Dua yangu ya kutoangalia game yoyote ya Suarez akichezea LFC imekamilika ila ubaya unakuja vipi Luis a Suarez apigwe game nyingi kwa LFC kuliko Uruguay?? Na alivyopigwa mara ya mwisho Ban najuwa Ban ni ya FA na FIFA tofauti ila FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January so players pia waliowataka kwa Pesa za Suarez tusahau jengine hapo LFC wakisema wam Sue Suarez ni bure utapata Million 10 tu then mchezaji anaondoka Free hapo FIFA ban ayo sio mbaya ila URUGUAY timu ya Taifa imependelewa ndio ukweli LFC mpaka hapo ishapotezewa mengi angepigwa URUGUAY tu LFC wangemuuza sasa hivi Barca hawawezi kununuwa tena sababu ya Club ban.
kwanza mkuu
Pazi hakuna taarifa yoyote ya kueleweka au statement yoyote kutoka
#LFC na
#FCB kuwa suarez atauzwa Barcelona, hizo ni speculations na makisio tu ya MARCA na kina balague kutokana na reliable news kutoka kwa kina Di Marzio (sky italia), James pearce (echo), Ben smith (BBC), kuwa LFC have regstered a strong interest kwa Sanchez, na sanchez & shaqiri ndo realistic targets kwa sasa zaid ya Kina Lovren, Sasa suala lililoleta mjadala hapo ni kwamba sanchez anakuja kama replecement ya Suarez??, na ni juzi tu, LFC officials wali issue an official statement kupitia liverpoolEcho (liverpool based local newspaper) kuwa hakuna Approaches yoyote kutoka clubs nyingine kuhusu Suarez,
Sasa baada ya kuwadungua England goal 2, rumours za kuondoka kwa suarez LFC zikaanza kupamba moto (kwa kuwa prior to that, kulikuwa na rumours tayar za Falcao kuwa na pre-agreement na Madrid), ishu ya suarez kwenda Madrid haikuwa na nafas tena, hapo kina Balague wakaja na habari kuwa Suarez ana prefer kuichezea Barca kuliko madrid (wakat kipind kile Suarez alishaquotiwa akisema Dream yake ni kuichezea madrid), lakini leo hii tunaambiwa ana prefer kwenda Barca!!!.
#LFC imetenga kama £60m ya usajili this summer, hyo bila ya kuuza wachezaji, so ukiongeza na wachezaji ambao watauzwa this summer, akina Borini, Aspas, Assaid, Reina, Coates, Agger, suso na wengineo..HELA itakuwa nyingi tu ya usajil plus UCL qualfying money pia!!!
so HELA ya Suarez haikuwepo kwenye mipango!
BUT, tukitoa ushabiki, naombea sana Barca waje kweli kutoa offer kwa Suarez, jamaa kiukweli itabidi aondoke tu pale
#LFC , 9 matches ban, na miez minne bila kucheza soccer ni disgrace kwa team..so atakosa game 14 za LFC katika mashindano yote mpaka october!!!
nimeona Spokesman wa FIFA, anasema transfer inaweza kufanyika kama kawaida..so kama Barca wakija na £50+Sanchez nadhan LFC at this stage, will be happy to sell..sidhan kama barca wanaweza kufikia release clause ya £87.5million ya Suarez, unless mpaka waambatanishe na mchezaji..so kwa barca kumuInclude na sanchez kwenye deal, will be a good business!
Na even if, Barca wataahirisha kumsajili, sidhani kama kutakuwa na excuse yoyote kwa
#LFC kutokufanya usajili wa striker wa maana hence the best striker you have will be out of the pitch mpaka october!
Swali hapa mkuu
Pazi ni kwamba, wakati Suarez anam'ngata Ivanovic, mbona uruguay haikuwa countable??, sasa inakuwaje amem'ngata mtu akiwa katika his uruguay jezi, na
#LFC wamekuwa countable directly!??
Naskia
#LFC watatoa statement kama Team si mda mrefu, sijui watasemaje!!