Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ndo hicho nilikuwa najaribu kukisema, deal ya £4mill, kwa mtu kama BackUp, syo Mbaya!
Huyu Ben Smith wa BBC akiongea kitu kuhusu Liverpoolfc amini jamaa peke yake namuaminia Kama deal off akisema off ujue off haandiki ovyo jamaa Kama Hana uhakika, mtu mwengine Spain Balague Yule Mspain wa Sky akisema kuhusu Real Madrid au kuna Spanish anaenda timu EPL ujue ukweli ni asilimia 85.
 
Pia kuna Tony Barret(Times) na James pearce (Echo), hawa jamaa pia ni very reliable when it comes kwenye liverpool infos..coz pia ni mashabiki wa liverpool kama ilivyo kwa Ben Smith!!!
 
Hehehehe naona Humu wengi tuna ndoto tu hao players tunaowataja utafikiri wapo Medical tayari sasa hivi ukitaka Player tu ambao wamaana na wakweli kuja basi jitaarishe totenham spurs nao kumtaka hujifanya wao big team Kumbe Wana offer big money per week sasa usije kuomba Morinho amtake player ambaye tayari yupo mlangoni kwenu atampigia goti Mrusi kwa pesa kibao au yupo tayari aharibu kwa dau wote mkose nafikiri ukweli wa deal anao Rogers na Kamati yake News wanazifuatilia tu Tetesi kwa watu wa Betting so tusiumize kichwa ukweli July 1st ndio utaaanza au katikati ya World Cup atatokea World Cup striker au Middle atafunga goli mbili Utasikia romours LFC inamtaka kwa million 40 hawachelewi player wa 8 na Pengine deal wame sign 8m gazeti litaandika 18m.

Spurs sahiv hawatakuwa na uwezo wa kuatract players wazuri zaidi ya Liverpool, tunawazidi kwa factor ya UCL, afu hawana hela sahiv ya kufanya Major signings kama mwanzo, ndo maana hata deal ya konoplyanka iliwashinda January!

hata De boer wameshindwana nae kwny malipo!!

Na lazima watauza wachezaji ili kupata fedha za kununua wachezaji wengine..
 
Pia kuna Tony Barret(Times) na James pearce (Echo), hawa jamaa pia ni very reliable when it comes kwenye liverpool infos..coz pia ni mashabiki wa liverpool kama ilivyo kwa Ben Smith!!!
Yah James Pearce anaundani kwenye club ila Tony Barret muda mwengine anachemsha Ben Smith ndio kiboko Yao ndomana haandiki ovyo akiandika ujue kimekubali hapendi kugeuza mambo na husema sorry nilifikiri deal on nimetafakari Ricky Lambert ndio atakuwa Nagredo wetu Power kwa timu zenye bully defender na Freekick jamaa mkali sio mbaya kwa Bench Sturidge anavyoumia atapumzika £4m sio kitu bado hatujamaliza ingekuwa 8m ningesema hatari japo sizitoi Mie.
 
Well, James Pearce Anasema, tunaweza tukaachana na deal ya Emre can kutokana na wage demands zake!!!
 
Lambert to undergo medical examination on saturday at Liverpool,as per sky sports breaking news
 
PERSONAL INFORMATIONS
Full name; Rickie Lee Lambert
Date of birth; 16 February 1982 (age 32)
Place of birth; Kirkby, England
Height; 1.87 m (6 ft 2 in)
Playing position; Forward

CURRENT CLUB
Southampton
Number; 7

YOUTH CAREER
1992–1997; Liverpool

SENIOR CAREER
Years - Team - Apps - (Gls)
1998–2000 - Blackpool - 3 - (0)
2001–2002 - Macclesfield Town - 44 - (8)
2002–2005 - Stockport County - 98 - (18)
2005–2006 - Rochdale - 64 - (28)
2006–2009 - Bristol Rovers - 128 - (51)
2009– Southampton - 207 - (106)

NATIONAL TEAM
Years - Team - Apps -(Gls)
2013– England - 4 - (2)
Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 11 May 2014
 
huyu dogo ni kama hataki tu kuja LFC,kama vipi aende Chelsea ndo kuna hela za bure

Hajahakikishiwa Number ya moja kwa moja kwenye First team..ndo maana anataka mshahara mkubwa..Sidhan kama anaweza akaleta competition yeyote kwa SG katikati pale!
 
Da tukilipata lalana..mwakani lazima tunyanyue makwapa.
 
Back
Top Bottom