Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona sakho akiwa national team anafanya vizuri, why not akiwa LFC?
kuhusu Sakho sizani Kama alifanya vibaya LFC kwa maoni yangu kafanya 50/50 ndio kwanza kaja mawasiliano pia hasa kwa Lugha kwa upande wa mabeki muhimu sana kuliko Strikers au winger Sakho alichemsha game chache za mwisho tu jamaa mkali, tuje kwenye Usajili nasikia Shaqhiri agency yupo UK anafanya mazungumzo na LFC na Phil Thompson Kasema kasikia watu wa karibu kwamba Deal la Sanchez ni tayari on na watu wa LFC wapo Brazil Game zote za Chile Phil Thompson mara ya mwisho alisema kasikia mtu wa karibu Deal la Enrique ni on tayari wakati Enrique yupo Newcastle ila siku hizi siamini kitu Players timu nyingi siku hizi unasikia Deal On mara Off muhimu siku hizi mpaka umuonea Player na Pen and Paper Ana sign hata Medical usiamini.na ndo maana huwa nasema hapa,Sakho,kwa upande wangu ni LCB wa ukweli sana,he's still young,24. Ana mengi ya kupata experience,Agger ana miaka 30,ni experienced player,kumlinganisha na Sakho sio fair!
Dua yangu ya kutoangalia game yoyote ya Suarez akichezea LFC imekamilika ila ubaya unakuja vipi Luis a Suarez apigwe game nyingi kwa LFC kuliko Uruguay?? Na alivyopigwa mara ya mwisho Ban najuwa Ban ni ya FA na FIFA tofauti ila FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January so players pia waliowataka kwa Pesa za Suarez tusahau jengine hapo LFC wakisema wam Sue Suarez ni bure utapata Million 10 tu then mchezaji anaondoka Free hapo FIFA ban ayo sio mbaya ila URUGUAY timu ya Taifa imependelewa ndio ukweli LFC mpaka hapo ishapotezewa mengi angepigwa URUGUAY tu LFC wangemuuza sasa hivi Barca hawawezi kununuwa tena sababu ya Club ban.
FIFA wamesema kuwa anaweza kuhama timu this summer.

kuhama sio hoja,huko anakokwenda atacheza? Jaribu kuwa muelewa!
...FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January ....
FIFA wamesema kuwa anaweza kuhama timu this summer.
Dua yangu ya kutoangalia game yoyote ya Suarez akichezea LFC imekamilika ila ubaya unakuja vipi Luis a Suarez apigwe game nyingi kwa LFC kuliko Uruguay?? Na alivyopigwa mara ya mwisho Ban najuwa Ban ni ya FA na FIFA tofauti ila FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January so players pia waliowataka kwa Pesa za Suarez tusahau jengine hapo LFC wakisema wam Sue Suarez ni bure utapata Million 10 tu then mchezaji anaondoka Free hapo FIFA ban ayo sio mbaya ila URUGUAY timu ya Taifa imependelewa ndio ukweli LFC mpaka hapo ishapotezewa mengi angepigwa URUGUAY tu LFC wangemuuza sasa hivi Barca hawawezi kununuwa tena sababu ya Club ban.
Nimesikitika sana kwa kitendo Suarez ila ndo hi yo tena...