Hehehehe naona Humu wengi tuna ndoto tu hao players tunaowataja utafikiri wapo Medical tayari sasa hivi ukitaka Player tu ambao wamaana na wakweli kuja basi jitaarishe totenham spurs nao kumtaka hujifanya wao big team Kumbe Wana offer big money per week sasa usije kuomba Morinho amtake player ambaye tayari yupo mlangoni kwenu atampigia goti Mrusi kwa pesa kibao au yupo tayari aharibu kwa dau wote mkose nafikiri ukweli wa deal anao Rogers na Kamati yake News wanazifuatilia tu Tetesi kwa watu wa Betting so tusiumize kichwa ukweli July 1st ndio utaaanza au katikati ya World Cup atatokea World Cup striker au Middle atafunga goli mbili Utasikia romours LFC inamtaka kwa million 40 hawachelewi player wa 8 na Pengine deal wame sign 8m gazeti litaandika 18m.