Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

yeah mkuu ukifuatilia waingereza wengi vipaji vyao ni vya kufundishwa na si kuzaliwa navyo hata hao ulio wataja akina Welshere, barkley na wengineo tuendelee kuwasubiria tuone consistency yao itakuwaje maana ukifuatilia ni wachezaji wachache sana wa kiingereza ambao wana consistency ya muda mrefu wengi wao huvuma kwa muda halafu wanapotezwa na vyombo vyao vya habari. Kwangu mimi ukiniambia mchezaji wa kiingereza ambaye amekuwa na kiwango chake kwa muda mrefu ni Rooney wengine wanavuma kidogo kisha wanapotea angalia kama ilivyokuwa kwa Tom Claverly (mfano), Sasa kwa misingi hiyo BR anatakiwa kuwa makini na hawa wachezaji but all in all naamini BR ana plan kama aliyokuwa nayo King Keny ya kuirudisha Liverpool kuwa gheto la waingereza na kuwa timu kipenzi ya waingereza.

steve G pia ana consistency
 
Mkuu Osokonoi, sioni sababu yoyote ile ya wewe kuihofia Manure sahiv, Na ukizangatia Tumetoa mpaka £25m kwa lallana, that shows FSG are backing BR kwa nyenzo zote zilizopo..

Safari hii kuzikosa targets zetu, itakuwa NGUMU sana!

Kiongozi MosDef...kuna kila sababu ya kuihofia Manuer…and guess what, it’s not only Manuer but chelshit and man shit…na sasa ongeza PSG and Monaco! Tumeelezwa na vyombo vya habari kwamba FSG wametoa £60m kwaajili ya usajili na kuna vyombo vingine vimetaja £80m. Dodosa zinasema Manure wanamwaga £200m. Hiyo ni mara 3.5 ya £60m ya Liverpool...those guys are crazy (Marouane costs £28m…serious!?). Hao jamaa timu yao inahitaji overhaul and they will definitely spend

Hatua ya BR kupambana na usajili mapema is a good move ingawa inahitaji umakini. Ni wazi kwamba baada ya WC dau la wachezaji litapanda especially for those who participated into WC. Angalia mfano huu…recently tumehusishwa na Fabregas lakini fununu zinasema chelshit nao wanamuwania wakati Man shit ready to table €37m, hapo tayari we can’t compete!…ishu ya Moreno imeanza kunichosha…”IT TRUE THAT THERE’S INTEREST FROM LIVERPOOL AND WE’RE WAITING TO SEE IF THAT TURNS INTO A REALITY, WHICH NOW, IT ISN’T”!!. Hayo ni maneno ya Jose Castro, rais wa sevilla
 
Manure hawana madhara tena saivi,ni kama Spurs tu,striker wao mwenyewe ndo yule Rooney? Duh..

Kiongozi the Magnificent..ni kweli kwamba Manuer hawakuwa na madhara ya kiuchezaji kwenye msimu uliyopita. Ila hawa jamaa ni threat katika ishu ya usajili especially kwa kipindi hiki cha kiangazi.

Kuna ulazima wa LVG kufanya mabadiliko makubwa na bilashaka uongozi utampa heshima ya fungu kubwa la usajili
 
acha kuwajadili Manure! Waache na mambo yao! Kwan chelsicky na manshity wametumia bei gani kwenye vikosi vyao? It's more than paund 400 mil,na mbona tumewajambisha mwanzo mwisho kwenye ligi na kikosi chetu kidogo? What if we'll add right players kulingana na mahitaji yetu wakati huu? Kumbuka money cant buy everythng brother,just look at R.Madrid na pesa zao wanavyokimbzwa na akina ATM and co.
 
There is no way tutaacha kuiongelea timu kama manure sababu whether we like it or not they are one of our competitors. Na mbinu muhimu ya kumshinda mpinzani wako ni kumfahamu.

Nafikiri wote tuko pamoja katika kuipongeza timu yetu kwa kufanya vizuri msimu uliyopita na tungependa kuona usajili uliyokwenda shule kwa misimu ijayo.

Money can’t buy you everything na ATm waliwapeleka Real ila hela hiyohiyo ndiyo iliyowapa ubingwa Real Madrid. Tuliwakong’oli manshity na kuonyesha fedha zao si kitu ila hela hiyohiyo ndiyo iliyowapa ubingwa wa BPL
 
Mtu wa kumsaidia flanagan mbona hatafutwi..dogo bado hana confidence ya kutosha af kutoa makros ya atar bado, akikutana na winger sumbufu uwa anapoteana
 
Mtu wa kumsaidia flanagan mbona hatafutwi..dogo bado hana confidence ya kutosha af kutoa makros ya atar bado, akikutana na winger sumbufu uwa anapoteana

mtu wa kusaidiana na Flanagan ni Glen Johson,yule dogo sio LB,ni RB,kwa hiyo atakuwa na GJ kule kulia,ndo maana unaona wanatafuta LB,ili aje asaidiane na Jose Enrique,Flanagan alikuwa anacheza LB kwa vile Enrique alikuwa injured,na hakukuwa na LB mwingine wa maana.
 
Lallana akisign Liverpool shirt ya Shabiki wa Liverpool..
ImageUploadedByJamiiForums1401905874.070775.jpg
 
CEO wa Bayer Leverkusen, Michael Schade, ameconfirm kuhusu official bid ya Liverpool kuhusu Emre Can!!!
 
Kiongozi MosDef...kuna kila sababu ya kuihofia Manuer…and guess what, it’s not only Manuer but chelshit and man shit…na sasa ongeza PSG and Monaco! Tumeelezwa na vyombo vya habari kwamba FSG wametoa £60m kwaajili ya usajili na kuna vyombo vingine vimetaja £80m. Dodosa zinasema Manure wanamwaga £200m. Hiyo ni mara 3.5 ya £60m ya Liverpool...those guys are crazy (Marouane costs £28m…serious!?). Hao jamaa timu yao inahitaji overhaul and they will definitely spend

Hatua ya BR kupambana na usajili mapema is a good move ingawa inahitaji umakini. Ni wazi kwamba baada ya WC dau la wachezaji litapanda especially for those who participated into WC. Angalia mfano huu…recently tumehusishwa na Fabregas lakini fununu zinasema chelshit nao wanamuwania wakati Man shit ready to table €37m, hapo tayari we can’t compete!…ishu ya Moreno imeanza kunichosha…”IT TRUE THAT THERE’S INTEREST FROM LIVERPOOL AND WE’RE WAITING TO SEE IF THAT TURNS INTO A REALITY, WHICH NOW, IT ISN’T”!!. Hayo ni maneno ya Jose Castro, rais wa sevilla

Kwanza hakuna official report yeyote ile inayoprove kuwa Manure wametenga hicho kuasi kwa ajili ya usajili wa msimu huu!!

Kuhusu fabregas, according to Ben Smith and Tony Barret, Barcelona waliitaarifu LFC kuhusu upatikanaji wa Fabregas, lakini BR hakuwa interested kuhusu Fab, Lakini anamuhitaji Sanchez..

Personal terms kati ya LFC na Moreno, zishakamilika tayari..Rais wa Seville Castro kasema hivyo kwasababu juzi yeye pamoja na director wa seville, Monchi, walikuwa waende ENGLAND kufinalize the deal lakini LFC postponed it..nahisi sarakasi za Ayre zinaendelea..

Nadhani kama utakuwa umefatilia ishu ya Lallana, Juzi Adam blackmore, Mwadishi wa BBC based in southampton, ambaye kwa southampton infos ni reliable kama kina Ben smith, anasema kwamba, LFC hawakufikia kiasi cha £25m kama ilivyorepotiwa awali, ndo maana southampton wanakaza, Coz liverpool wamepeleka £18.6m tu, Na anasema mpaka sasa viongozi wa Southampton hawapokei simu za Lallana, ila ameshawaambia anataka kuondoka!!..

Asa kwanini Ayre avujishe habari za uongo kuwa wamebid £25m??..na kwa mpango huo southampton walikuwa sahihi kukaa kimya tu kuhusu hii bid iliyosemwa ya £25m, coz time hii hawakujibu chochote!

Kuna rumours kuwa southampton wako karibu kumpa Mkataba Ronald koeman kama their new coach, nadhan ishu ya lallana itakuwa sorted baada ya Koeman au kocha mwingne yoyote yule mpya atakaposign!
 
IAN AYRE has been promoted from Managing director to chief executive!!!
ImageUploadedByJamiiForums1401917281.371212.jpg
 
mtu wa kusaidiana na Flanagan ni Glen Johson,yule dogo sio LB,ni RB,kwa hiyo atakuwa na GJ kule kulia,ndo maana unaona wanatafuta LB,ili aje asaidiane na Jose Enrique,Flanagan alikuwa anacheza LB kwa vile Enrique alikuwa injured,na hakukuwa na LB mwingine wa maana.

nimekupata uzur, but wasiwasi unaniijia tena kwa uliponiambia atasaidiana na GJ.uyu jamaa season ilo isha juz nadhan ulimwona ata cmtaman tena af flanagan nae minahic bado ana kiwewe sana sa kama RB ndoitakua nahao jamaa daah mi kwngu bado nina wasiwasi.
 
Back
Top Bottom