oficial: Emre Can ametua LFC
Source kaka? Mimi nimeona kwenye skysport lakini sina uhakika.
nataman sana watu waliokua na roho mbaya kama masherano,sisokho na alonso..sio awa vishet wanaoletwa kukaba kwa jihad cdhan kama wataweza..

Kwanza hakuna official report yeyote ile inayoprove kuwa Manure wametenga hicho kuasi kwa ajili ya usajili wa msimu huu!!
Kuhusu fabregas, according to Ben Smith and Tony Barret, Barcelona waliitaarifu LFC kuhusu upatikanaji wa Fabregas, lakini BR hakuwa interested kuhusu Fab, Lakini anamuhitaji Sanchez..
Personal terms kati ya LFC na Moreno, zishakamilika tayari..Rais wa Seville Castro kasema hivyo kwasababu juzi yeye pamoja na director wa seville, Monchi, walikuwa waende ENGLAND kufinalize the deal lakini LFC postponed it..nahisi sarakasi za Ayre zinaendelea..
Nadhani kama utakuwa umefatilia ishu ya Lallana, Juzi Adam blackmore, Mwadishi wa BBC based in southampton, ambaye kwa southampton infos ni reliable kama kina Ben smith, anasema kwamba, LFC hawakufikia kiasi cha £25m kama ilivyorepotiwa awali, ndo maana southampton wanakaza, Coz liverpool wamepeleka £18.6m tu, Na anasema mpaka sasa viongozi wa Southampton hawapokei simu za Lallana, ila ameshawaambia anataka kuondoka!!..
Asa kwanini Ayre avujishe habari za uongo kuwa wamebid £25m??..na kwa mpango huo southampton walikuwa sahihi kukaa kimya tu kuhusu hii bid iliyosemwa ya £25m, coz time hii hawakujibu chochote!
Kuna rumours kuwa southampton wako karibu kumpa Mkataba Ronald koeman kama their new coach, nadhan ishu ya lallana itakuwa sorted baada ya Koeman au kocha mwingne yoyote yule mpya atakaposign!
nimegundua kitu,kuna watu mnapenda kusajili majina makubwa! BR kashaweka wazi,anataka versetile,talented and hungry to succeed players! Sera ya FSG ipo wazi,hawanunui wazee! Hivi nani alimfahamu Coutinho b4 hajaja LFC? Let us leave BR,he really knws what he is doing!
bado cjajua kumpromote huyu mtu kutakua na impact gani. najiuliza kama nafasi yake ya mwanzo anatafutwa mwingne au jamaa kapewa majukumu makubwa zaidi.
kama saivi hatahusika na usajili itakuwa vema na haki,ila kama kapelekwa jikoni kabisa kwenye usajili,Tumekwisha!
Nilichokiandika ni hiki (Dodosa zinasema manure wanamwaga £200m) hakuna sehemu yeyote niliyoandika kwamba it was official that manure set aside that kind of money. And that also doesnt mean they cant!!
Ishu kamili ilikuwa ni BR kujitahidi kusajili mapema ili kuepuka kupigana vikumbo na timu zenye uwezo mkubwa kifedha pindi world cup itakapokwisha. Fabre nimemtolea mfano wa kitu ambacho BR anakikwepa. He is a very good footballer no doubt about that (Even Robbie was excited by the news that Liverpool might move for him) lakini inconveniences (Including money) zinatulazimisha kugeuza shingo zetu
Danadana za Moreno na Lallana ndiyo kama hivyo tuvyoendelea kuzisikia from different sources...Ila it seems BR would like to end Lallanas issue kabla soton hawajapata kocha mpya sababu kocha kama Ronald sidhani kama atakubali kumwachia Lallana akaondoka. Aina ya mchezo wa Ronald unafanana sana na jinsi soton wanavyocheza and he would like to keep that kind of play with the key players.
Ooh, afadhali dalili njema zinaoneka kwenye usajili wa can but, what does this mean to Lucas, hendo & Allen?

Hehehe Jibu Zuri hehe ila Wazee nao muhimu kusaidia ila wengi wao anaonunua ni vijana wadogo kuliko wingi wa Wazee. Turudi watu wa Humu Mie bado sijarizika na Usajili zaidi ya Lambert nimekaa nimetafakari jamaa kutoka bench haitomuuzi anafanya kazi ya timu anayoipenda moyoni jengine tofauti yake na Carrol yeye ni Rahisi sana na jamaa Freekick anaziweza tumeona EPL Assist anaziweza kwa ujumla mpira chini nakumchezesha wenzake anaweza ushahidi upo kufunga anajua mwenye macho ya kuona ameona aliowazidi kwenye timu kubwa kwa magoli sina haja kuwataja....... Na ni rahisi hakuna kilichopotea Sema sasa Huyu Moreno bora angekuja Ashley Cole Mie sijali umri na Emre bei sio mbaya na kutia mguu bundesliga ukitegemea kacheza Kama kiraka Defence Midfield,LB,LW na Attacking Middle sio kitu rahisi ila Lallana na Shaqhiri nao sio wakuja LFC wakuja ni hawa naowataja haswa ni Lovren wafanye juu chini 1.Lovren2. Mascherano na Alex. Song 3.Lazar Markovich wa. Benfica basi wengine atajiwa mwenyewe Rogers sio kuumiza kichwa Lallana pesa kibao na tunavyocheza Lallana atakuwa Flop au Raheem mpira utashuka sababu atampeleka kushoto.Kolo Toure na Rickie Lambert ni vijana?
Wewe ndio unajuwa umuhimu wa kati Kuwepo Mnyama! Ndomana aje mapema Beki ya Kinyama Lovren utaona Brazil watavyotoka Jasho kwa Lovren kati pale Mascherano na Alex Song ni Wanyama ambao wanaouwezo wakutia mguu kwenye zile Middle Vyuma kina Yaya.nataman sana watu waliokua na roho mbaya kama masherano,sisokho na alonso..sio awa vishet wanaoletwa kukaba kwa jihad cdhan kama wataweza..
Kolo Toure na Rickie Lambert ni vijana?
Umesema sera ya FSG sio kusajili wazee hao niliokutajia ni vijana?Hayakuhusu mkuu....
haya ni ya LFC...sio Manure
BTW sera ya LFC ni kusajili vijana wadogo wenye vipaji vya hali ya juu,lakini kama wewe kweli ni mtu wa mpira nadhani unajua kwanini akina Kolo & Co. wamesajiliwa pale LFC,sina haja ya kukwambia!
Karibu tena!