Huyu jamaa nilishamwambiaga kitambo tu sanchez hana mapenzi na liverpool.......hakabisha weee.....eti akaniuliza alishawai kuniambia kua hana mapenzi na liverpool? sasa hivi anataka kuwatia lawamani Ayre na FSG. Da leo nimecheka sana.....tujifunze kuona mbali na kutizama mambo kwa 3 Dimensions.....hahahahaaa
YNWA!
cc: MosDef
Una uhakika gani kuwa Sanchez hana mapenz na liverpool???
Me na wewe, wote tunajua since ile transfer commitee imeanzishwa chini ya kina Ayre, hatujawahi kusign big names hata kudogo..costa, willian, MK etc..wote tumewakosa kwasababu ya kuoffer silly money and wages..huwez ukawa unamgombania mchezaj mzuri na club zingine kubwa zaid ya tatu, afu unaOffer wages za kipuuzi...
Na mpira ungekuwa ni mapenzi, players like Joe Allen (a man utd fan), Carragher (everton fan), Owen (everton fan), Sakho (PSG fan), Sturridge (Arsenal fan)...wasingesign Liverpool..kina Hazard, mata (Arsenal fans) wangechagua basi kuichezea arsenal over chelsea kipind kile wenger anawahitaji..
MPIRA ni kazi ya mchezaji, anaenda kucheza sehemu ambayo kuna offer nzuri..Suarez asingekubal kwenda Barca kama Barcelona wangemuoffer mshahara mdogo kuliko ule anaolipwa liverpool..
Sanchez, kaangalia wapi kaletewa offer nzuri mezani, Arsenal wamepeleka £130000 kwe week, Juve nao wametoa offer nzuri, Manchester walipeleka offer, then wewe kwa kuwa una bargain kuhusu Suarez unasubiria Barca wakusaidie kumkonvice mchezaji, na kwa offer ndogo na ya kijinga..mpira ni pesa sahiv..na.players wa nnje ya ENGLAND, hawajui pride za team za uingereza, kina Sanchez wanachojua wao kuwa Madrid na.Barca ndo pride yao..kina lallana na kina henderson ndo wanajua pride na umuhimu wa kuvaa jezi ya Liverpool, the same kwa kina Rooney, smalling, Phil jones, Luke shaw, kwa jezi ya manchester au Wilshere kwa arsenal na kina JT kwa Chelsea..Players kama kina.Suarez, Van persie, Sanchez, Nasri etc, wanaangalia wapi kuna pesa nzuri na offer nzuri...
Ulitegemea kwa kumuoffer Sanchez minimum of £100000 atakuja???
Na kama ni mapenz, Sanchez anayo kwa Juventus..je juve wamefikia kiwango chake???
Na kama umeanza kuifatilia LFC juzi..kajeree transfer sagas za Kina Willian, Salah, Konoplyanka, Costa, MK na kina Dempsey (aligoma hadi kufanya mazoezi na Fulham, lakin in the end akaishia Spurs)..
LUCAS MOURA ASINGECHAGUA PSG OVER MANCHESTER UTD kama SIYO HELA.
The same applies to Fabregas!