The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
ningekuwa mimi ningetoa £15m tu kwa lallana!
Maombi yangu hapa ni kwamba soton waikatae hiyo 25,twende kwa kina the likes of Xherdan Shaqiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningekuwa mimi ningetoa £15m tu kwa lallana!
Mkuu Osokonoi, sioni sababu yoyote ile ya wewe kuihofia Manure sahiv, Na ukizangatia Tumetoa mpaka £25m kwa lallana, that shows FSG are backing BR kwa nyenzo zote zilizopo..
Safari hii kuzikosa targets zetu, itakuwa NGUMU sana!
Maombi yangu hapa ni kwamba soton waikatae hiyo 25,twende kwa kina the likes of Xherdan Shaqiri
Yeah!!..kwa kweli me naona bora tu-Move on kwenye options nyingine ambazo ni bora zaidi na zinapatikana kwa bei nzuri!!!
ujio wa Lalana unaweza kuathiri nafasi ya Coutinho kwenye starting eleven,jaribu kuangalia kwenye 4 3 3 kwa mfn,.Mignolet,Moreno/Enrique,Skirtel,Agger/Sakho,Johnson/Flannagan,Gerald,Hendo,Lallana,Sterling,Sturidge,Suarez. Angalia kwenye 4 4 2 ,Mignolet,Moreno,Flanagan,Skirtel,Sakho/Agger,Gerald,Can,Hendo,Lallana,Sturidge,Suarez. Sioni litle magician akianza,make sifa kubwa ya Lalana ambyo pia ndio iliyomvutia BR ni uwezo wake wa kulinda,japokuwa ni attaking mid,ana 82 percent successful tackles season iliyopita.
sioni kama Lallana, atamletea tabu yoyote Coutinho, Ujio wa lallana/shaqiri/pedro utaleta tabu kwa sterling..
Mkuu vipi? Ni salama?
Vipi kwa upande wako mkuu unawaamini saana hawa wachezaji wa kiingereza?
naona kocha wenu anataka kuihamishia England national team pale Anfield,Lambert,Lallana,Sterling,Gerald,Sturidge,Johson,Hendo,Flanagan..duh!
Lambert ndani ya nyumba
karibu home Rickie! Mwenyewe anasema alipopewa hbr na wakala wake hakuamini,alidhani utani vile!
Mkuu vipi? Ni salama?
Vipi kwa upande wako mkuu unawaamini saana hawa wachezaji wa kiingereza?
Moreno baada ya kutemwa kwenye kikosi kitachokwenda Brazil for world cup naona deal lake la kuja anfield linaweza likakamilika next week baada ya kuwepo maelewano mazuri kati ya sevila na liverpool.
unaambiwa ni just a matter of hours hii deal itakuwa imekamilika
Lambert ndani ya nyumba
Sterling alamba shavu Liverpool baada ya kuongeza miaka 5 na atakuwa anakula £ 100,000/= kwa wiki!!
Moreno baada ya kutemwa kwenye kikosi kitachokwenda Brazil for world cup naona deal lake la kuja anfield linaweza likakamilika next week baada ya kuwepo maelewano mazuri kati ya sevila na liverpool.
Sterling alamba shavu Liverpool baada ya kuongeza miaka 5 na atakuwa anakula £ 100,000/= kwa wiki!!
ahahhhahahaha!!!
Hizo ni rumours tu kaka, hawez akapewa 100k per week, sahiv tu analipwa 35k per week, inamaana kama ikipanda atalipwa 45k-50k per week...100k ni nyingi sana kwa sterling..miaka 19 tu anayo!
wachezaji wengi sana wa kiingereza wana zile "basic soccer skills" tu, Wachache sana wana natural talents za soccer, yaani vile vitu vya ziada vinavyomfanya mchezaji awe wa kipekee zaidi, Waingereza wengi sana hawana, Ni tabu sana kupata wachezaji aina ya Suarez, Aguero, Coutinho, Carzola, Ozil, Silva, Yaya, Hazard, Oscar, Willian, Nasri, mata, RVP, na wengine ambayo wanakuwa na vitu vya ziada saaana,
Kwa sasa, wachezaji wa kiingereza ambao unaweza ukasema wana vipaji angalau asilia ni wachache sana aisee, yaani waingereza wenye vitu vya ziada uwanjani kwa sasa, kwangu mimi nawaona ni wachache sana, Kuna yule mtoto Ross Barkely, Kuna kina Wilshere, AOX, Sterling, Kuna huyu Adam Lallana, James McCarthy, hawa ni baadhi ya wachezaji wa kiingereza ambao kwangu mimi naona wana vitu vya ziada sana kama wachezaji, wana offer options nyingi sana kama wachezaji, ukiachana na kile kizazi cha kina McManaman, then kina Owen na kina Scholes, sahiv naona ni hao madogo tu, watu kama kina Henderson, Milner, Carrick, Clevarly, welbeck, Downson, Huddleston, Ashley Young, Downing, Lambert, Barry, Glenn Johnson, Kyle Walker, Smalling, Phill Jones, Sturridge, Na wengineo, huwezi kuwafananisha au kuwaweka daraja moja na Kina Suarez, Aguero, Van persie, Silva, Yaya, Fernandinho, Poulnho, Coutinho, Carzola, Ozil, Nasri, Hazard, Oscar, Mata, Kagawa, Matic, Kompany, Na mafundi wengine, nadhan hata dogo Erkssen wa Spurs ni mzuri saana, ukiachana na kina Jovetic wa Man city wanaokaa bench, sijaona kwa sasa striker yoyote wa kiingereza anayemzid ufundi Jovetic, japokuwa anakaa bench Pale Man city, Yule jovetic akija Liverpool, au Arsenal, Man utd, na Chelsea au Spurs anapata namba vizuri tu..
Me huwa nawarate sana wachezaji wa South America,(Brazil, Uruguay, Chile, Argentina), na Europe ni spain, Portugal, France (japokuwa wengi sana hawana asili ya kifaransa, Eg. zidane, Thierry, Nasri, makelele, Remy, Benzema etc, wenye asili ya france ndo hao kina Giroud(trash) ) na Italy, Germany, Turkey na Croatia..