Mkuu hiyo sio source pekee iliyo report
http://www.koptalk.co.uk/201406051068/alberto-moreno-to-sign-5-year-liverpool-contract.html
INAELEKEA ISHU IMEBUMA!!
Dodosa ambazo zilipatikana kwenye vyombo vya habari kwamba Moreno was due to fly to Liverpool for medical zinaonekana kukanushwa kwa maelezo kwamba bado mazungumzo kati ya timu hizo mbili yanaendelea.
Inaelekea Sevilla wanataka nau la £16m liongezeke plus some of the bonuses and add-ons to be guaranteed by the Reds. Wakati Liverpool wanaelekea kuwa wagumu kuongeza huku wakipewa tumaini na kile kilichotajwa kwamba Morena ameonyesha nia binafsi ya kujiunga na majogoo.
Kumekuwa na taarifa kwamba huenda Totten nao wakaingia kwenye purukushani za kumsajili albert, huku ikidaiwa kwamba wataongeza dau. Hali hii bilashaka itamkera BR na huenda ikasababisha yaliyotokea kwa kono na willy