Kiongozi MosDef...kuna kila sababu ya kuihofia Manuer
and guess what, its not only Manuer but chelshit and man shit
na sasa ongeza PSG and Monaco! Tumeelezwa na vyombo vya habari kwamba FSG wametoa £60m kwaajili ya usajili na kuna vyombo vingine vimetaja £80m. Dodosa zinasema Manure wanamwaga £200m. Hiyo ni mara 3.5 ya £60m ya Liverpool...those guys are crazy (Marouane costs £28m
serious!?). Hao jamaa timu yao inahitaji overhaul and they will definitely spend
Hatua ya BR kupambana na usajili mapema is a good move ingawa inahitaji umakini. Ni wazi kwamba baada ya WC dau la wachezaji litapanda especially for those who participated into WC. Angalia mfano huu
recently tumehusishwa na Fabregas lakini fununu zinasema chelshit nao wanamuwania wakati Man shit ready to table 37m, hapo tayari we cant compete!
ishu ya Moreno imeanza kunichosha
IT TRUE THAT THERES INTEREST FROM LIVERPOOL AND WERE WAITING TO SEE IF THAT TURNS INTO A REALITY, WHICH NOW, IT ISNT!!. Hayo ni maneno ya Jose Castro, rais wa sevilla
Kwanza hakuna official report yeyote ile inayoprove kuwa Manure wametenga hicho kuasi kwa ajili ya usajili wa msimu huu!!
Kuhusu fabregas, according to Ben Smith and Tony Barret, Barcelona waliitaarifu LFC kuhusu upatikanaji wa Fabregas, lakini BR hakuwa interested kuhusu Fab, Lakini anamuhitaji Sanchez..
Personal terms kati ya LFC na Moreno, zishakamilika tayari..Rais wa Seville Castro kasema hivyo kwasababu juzi yeye pamoja na director wa seville, Monchi, walikuwa waende ENGLAND kufinalize the deal lakini LFC postponed it..nahisi sarakasi za Ayre zinaendelea..
Nadhani kama utakuwa umefatilia ishu ya Lallana, Juzi Adam blackmore, Mwadishi wa BBC based in southampton, ambaye kwa southampton infos ni reliable kama kina Ben smith, anasema kwamba, LFC hawakufikia kiasi cha £25m kama ilivyorepotiwa awali, ndo maana southampton wanakaza, Coz liverpool wamepeleka £18.6m tu, Na anasema mpaka sasa viongozi wa Southampton hawapokei simu za Lallana, ila ameshawaambia anataka kuondoka!!..
Asa kwanini Ayre avujishe habari za uongo kuwa wamebid £25m??..na kwa mpango huo southampton walikuwa sahihi kukaa kimya tu kuhusu hii bid iliyosemwa ya £25m, coz time hii hawakujibu chochote!
Kuna rumours kuwa southampton wako karibu kumpa Mkataba Ronald koeman kama their new coach, nadhan ishu ya lallana itakuwa sorted baada ya Koeman au kocha mwingne yoyote yule mpya atakaposign!