Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Well, it looks like Luis Alberto's season long loan move to Malaga inakarbia kukamilika!!

A good shout for Him!!
 
naona sakho akiwa national team anafanya vizuri, why not akiwa LFC?

Kama wote wasingekuwa wanatumia mguu wa kushoto, Combination ya Agger na Sakho ingekuwa Nzuri sana..

Asa amekutana na mwenzake Skritel, wote nguvu nyingi, akili kidogo!

France yupo relaxed, bcoz anacheza na Varane!!..varane ni beki anayetumia akili katika uzuaji, so anahitaji bek wa kumpartner awe anatumia Nguvu katika kukaba, ili kuibalance presha ya mashambulizi!

ndo maana MS+MS haiwez kuwork, Koscielny+Vermalen haikuwork, Komapany+Lescott haiwork, dowson+Kaboul haiwork, heitinga+jagielka haikuwork..etc

Ndo maana kwa Liverpool combination ya Agger+JC ilifanikiwa, na Ya Agger+skirtel ilifanikiwa, Lakina JC+skirtel haikufanikiwa...
 
na ndo maana huwa nasema hapa,Sakho,kwa upande wangu ni LCB wa ukweli sana,he's still young,24. Ana mengi ya kupata experience,Agger ana miaka 30,ni experienced player,kumlinganisha na Sakho sio fair!
 
kuhusu Sakho sizani Kama alifanya vibaya LFC kwa maoni yangu kafanya 50/50 ndio kwanza kaja mawasiliano pia hasa kwa Lugha kwa upande wa mabeki muhimu sana kuliko Strikers au winger Sakho alichemsha game chache za mwisho tu jamaa mkali, tuje kwenye Usajili nasikia Shaqhiri agency yupo UK anafanya mazungumzo na LFC na Phil Thompson Kasema kasikia watu wa karibu kwamba Deal la Sanchez ni tayari on na watu wa LFC wapo Brazil Game zote za Chile Phil Thompson mara ya mwisho alisema kasikia mtu wa karibu Deal la Enrique ni on tayari wakati Enrique yupo Newcastle ila siku hizi siamini kitu Players timu nyingi siku hizi unasikia Deal On mara Off muhimu siku hizi mpaka umuonea Player na Pen and Paper Ana sign hata Medical usiamini.
 
Dua yangu ya kutoangalia game yoyote ya Suarez akichezea LFC imekamilika ila ubaya unakuja vipi Luis a Suarez apigwe game nyingi kwa LFC kuliko Uruguay?? Na alivyopigwa mara ya mwisho Ban najuwa Ban ni ya FA na FIFA tofauti ila FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January so players pia waliowataka kwa Pesa za Suarez tusahau jengine hapo LFC wakisema wam Sue Suarez ni bure utapata Million 10 tu then mchezaji anaondoka Free hapo FIFA ban ayo sio mbaya ila URUGUAY timu ya Taifa imependelewa ndio ukweli LFC mpaka hapo ishapotezewa mengi angepigwa URUGUAY tu LFC wangemuuza sasa hivi Barca hawawezi kununuwa tena sababu ya Club ban.
 
Ni kweli mwezi wa 10 atarejea dimbani lakini itabidi avishwe protector mdomoni ili kuzia madhara zaidi yasitoke hasa Liverpool itakapokutana na Man united.
Z
 
Dua yangu ya kutoangalia game yoyote ya Suarez akichezea LFC imekamilika ila ubaya unakuja vipi Luis a Suarez apigwe game nyingi kwa LFC kuliko Uruguay?? Na alivyopigwa mara ya mwisho Ban najuwa Ban ni ya FA na FIFA tofauti ila FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January so players pia waliowataka kwa Pesa za Suarez tusahau jengine hapo LFC wakisema wam Sue Suarez ni bure utapata Million 10 tu then mchezaji anaondoka Free hapo FIFA ban ayo sio mbaya ila URUGUAY timu ya Taifa imependelewa ndio ukweli LFC mpaka hapo ishapotezewa mengi angepigwa URUGUAY tu LFC wangemuuza sasa hivi Barca hawawezi kununuwa tena sababu ya Club ban.

FIFA wamesema kuwa anaweza kuhama timu this summer.
 
Hadi mwezi wa kumi kama ban yake itasimama hivyo hivyo atakosa game za club tisa kwa ratiba ya BPL, so sidhani kama itakuwa ni tatizo kwenye kumuuza, timu zinazomtaka zitaingia nae mkataba wa muda mrefu, kwa hiyo kukosa hizo game hazitaziathiri sana.

Wasiwasi wangu kwenye kumuuza value yake inaweza ikashuka. Ila bora aende washabiki wamembeba vya kutosha.

Kwa hii adhabu FIFA wameidhibu sana club ya Liver kama atabaki au timu itakayomnunua kwa kosa ambalo haiusiki nalo moja kwa moja. Ilitakiwa iwe kwa game za timu ya taifa na wangempiga fine ya fedha za kutosha yeye mwenyewe LS.
 
kuhama sio hoja,huko anakokwenda atacheza? Jaribu kuwa muelewa!

Du! Yaani pamoja na kukuwekea bandiko la Pazi na kuweka msisitizo kwa kupigia mstari nilichokuwa najibu bado hujaelewa?

Ngoja nirudie tena labda utaweza kuelewa.

Pazi aliandika hivi

...FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January ....

Nami nikamjibu hivi

FIFA wamesema kuwa anaweza kuhama timu this summer.

I hope sasa utakuwa umeelewa!!
 
Dua yangu ya kutoangalia game yoyote ya Suarez akichezea LFC imekamilika ila ubaya unakuja vipi Luis a Suarez apigwe game nyingi kwa LFC kuliko Uruguay?? Na alivyopigwa mara ya mwisho Ban najuwa Ban ni ya FA na FIFA tofauti ila FIFA hapa wamewapiga LFC na Suarez FIne LFC hapo kuuza haitowezekana tena mpaka January so players pia waliowataka kwa Pesa za Suarez tusahau jengine hapo LFC wakisema wam Sue Suarez ni bure utapata Million 10 tu then mchezaji anaondoka Free hapo FIFA ban ayo sio mbaya ila URUGUAY timu ya Taifa imependelewa ndio ukweli LFC mpaka hapo ishapotezewa mengi angepigwa URUGUAY tu LFC wangemuuza sasa hivi Barca hawawezi kununuwa tena sababu ya Club ban.

kwanza mkuu Pazi hakuna taarifa yoyote ya kueleweka au statement yoyote kutoka #LFC na #FCB kuwa suarez atauzwa Barcelona, hizo ni speculations na makisio tu ya MARCA na kina balague kutokana na reliable news kutoka kwa kina Di Marzio (sky italia), James pearce (echo), Ben smith (BBC), kuwa LFC have regstered a strong interest kwa Sanchez, na sanchez & shaqiri ndo realistic targets kwa sasa zaid ya Kina Lovren, Sasa suala lililoleta mjadala hapo ni kwamba sanchez anakuja kama replecement ya Suarez??, na ni juzi tu, LFC officials wali issue an official statement kupitia liverpoolEcho (liverpool based local newspaper) kuwa hakuna Approaches yoyote kutoka clubs nyingine kuhusu Suarez,

Sasa baada ya kuwadungua England goal 2, rumours za kuondoka kwa suarez LFC zikaanza kupamba moto (kwa kuwa prior to that, kulikuwa na rumours tayar za Falcao kuwa na pre-agreement na Madrid), ishu ya suarez kwenda Madrid haikuwa na nafas tena, hapo kina Balague wakaja na habari kuwa Suarez ana prefer kuichezea Barca kuliko madrid (wakat kipind kile Suarez alishaquotiwa akisema Dream yake ni kuichezea madrid), lakini leo hii tunaambiwa ana prefer kwenda Barca!!!.

#LFC imetenga kama £60m ya usajili this summer, hyo bila ya kuuza wachezaji, so ukiongeza na wachezaji ambao watauzwa this summer, akina Borini, Aspas, Assaid, Reina, Coates, Agger, suso na wengineo..HELA itakuwa nyingi tu ya usajil plus UCL qualfying money pia!!!
so HELA ya Suarez haikuwepo kwenye mipango!

BUT, tukitoa ushabiki, naombea sana Barca waje kweli kutoa offer kwa Suarez, jamaa kiukweli itabidi aondoke tu pale #LFC , 9 matches ban, na miez minne bila kucheza soccer ni disgrace kwa team..so atakosa game 14 za LFC katika mashindano yote mpaka october!!!

nimeona Spokesman wa FIFA, anasema transfer inaweza kufanyika kama kawaida..so kama Barca wakija na £50+Sanchez nadhan LFC at this stage, will be happy to sell..sidhan kama barca wanaweza kufikia release clause ya £87.5million ya Suarez, unless mpaka waambatanishe na mchezaji..so kwa barca kumuInclude na sanchez kwenye deal, will be a good business!

Na even if, Barca wataahirisha kumsajili, sidhani kama kutakuwa na excuse yoyote kwa #LFC kutokufanya usajili wa striker wa maana hence the best striker you have will be out of the pitch mpaka october!

Swali hapa mkuu Pazi ni kwamba, wakati Suarez anam'ngata Ivanovic, mbona uruguay haikuwa countable??, sasa inakuwaje amem'ngata mtu akiwa katika his uruguay jezi, na #LFC wamekuwa countable directly!??

Naskia #LFC watatoa statement kama Team si mda mrefu, sijui watasemaje!!
 
Last edited by a moderator:
AYRE: 'LFC will wait untill we've seen and had time to review the FIFA Disciplinary committee report before making any further comment"
 
TONY BARRET article on LFC reaction kuhusu suarez ban!
 
Attachments

  • 1403803601387.jpg
    1403803601387.jpg
    126.4 KB · Views: 42
Matches atakazo zikosa SUAREZ
 
Attachments

  • 1403803675770.jpg
    1403803675770.jpg
    88.6 KB · Views: 55
i think FIFA got it all wrong

Suarez is a mental case, all he needed was medical attention, and we saw it, Liverpool psychiatrist managed to get things right, but the pressure of WC and failure of Uruguay to offer suarez proper care let the disease got the best out of him... it is a bad punishment to liverpool

Liverpool didnt deserve to suffer

All in all, the club has always thrived in the midst of all troubles

maybe it is a good opportunity to nurture the Ibe's, Flano, buy Musa and a cheap full back instead of Moreno... and the hunger will keep us there

our problems are not in the attack, they are more in the midfield and defence and lets hope Emre will offer us something more... Allen, Sterling, Henderson, Phillipe, Sturdige have alwasy offered more when called to action

it may be a blessing in disguise
 
medical siku hizi ziwe zinapima na ubongo wa mtu ila Kama timu zinaweza kumnunuwa basi ni kweli atakuwa kaonewa LFC akibaki ambayo ndio Game ambazo sitoangalia akiwepo zitazidi Kuwa Ban kwangu sasa na Timu itayomchukuwa pia watakuwa wameonewa game atazokosa, URUGUAY alikuwa Suarez Kama LFC games kutocheza ok ni sawa au timu ataoenda ila wangefanya kwa timu ya Taifa asicheze kwa mashindano kibao ambayo URUGUAY watacheza. FIFA wamepatia na Kukosea na akibaki LFC watu watasema hasa EPL mashabiki wa Team zengine watasema kwanini LFC kambakisha ila hutosikia kwanini Barca na Real Madrid wanamnunuwa? Hilo ndio tatizo la watu wengi watu wahukumu Kote tukumbuke alivyomngata Ivanovic haikumzuia Wenger kumtaka na mashabiki wa Arsenal wakaanza kulifurahikia jambo na kusahau mengine, Suarez anamatatizo kwenye ubongo na inaonyesha siku akikabwa asicheze football uwanjani anauwezo wa kutafuna mtu tena ndomana sitaki kumuona LFC ila URUGUAY wamebebwa.
 
Pazi,muacheni tu suarez atumikie adhabu yake anayostahili kama hvyo! Akirudi uwanjani mimi nitamshabikia kama kawaida! Kila mtu ana mapungufu yake,ndo alivyo Suarez,huwezi kumbadilisha,akirudi ataendelea kufunga na kunipa furaha,hayo mengine hayanihusu! Pengine ndo akina Ayre sasa watasajili striker mwingine wa maana ili suarez akirudi iwe balaa tupu! Nakupa pole,make kuanzia mwisho wa oct hutaangalia game zetu mpaka mwaka 2016 suarez atakapopigwa ban tena! ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Nimesikitika sana kwa kitendo Suarez ila ndo hi yo tena...

Legend wa Argentina Diego Maradona ametokelezea kwenye Zurda Tv mjini Rio, akiwa ametupia T-shirt ya kumsapoti Suarez iliyoandikwa " Luisito Estamos Con Vos" ikimanisha Luis tuko pamoja nawe. "Why? Who is killed? This is football, this is friction'' Maradona is reported to have said, before joking ''Why not send him to Guantanamo?
 
Attachments

  • Diego.jpg
    Diego.jpg
    29 KB · Views: 46
  • Diego2.gif
    Diego2.gif
    17.6 KB · Views: 156
Back
Top Bottom