Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

LFC wanamtaka Shaqhiri wapo kwenye talk!
 
Attachments

  • IMG-20140528-03547.jpg
    IMG-20140528-03547.jpg
    424.5 KB · Views: 48
Ross Barkley is currently the best mid in the EPL

hajafikia kuwa best but he is heading there

ana mistakes za kupoteza mpira na concentration hasa under pressure, na ile scouser attitude inamshinda kuimanage, ghadhab fulani za kijinga
 
Duh! Ross Barkley ni mtaalamu haswaaa! Afu ni Genuine LFC fan! Ila anauzwa bei mbaya kwa sababu ya uingereza wake!
 
Kuna watu wanamtaja kelly kama ni mchezaji mwenye bahati mbaya lakini kwa mimi naona kama yeye ana nafuu ukimlinganisha na Samed.
Toka alivyokuwa Bayer, dogo amekuwa akukimbwa na majeruhi ya mara kwa mara na hili tumeliona pia likirudisha nyuma kipaji cha Teixeira

Ishu ya Suso inamkanganyiko na kuna watu wamefikia kusema hapewi nafasi sababu his not not British… you remember pacheco? Hayo ni maoni ya baadhi ya watu lakini kuna ishu nyingine kwamba kijana got attitude na tumeona BR hapendezwi na watu wa aina hiyo

Kwa aina ya mpira ambao BR anafundisha kwasasa, sidhani kama Alberto ataweza kufit. He is slow and that will result on killing the moves

Mwaka 2011, Uruguay walipochukua kombe la Copa America, the youngest Best Player alikuwa Coates na hiyo inadhihirisha kwamba ni mchezaji mzuri.
Apart from being injured lakini naona RB bado hajamuamini vyakutosha. And his chance will be slimmer if Liverpool decided to add Lovren on the team!!

Nakubaliana na wewe kwa 100%

Lakini hapo kwa suso, Kwa aina ya Attacking football yenye speed pale LFC kwa sasa, sidhani suso kama anaweza akaingia moja kwa moja, sahiv unahitaji kina pedro/shaqir/lallana na wengineo..suso ni fundi sana, tena kuliko hata Allen, lakin sidhan kama kwenye formation ya sasa anaweza akafit vizuri..ila hatuwezi jua, Huko porto anaweza akaimprove kiasi..he had like 8 assists in spain, sawa na kina Iniesta kwa msimu uliopita!

Hilo suala la atitude, dogo analo sana, si unakumbuka alivyomzingua Enrique, mpk LFC wakampiga fine!

kwenye, suala la LA, yule dogo ni mzuuuri mno..sema tu, alikuja wakati Liverpool ipo kwenye msimu bora sana..ambapo ni matokeo tu, ndo yalikuwa yanahitaji..so ingekuwa vigumu sana kupata shout..Unazikumbuka zile dakika chache alizozipata dhidi ya Newcastle and Spurs away??..

Kuhusu, Coates, me sishangai, kama tu, hata Agger anaonekana kilaza, itakuwa Kwa coates?..ndo maana napenda sana kuona LFC wanamleta defensive coach mzuri sana!
 
wakileta za kuleta aachwe tu, agents wanaharibu biashara and i am happy jinsi liverpool wanavyomanage tanfer, ukilegea wakatupiga hadi maskioni

afterall Serge (fullback wa Vote d'ivoire) is better than moreno and cheaper

Moreno, ndo LB pekee ambaye anastahili kuvaa jezi ya LFC msimu ujao..

Mkuu Janjaweed yule dogo ni mzuuuri sana..

Ndo maana, watu walikuwa wanahoji, inakuwaje, dogo anauzwa bei ndogo kuliko Shaw..seville wapo reasonable kuhold move ya dogo, Ana miaka 21 tu, na ni hatari, Unahitaji kumake profit ya kile ulichokitengeneza tangu hapo awali!!..
 
Last edited by a moderator:

he is not even in spain team

hayo mambo ya bei ndio yalimfanya andy carrol akauzwa kwa 35M na sturridge kwa 12M na suarez kwa 21M

bei zinapigiwa perepete na madalali na media ambao hupewa bakshishi... soccer is the most corrupt sport

if it wasnt for his good agent and his love for liverpool, Lambert angeuzwa kwa 12M
 
Ana miaka 21 tu, aliitwa kwenye kikosi cha awali, kabla ya mchujo, Alicheza mechi zote za kirafiki za spain, wakat wa maandalizi ya WC..spain wa Jord Alba, Juanfran, Azplicueta, carvalaj, asa unafikiri hapo dogo kama Moreno atapenya vipi??

Brazil, ameachwa Philipe Luiz wa ATM yule, so kwa hapo utaniambia Philipe ni M-bovu?..wameachwa kina Coutinho..

spain LB na RB zipo za kutosha sana, siyo kama ENGLAND, despite na form mbovu aliyoionesha GJ msimu huu pale LFC, lakin ndo anaanza pale ENGLAND kwenye WC..ndo maana unaona mpaka kina Flanagan wanapata shout!!

Moreno, ni mchezaji mzuri, na price yake ni reasonable, Na second choice ya LB, ni Bertrand, asa si bora utoe hiyo hela, kuliko kumsajili Mchezaja kama Bertrand??!!

Tatizo la LB, pale LFC limekuwepo for ages, mtu kama Moreno, anaweza kuja na kutoa msaada mkubwa sana!!..
 
thanks but no thanks

if he not better than azpiliqueta then he is not worth 18M quids

kuna m-ivory coast anaitwa serge, mcheki uone kazi yake, madalali wanaharibu sana soka, hata david luiz kauzwa 50M quids and Lovren anakua rated kwenye 12M

soccer is a circus
 
Coates alipewa fursa ya kuonyesha kipaji chake, tena kwenye mechi za FA na akavurunda. Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Liverpool

Sebastian Coates, ni bonge ya Centre-Back..

Fact, iliyowazi ni kwamba BR, hajui jinsi ya kudeal na defendars!!.
 
usishangae kumuona Betrand anakuja LFC badala ya Moreno,a reason is very clear! He's a British player! Mtu mwenyewe anayefanya negotiations ndo Ian Ayre! Yupo kibiashara zaidi,atamchukua yule wa bei rahsi! Ha ha ha ha! Ayre is b.tch
 
thanks but no thanks

if he not better than azpiliqueta then he is not worth 18M quids

kuna m-ivory coast anaitwa serge, mcheki uone kazi yake, madalali wanaharibu sana soka, hata david luiz kauzwa 50M quids and Lovren anakua rated kwenye 12M

soccer is a circus

yule Serge Aurier ni Arsenal bound ile, anatajwa kama replecement ya Bacary sagna..na sidhani kama tunamuhitaji mchezaji wa aina ile..

Inaelekea hujamtazama sana Moreno!!!..na labda yawezekana, umefanikiwa kutazama game zake chache sana!

Mkuu, Inashangaza kuona, you dont rate Azplicueta "Dave"..tukiweka ushabiki pembeni, yule jamaa ni mzuri sana, Liverpool, tunakosa fullback kama ile..yule amekuwepo spain ya U16 mpk sasa hii ya wakubwa, ni kama Moreno, alianza kwenye U16 mpaka sasa ameanza kunusa Spain ya wakubwa!

Agents na oil money, zinaharibu sana mpira, na ukishalijua hilo, itabidi na wewe ujitutumue angalau kuendana na soko linavyotaka na kwa reasonable price..lasivyo utaishia kwa kina Aspas na Assaid kila siku..kutoa £18 kushuka chini kwa wachezaji kama Lallana, Moreno, Emre can, Lovren ni sawa kabisa, lakini huwez kutoa £18m kushuka chini kwa kina Sanchez, Pedro, Martnez na wengineo..ndo soko lilivyo sahiv!!

Na kwa Lallana, kwa akili za fasta fasta tu, ni kwamba Kama Kweli liverpool wangekuwa wamebid £25m kwa mchezaj kama lallana ambaye ana miaka 26 sasa, unafikiri wangekataa, na wakiwa wanajua wazi kuwa bwana mdogo anataka kuondoka?..na mpaka sasa inasemekana viongozi wake, wanaignore his calls!!!..kwann wam'ngang'anie wakat umepeleka bid ya £25m kwa lallana?..

Kuhusu lovren, ni uzembe wa Liverpool tu, last summer kabla hajaenda So'ton, he was crying kujoin LFC, but BR and Ayre ignored him, na alikuwa anauzwa £8m tu, na Lyon kama sikosei!!..so sahiv unamtaka, lazima southampton na Agent wa mchezaji wakulingie..na LFC itawatoka £15m, na kwa ile perfomance yake ya jana dhidi ya Brazil, na game zingine zijazo, tutasikia mengine mengi!
 
lovren is barca bound... Morenoooo, bado sijatoa zaidi ya 16, main reason ni kwamba tunahitaji leader pia pale nyuma... i would take him anytime kwa 15-26.5M: i would pay more than 16.5 if we sell johnson... that will make sense to me

Lallana, siwezi kutoa zaidi ya 25, philipe countinho, alberto, emre, suarez, borini, sterling, henderson, allen can all position to support sturridge
 
usishangae kumuona Betrand anakuja LFC badala ya Moreno,a reason is very clear! He's a British player! Mtu mwenyewe anayefanya negotiations ndo Ian Ayre! Yupo kibiashara zaidi,atamchukua yule wa bei rahsi! Ha ha ha ha! Ayre is b.tch

Hahahahahh!!!

Aiseee!!..mara bwana Ryan Betrand katua LFC..ha ha hahhaha!!

Manake wakimkosa Moreno, yule Ricardo rodriguez wa Vfl Wolfsburg, ndo hawatoweza kumuafford kabisa!!!..bei yake ni hatari saaana!..bora wakaze kwa Moreno tu..manake wakibugi..bwana Betrand atatia maguu pale Anifield!!..tutarudi kule kule kwenye enzi za kina Djimi traore!!!
 
lovren is barca bound... Morenoooo, bado sijatoa zaidi ya 16, main reason ni kwamba tunahitaji leader pia pale nyuma... i would take him anytime kwa 15-26.5M: i would pay more than 16.5 if we sell johnson... that will make sense to me

Lallana, siwezi kutoa zaidi ya 25, philipe countinho, alberto, emre, suarez, borini, sterling, henderson, allen can all position to support sturridge

Kama unataka Leader pale nyuma, kwanini, unahangaika Kutaka kumuuza Agger? (vice captain)..MS hawez kumkaripia MS mweusi kama akizingua!, lakini Agger can defo' do that..

Seville, washakubali hiyo £16m, kinachokwamusha ni add-ons tu ambazo LFC hawatak kuzitoa (na huo ndo ukweli, japokuwa LFC fans hawataki kukubaliana na huo ukweli)..tulimkosa Willian kwa only £2m!!!!..

LFC, hawajapeleka £25m kwa Lallana, kama ingekuwa ni hivyo, negotiations, zisingechukua muda mrefu kiasi hicho!!!

Barca, nadhan wapo katika position nzuri zaidi ya kumchukua Marquinhos wa PSG..kuliko Dejan Lovren!!
 
Ross Barkley namkubali sana.
I wish tungempata

shabiki wa damu wa LFC, lakini kama kuuzwa atauzwa bei saaana!!..

Nakubaliana na wewe, ni moja kati ya natural talents chache sana za kiingereza, ambazo tunazishuhudia zaidi!!
 
BR angemfuatilia huyo #2 central defender Vlaar. He's tall, powerful and very smart
 
Kama unataka Leader pale nyuma, kwanini, unahangaika Kutaka kumuuza Agger? (vice captain)..MS hawez kumkaripia MS mweusi kama akizingua!, lakini Agger can defo' do that..

Seville, washakubali hiyo £16m, kinachokwamusha ni add-ons tu ambazo LFC hawatak kuzitoa (na huo ndo ukweli, japokuwa LFC fans hawataki kukubaliana na huo ukweli)..tulimkosa Willian kwa only £2m!!!!..

LFC, hawajapeleka £25m kwa Lallana, kama ingekuwa ni hivyo, negotiations, zisingechukua muda mrefu kiasi hicho!!!

Barca, nadhan wapo katika position nzuri zaidi ya kumchukua Marquinhos wa PSG..kuliko Dejan Lovren!!
Mkuu, i hvae never support Agger kuwekwa benchi

actually hata jezi yangu ina namba tano...
agger_0.jpg
 
Back
Top Bottom