Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu hiyo sio source pekee iliyo report
http://www.koptalk.co.uk/201406051068/alberto-moreno-to-sign-5-year-liverpool-contract.html

INAELEKEA ISHU IMEBUMA!!

Dodosa ambazo zilipatikana kwenye vyombo vya habari kwamba Moreno was due to fly to Liverpool for medical zinaonekana kukanushwa kwa maelezo kwamba bado mazungumzo kati ya timu hizo mbili yanaendelea.

Inaelekea Sevilla wanataka nau la £16m liongezeke plus some of the bonuses and add-ons to be guaranteed by the Reds. Wakati Liverpool wanaelekea kuwa wagumu kuongeza huku wakipewa tumaini na kile kilichotajwa kwamba Morena ameonyesha nia binafsi ya kujiunga na majogoo.

Kumekuwa na taarifa kwamba huenda Totten nao wakaingia kwenye purukushani za kumsajili albert, huku ikidaiwa kwamba wataongeza dau. Hali hii bilashaka itamkera BR na huenda ikasababisha yaliyotokea kwa kono na willy
 
Imekaa vibaya ngoja tuone mwisho itakuwaje!!
 
Siyo kukaa vibaya tu, but it’s really annoying!

BR anajitahidi kuwahi kusajili ili kuepuka kupigana vikumbo vya bei, lakini Sevilla wanafanya makusudi kumchelewesha ili kutafuta tag of war! Inadaiwa kuwa Sevilla wanataka large amount of up front ambayo siyo taratibu yakiuhamisho! No mater what the price is, hakuna utaratibu wa namna hiyo

Janja nyingine wanayofanya ni kuchelewesha ili wajue kwenye uuzaji wa rakitic watavuna kiasi gani. Wasiwasi wangu ni kupanda kwa mo, iwapoa hawatapata anachokitarajia kwa rak…

Lakini ukiangalia deal na Liverpool imeisha piga hatua sana na hakuna sababu ya kuisubirisha kwa ajili ya dili nyingine…these guys are MORON!!
 
Inaonekana dogo Samed Yesil, anaweza akatolewa kwa mkopo msimu unaoanza!!

Dah!!..dogo nadhani anahitaji muda wa kucheza uwanjani..atapata nafasi ya kutosha sana huko atakakoenda kwa mkopo!!

Itakuwa good move kwake binafsi na kwa Club pia..coz ni hazina ya club kwa badae..so acha akazidishe uzoefu!!!

Well, Conor coady na Jack robnson, wanauzwa moja kwa moja, ukiachana na kina sama na Ngoo ambao walishakuwa released from the Academy tangu last month!

Suso, nae Nadhan ataondoka moja kwa moja, kwa mpango wake wa kutaka kucheza mara kwa mara, sidhan kama itawezekana kwa LFC ya sahiv..so anaweza akatimka permanently safari hii..(HUGE MISTAKE)..

Luis Alberto, nae mkopo unamuhusu sana!!..Malaga or seville??!!..tusubirie tuone!!!

Coates, sijajua mustakabali wake uko vipi mpaka sasa..ila dogo ni CB mzuri sana, Amefanya vizuri sana akiwa kwa mkopo Nacional, mpaka ameitwa kwenye team ya taifa ya Uruguay..BR sijui ana mpango gani na huyu dogo!
 
Kuna watu wanamtaja kelly kama ni mchezaji mwenye bahati mbaya lakini kwa mimi naona kama yeye ana nafuu ukimlinganisha na Samed.
Toka alivyokuwa Bayer, dogo amekuwa akukimbwa na majeruhi ya mara kwa mara na hili tumeliona pia likirudisha nyuma kipaji cha Teixeira

Ishu ya Suso inamkanganyiko na kuna watu wamefikia kusema hapewi nafasi sababu his not not British… you remember pacheco? Hayo ni maoni ya baadhi ya watu lakini kuna ishu nyingine kwamba kijana got attitude na tumeona BR hapendezwi na watu wa aina hiyo

Kwa aina ya mpira ambao BR anafundisha kwasasa, sidhani kama Alberto ataweza kufit. He is slow and that will result on killing the moves

Mwaka 2011, Uruguay walipochukua kombe la Copa America, the youngest Best Player alikuwa Coates na hiyo inadhihirisha kwamba ni mchezaji mzuri.
Apart from being injured lakini naona RB bado hajamuamini vyakutosha. And his chance will be slimmer if Liverpool decided to add Lovren on the team!!
 
Ila wadau hebu tuambizane hapa,hivi kwanin timu yetu imejaza waingereza vile? Mimi binafsi,sio shabiki wa mchezaji yeyote yule wa kingereza,afu naona BR ndo anazidi kuwaleta tu,halafu wana bei kubwa wakati hawana walijualo!
 
huyo suso kama vipi asepe tu,hayo masharti yake akawape huko anakotaka kwenda,kwa mpira gani wa suso kumuweka mtu kama Coutinho benchi? Au Hendo? Aondoke zake tu,no matter what! Mbona msimu huu hakuwepo na tumefanya vizuri tu! Wapo madogo kibao wanaoweza kukaa benchi badala yake,Ibe,Texeira,Sterling,Dunn,etc..
 
Inaonekana dogo Samed Yesil, anaweza akatolewa kwa mkopo msimu unaoanza!!

Dah!!..dogo nadhani anahitaji muda wa kucheza uwanjani..atapata nafasi ya kutosha sana huko atakakoenda kwa mkopo!!

Itakuwa good move kwake binafsi na kwa Club pia..coz ni hazina ya club kwa badae..so acha akazidishe uzoefu!!!

Well, Conor coady na Jack robnson, wanauzwa moja kwa moja, ukiachana na kina sama na Ngoo ambao walishakuwa released from the Academy tangu last month!

Suso, nae Nadhan ataondoka moja kwa moja, kwa mpango wake wa kutaka kucheza mara kwa mara, sidhan kama itawezekana kwa LFC ya sahiv..so anaweza akatimka permanently safari hii..(HUGE MISTAKE)..

Luis Alberto, nae mkopo unamuhusu sana!!..Malaga or seville??!!..tusubirie tuone!!!

Coates, sijajua mustakabali wake uko vipi mpaka sasa..ila dogo ni CB mzuri sana, Amefanya vizuri sana akiwa kwa mkopo Nacional, mpaka ameitwa kwenye team ya taifa ya Uruguay..BR sijui ana mpango gani na huyu dogo!
Coates alipewa fursa ya kuonyesha kipaji chake, tena kwenye mechi za FA na akavurunda. Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Liverpool
 
Ila wadau hebu tuambizane hapa,hivi kwanin timu yetu imejaza waingereza vile? Mimi binafsi,sio shabiki wa mchezaji yeyote yule wa kingereza,afu naona BR ndo anazidi kuwaleta tu,halafu wana bei kubwa wakati hawana walijualo!
wewe Kama Mie japo timu ya taifa naishabikia Yule Lallana sijui wa nini baada kutizama Lovren na Middle za kinyama tu naye Raheem sasa Lallana wa kitu gani Kama sio kupoteza Pesa? Mwakani top 4 tunayo ila tutakuwa wasindikizaji Kuwania ubingwa tusahau Suso kweli Kama hataki Bench aende tu walete player na waache ubaili wakutoa mishahara ya week kwa Player wa nje mbona hawa wa Britain wanataka kuwapa? football is money wasipotoa kwa player wamaana Wenye nazo hawafikirii mara mbili muda mwengine naona SG avunjike aseme basi football ndio kati tutaleta wamaana ila Mie sina mengi nasikilizia zikaanza game sio naosajili sio naotoa pesa Mie kazi yangu Kuwa mshabiki ila nishachoka kuumia roho na wachezaji Price tag sio zao ni za mpira wa mchangani.
 
INAELEKEA ISHU IMEBUMA!!

Dodosa ambazo zilipatikana kwenye vyombo vya habari kwamba Moreno was due to fly to Liverpool for medical zinaonekana kukanushwa kwa maelezo kwamba bado mazungumzo kati ya timu hizo mbili yanaendelea.

Inaelekea Sevilla wanataka nau la £16m liongezeke plus some of the bonuses and add-ons to be guaranteed by the Reds. Wakati Liverpool wanaelekea kuwa wagumu kuongeza huku wakipewa tumaini na kile kilichotajwa kwamba Morena ameonyesha nia binafsi ya kujiunga na majogoo.

Kumekuwa na taarifa kwamba huenda Totten nao wakaingia kwenye purukushani za kumsajili albert, huku ikidaiwa kwamba wataongeza dau. Hali hii bilashaka itamkera BR na huenda ikasababisha yaliyotokea kwa kono na willy

wakileta za kuleta aachwe tu, agents wanaharibu biashara and i am happy jinsi liverpool wanavyomanage tanfer, ukilegea wakatupiga hadi maskioni

afterall Serge (fullback wa Vote d'ivoire) is better than moreno and cheaper
 
Ila wadau hebu tuambizane hapa,hivi kwanin timu yetu imejaza waingereza vile? Mimi binafsi,sio shabiki wa mchezaji yeyote yule wa kingereza,afu naona BR ndo anazidi kuwaleta tu,halafu wana bei kubwa wakati hawana walijualo!

the biggest BR mistake itakua ni kujaza waingereza... they are not hungry na wanalewa sifa kirahisi

Liverpool hawahitajia another british, kutakua na dressing room issues tu
 
Coates alipewa fursa ya kuonyesha kipaji chake, tena kwenye mechi za FA na akavurunda. Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Liverpool

kama ni kuvurunda, haka akina suarez, beckham etc wameshawahi kuvurunda... Coates is one of the smartest defenders, he should be given more chances... hata Skertel kachemsha mara nyingi tu, Gerro ndio usiseme but the more chances they got, the better they got

unakumbuka Gerro wakati akiwa na bob style?
 
wewe Kama Mie japo timu ya taifa naishabikia Yule Lallana sijui wa nini baada kutizama Lovren na Middle za kinyama tu naye Raheem sasa Lallana wa kitu gani Kama sio kupoteza Pesa? Mwakani top 4 tunayo ila tutakuwa wasindikizaji Kuwania ubingwa tusahau Suso kweli Kama hataki Bench aende tu walete player na waache ubaili wakutoa mishahara ya week kwa Player wa nje mbona hawa wa Britain wanataka kuwapa? football is money wasipotoa kwa player wamaana Wenye nazo hawafikirii mara mbili muda mwengine naona SG avunjike aseme basi football ndio kati tutaleta wamaana ila Mie sina mengi nasikilizia zikaanza game sio naosajili sio naotoa pesa Mie kazi yangu Kuwa mshabiki ila nishachoka kuumia roho na wachezaji Price tag sio zao ni za mpira wa mchangani.
Lengo la kumsajili Lallana ni kupata options za attacking mid espcially ukizingatia kuwa Lallana ni super mtaalamu kwenye counter attack na atakuwa a perfect fit for Liverpool. Ila hastahili kununuliwa kwa zaidi ya 25 million pounds.
Ningekuwa BR ningejenga defense na kuongeza lethal striker kama Sanchez kule mbele
 
kuna xeridan shakiri na konoplyanka watafit the bill na aanze kuwapa nafasi akina Ibe, they can do better than Lallana
 
with 30M pounds ni bora wamfukuzie jackson martines tuwe na mashine nne za kuua mtu pale mbele, Suarez, sturridge, martize na sterling

then tukomae na kasi tu
 
kama ni kuvurunda, haka akina suarez, beckham etc wameshawahi kuvurunda... Coates is one of the smartest defenders, he should be given more chances... hata Skertel kachemsha mara nyingi tu, Gerro ndio usiseme but the more chances they got, the better they got

unakumbuka Gerro wakati akiwa na bob style?
Nakubaliana na mawazo yako. but Coates nimemwona games chache na he's soft!
 
kuna xeridan shakiri na konoplyanka watafit the bill na aanze kuwapa nafasi akina Ibe, they can do better than Lallana
Mkuu kaangalie tapes za Lallana jinsi anavyo-flow na utamkubali kwa sanaaa especially kwenye counter attack. There are 2 players ambao ni balaaaaaaa na nomaaaaa kwenye counter. Lallana and Ross Barkley.
Ningekuwa BR ningemsajili Ross Barkley hata for 60 million pounds! He's the next Pirlo!!!!!!
 
definitely agree

but with shaqiri and konoplyanka plus sterling, suarez, coutinho, ibe, suso, na yule mtaliano aliye sunderland, lalana seems to be a luxury

he is surely superb but not for 30M, and he is not a 90 min man

kwa barkley nakubaliana na wewe kabisa, he is a gem
 
Ross Barkley is currently the best mid in the EPL
 
Back
Top Bottom