liverpool 5-0 Singapore (national team)
Liverpool 0-3 Espanyol
Liverpool 2-0 FC Lyn
Liverpool 1-2 Atletico Madrid

Haya matokeo yalikuwa yanasema mengi tu jinsi season yetu itakavyokwenda. Lakini si unajua tena kipenda roho, mashabiki tukayafungia macho na kusikiliza maneno ya kujipa moyo kutoka kwa Rafa. Kama uamuzi wa kumwondoa Rafa ulitakiwa ufanywe wakati ule ule. Sasa hivi tukimtoa ndio tutaharibu kabisa.

Lakini poa tu, tumedondoka, muda si mrefu tutainuka, jifuta vumbi, na kuendelea kusonga mbele
 
Mkuu, kama umecheki vizuri, hakuna holding person pale, MAsch amekuwa sana mkimbiaji akitafuta sababu ya kuuzwa, kama unakumbuka katika goli 7 tulizofungwa kwenye mechi nne, utakuta mchango wake mkubwa

He needs a break for two matches or to come as a sub!

Nafikiri unamiss something hapo kuhusu kiwango cha Masch msimu huu. Tatizo si kwamba anataka kuuzwa, ukweli ni kwamba hana midfield patner anayemfaa kwa uchezaji wake kama alivyokuwa Alonso....labda kama Spanish Waiter ataamua kumrudisha Gerald kiungo mchezeshaji. Combination ya Masch na Lucas ni mbovu sana maana wote sio creative players, ndio maana unaona Masch akijaribu kwenda mbele ku-create something kwenye hilo gap aliloacha Alonso, kazi mabayo haiwezi maana he's naturally a holding midfielder!
 
team yetu inaskitisha sana kiasi ambacho inanifanya niwe mzito sana kuangalia game zetu, ila chakufanya yankees waondoke maana hawatoi hela ya kutosha kuleta quality players anfield
 
team yetu inaskitisha sana kiasi ambacho inanifanya niwe mzito sana kuangalia game zetu, ila chakufanya yankees waondoke maana hawatoi hela ya kutosha kuleta quality players anfield

Quality players gani mnaowataka tena?
 
Tatizo ni Rafa, hadi atimuliwe ndio watu watakuwa serious na game!
 
Quality players gani mnaowataka tena?
tunawhezaji wanne tu wazuri Ger, Tor, Masc na kipa hao wengine wazugaji tu na hatuna strong bench..Rafa anamatatizo yake ya kufkuza wachezaji mfano sioni umuhim wa kumuweka Ngog afu unamuuza keen na crouch
ila pia Rafa na yankees[wamarekani ambao ni ownera] waondoke
 
Back
Top Bottom