Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ross Barkley is currently the best mid in the EPL
Kuna watu wanamtaja kelly kama ni mchezaji mwenye bahati mbaya lakini kwa mimi naona kama yeye ana nafuu ukimlinganisha na Samed.
Toka alivyokuwa Bayer, dogo amekuwa akukimbwa na majeruhi ya mara kwa mara na hili tumeliona pia likirudisha nyuma kipaji cha Teixeira
Ishu ya Suso inamkanganyiko na kuna watu wamefikia kusema hapewi nafasi sababu his not not British you remember pacheco? Hayo ni maoni ya baadhi ya watu lakini kuna ishu nyingine kwamba kijana got attitude na tumeona BR hapendezwi na watu wa aina hiyo
Kwa aina ya mpira ambao BR anafundisha kwasasa, sidhani kama Alberto ataweza kufit. He is slow and that will result on killing the moves
Mwaka 2011, Uruguay walipochukua kombe la Copa America, the youngest Best Player alikuwa Coates na hiyo inadhihirisha kwamba ni mchezaji mzuri.
Apart from being injured lakini naona RB bado hajamuamini vyakutosha. And his chance will be slimmer if Liverpool decided to add Lovren on the team!!
Duh! Ross Barkley ni mtaalamu haswaaa! Afu ni Genuine LFC fan! Ila anauzwa bei mbaya kwa sababu ya uingereza wake!
wakileta za kuleta aachwe tu, agents wanaharibu biashara and i am happy jinsi liverpool wanavyomanage tanfer, ukilegea wakatupiga hadi maskioni
afterall Serge (fullback wa Vote d'ivoire) is better than moreno and cheaper
LFC wanamtaka Shaqhiri wapo kwenye talk!
Moreno, ndo LB pekee ambaye anastahili kuvaa jezi ya LFC msimu ujao..
Mkuu Janjaweed yule dogo ni mzuuuri sana..
Ndo maana, watu walikuwa wanahoji, inakuwaje, dogo anauzwa bei ndogo kuliko Shaw..seville wapo reasonable kuhold move ya dogo, Ana miaka 21 tu, na ni hatari, Unahitaji kumake profit ya kile ulichokitengeneza tangu hapo awali!!..
he is not even in spain team
hayo mambo ya bei ndio yalimfanya andy carrol akauzwa kwa 35M na sturridge kwa 12M na suarez kwa 21M
bei zinapigiwa perepete na madalali na media ambao hupewa bakshishi... soccer is the most corrupt sport
if it wasnt for his good agent and his love for liverpool, Lambert angeuzwa kwa 12M
Ana miaka 21 tu, aliitwa kwenye kikosi cha awali, kabla ya mchujo, Alicheza mechi zote za kirafiki za spain, wakat wa maandalizi ya WC..spain wa Jord Alba, Juanfran, Azplicueta, carvalaj, asa unafikiri hapo dogo kama Moreno atapenya vipi??
Brazil, ameachwa Philipe Luiz wa ATM yule, so kwa hapo utaniambia Philipe ni M-bovu?..wameachwa kina Coutinho..
spain LB na RB zipo za kutosha sana, siyo kama ENGLAND, despite na form mbovu aliyoionesha GJ msimu huu pale LFC, lakin ndo anaanza pale ENGLAND kwenye WC..ndo maana unaona mpaka kina Flanagan wanapata shout!!
Moreno, ni mchezaji mzuri, na price yake ni reasonable, Na second choice ya LB, ni Bertrand, asa si bora utoe hiyo hela, kuliko kumsajili Mchezaja kama Bertrand??!!
Tatizo la LB, pale LFC limekuwepo for ages, mtu kama Moreno, anaweza kuja na kutoa msaada mkubwa sana!!..
Coates alipewa fursa ya kuonyesha kipaji chake, tena kwenye mechi za FA na akavurunda. Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Liverpool
Sebastian Coates, ni bonge ya Centre-Back..
Fact, iliyowazi ni kwamba BR, hajui jinsi ya kudeal na defendars!!.
thanks but no thanks
if he not better than azpiliqueta then he is not worth 18M quids
kuna m-ivory coast anaitwa serge, mcheki uone kazi yake, madalali wanaharibu sana soka, hata david luiz kauzwa 50M quids and Lovren anakua rated kwenye 12M
soccer is a circus
yule Serge Aurier ni Arsenal bound ile, anatajwa kama replecement ya Bacary sagna..na sidhani kama tunamuhitaji mchezaji wa aina ile..
Inaelekea hujamtazama sana Moreno!!!..na labda yawezekana, umefanikiwa kutazama game zake chache sana!
Mkuu, Inashangaza kuona, you dont rate Azplicueta "Dave"..tukiweka ushabiki pembeni, yule jamaa ni mzuri sana, Liverpool, tunakosa fullback kama ile..yule amekuwepo spain ya U16 mpk sasa hii ya wakubwa, ni kama Moreno, alianza kwenye U16 mpaka sasa ameanza kunusa Spain ya wakubwa!
Agents na oil money, zinaharibu sana mpira, na ukishalijua hilo, itabidi na wewe ujitutumue angalau kuendana na soko linavyotaka na kwa reasonable price..lasivyo utaishia kwa kina Aspas na Assaid kila siku..kutoa £18 kushuka chini kwa wachezaji kama Lallana, Moreno, Emre can, Lovren ni sawa kabisa, lakini huwez kutoa £18m kushuka chini kwa kina Sanchez, Pedro, Martnez na wengineo..ndo soko lilivyo sahiv!!
Na kwa Lallana, kwa akili za fasta fasta tu, ni kwamba Kama Kweli liverpool wangekuwa wamebid £25m kwa mchezaj kama lallana ambaye ana miaka 26 sasa, unafikiri wangekataa, na wakiwa wanajua wazi kuwa bwana mdogo anataka kuondoka?..na mpaka sasa inasemekana viongozi wake, wanaignore his calls!!!..kwann wam'ngang'anie wakat umepeleka bid ya £25m kwa lallana?..
Kuhusu lovren, ni uzembe wa Liverpool tu, last summer kabla hajaenda So'ton, he was crying kujoin LFC, but BR and Ayre ignored him, na alikuwa anauzwa £8m tu, na Lyon kama sikosei!!..so sahiv unamtaka, lazima southampton na Agent wa mchezaji wakulingie..na LFC itawatoka £15m, na kwa ile perfomance yake ya jana dhidi ya Brazil, na game zingine zijazo, tutasikia mengine mengi!
usishangae kumuona Betrand anakuja LFC badala ya Moreno,a reason is very clear! He's a British player! Mtu mwenyewe anayefanya negotiations ndo Ian Ayre! Yupo kibiashara zaidi,atamchukua yule wa bei rahsi! Ha ha ha ha! Ayre is b.tch
lovren is barca bound... Morenoooo, bado sijatoa zaidi ya 16, main reason ni kwamba tunahitaji leader pia pale nyuma... i would take him anytime kwa 15-26.5M: i would pay more than 16.5 if we sell johnson... that will make sense to me
Lallana, siwezi kutoa zaidi ya 25, philipe countinho, alberto, emre, suarez, borini, sterling, henderson, allen can all position to support sturridge
Ross Barkley namkubali sana.
I wish tungempata
BR angemfuatilia huyo #2 central defender Vlaar. He's tall, powerful and very smartshabiki wa damu wa LFC, lakini kama kuuzwa atauzwa bei saaana!!..
Nakubaliana na wewe, ni moja kati ya natural talents chache sana za kiingereza, ambazo tunazishuhudia zaidi!!
Mkuu, i hvae never support Agger kuwekwa benchiKama unataka Leader pale nyuma, kwanini, unahangaika Kutaka kumuuza Agger? (vice captain)..MS hawez kumkaripia MS mweusi kama akizingua!, lakini Agger can defo' do that..
Seville, washakubali hiyo £16m, kinachokwamusha ni add-ons tu ambazo LFC hawatak kuzitoa (na huo ndo ukweli, japokuwa LFC fans hawataki kukubaliana na huo ukweli)..tulimkosa Willian kwa only £2m!!!!..
LFC, hawajapeleka £25m kwa Lallana, kama ingekuwa ni hivyo, negotiations, zisingechukua muda mrefu kiasi hicho!!!
Barca, nadhan wapo katika position nzuri zaidi ya kumchukua Marquinhos wa PSG..kuliko Dejan Lovren!!
