Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We pimbi mwaka 2005 tulibeba uefa champ ila mwaka 5008 bado haujafika.
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa.... kweli jamaa ni PIMBI aisee

anazungumzia 5008??? kwikwikwikwikwikwikwikwikwiiiiii
 
Kwa taarifa yako mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya pengine hata kabla ya wewe haujazaliwa na ndiyo maana unakurupuka kuongea haya kwani kama ungejuwa ukweli wala usinge ongea juu ya hawa wachezaji. Ngoja nikupeleke shule kidogo. Kama unaongelea EPL tu, basi Manchester United ndiye yenye historia kubwa ndani ya EPL then inafuatiwa na Arsenal, Chelsea, Man City, na Blackburn kwani Liverpool haijawahi kuchukua kombe la EPL hata siku moja, umeipata hiyo? Au ulikuwa haujuwi bali uilkuwa unasikia tu? Owen hata siku moja hakuwahi kushinda kombe la Premier League mpaka alipochukua uhamuzi wa kwenda Manchester United ndipo aliposhinda kombe la EPL, umeelewa sasa? Fowler ndiyo ziro kabisaaa, hata kunusa hajawahi kulinusa hilo kombe. Gerrard anazeeka bila hata kushinda kombe la EPL, alijaribu msimu uliopita ila because of him kuchemsha na Liverpool wakateleza. Jifunze mkuu usione haibu. Kiujumla (Ligi ya First Division ya zamani na sasa EPL) Manchester United ndiyo yenye ubingwa zaidi (20) ikifuatiwa na Liverpool (18), ila Liverpool ina miaka 24 kwenda 25 haijachukua kombe la ubingwa Uingereza. Usijichanganye hapa...kombe la Cocacola, FA, na mengine madogo ya Uingereza si ubingwa wa Uingereza.....yale ni makombe tu kama vile unasema makombe ya mbuzi, nazi, machungwa. Usipende kubisha kitu usichokijuwa mkuu.

Nilihisi umeandika vitu vya msingi ingawa at least umejitahidi ingawa unajichanganya

Kushabikia mpira before mimi sijazaliwa hilo haliwezekani 100% hata kama we use fake id but unaweza kum-judge mtu kwa uandishi wake, pitia ulichoandika then uwe unajirekebisha before hauja-post

Mara ya kwanza naanza kukujibu nilihisi utakuwa muelewa ila naungana na Tores kuwa wewe ni pimbi

My advise kwako if you don't like LFC si lazima u-post humu kaanzishe thread yako
 
Last edited by a moderator:
We pimbi mwaka 2005 tulibeba uefa champ ila mwaka 5008 bado haujafika.

Pimbi ni wewe, kwani ungeelewa tu kuwa mwaka I meant 2008 na si 5008. Mada hapa ni kwamba nimesema na kujibu kuwa Liverfool haijawahi kuchukua ubingwa wa EPL, never.
 
Pimbi ni wewe, kwani ungeelewa tu kuwa mwaka I meant 2008 na si 5008. Mada hapa ni kwamba nimesema na kujibu kuwa Liverfool haijawahi kuchukua ubingwa wa EPL, never.

Hawa jamaa wanakuja chafua thread huku dawa yao kuwalima BAN.
 
Nilihisi umeandika vitu vya msingi ingawa at least umejitahidi ingawa unajichanganya

Kushabikia mpira before mimi sijazaliwa hilo haliwezekani 100% hata kama we use fake id but unaweza kum-judge mtu kwa uandishi wake, pitia ulichoandika then uwe unajirekebisha before hauja-post

Mara ya kwanza naanza kukujibu nilihisi utakuwa muelewa ila naungana na Tores kuwa wewe ni pimbi

My advise kwako if you don't like LFC si lazima u-post humu kaanzishe thread yako

Siyo kama siipendi Liverfool bali naongea facts. Fuata facts kwenye mtandao wa FA then uje ubishe hapa.....facts never lie.
 
Mimi nakushauri ukae kimya ili kuihifadhi heshima kidogo uliyobakiza we boya!

Ntanguliza kuwapa pole ya msimu ujao. Njooni tena hapa mwezi wa 5 mwakani, ila msije majeruhi kwani najuwa wengi wenu mtakuwa mmejiua kwa kushika nafasi ya 7.
 
ni ukwel anakuja au just rumours?
markovicget_2966104b.jpg
 
ni ukwel anakuja au just rumours?
markovicget_2966104b.jpg

Naona kwenye mitandao mingi wanamuhusisha huyu jamaa na liverpool.bado nafuatilia. mpaka kesho tutajua km ni kweli.ila huyu jamaa ni jembe.tukimpata tutakua tumepiga bao.
 
Kitu baada ya kitu,mwaka huu naona BR kaamua kuleta majembe haswaaaaa Markovic is almost there! I am excited....i can't wait the start of EPL
 
Naona bbc na dailymail wanasema liverpool wanataka kuwapiga bao roma katka kumuwania A.cole.
 
Kasemaje? Emu tuekee link na sie tujionee!

Anasema Liverpool Anthem,You'll never walk alone inampagawisha,anapenda kuisikia tena na tena! Nakiri,mashabiki na YNWA anthem hata mimi ndo vilivyonikonvis kuipenda LFC,sikufichi,ule wimbo huwa unanifanya nakuwa emotional sana...ndo maana nimepanga Mungu akiniweka hai,within 3 yrs nataka nikapige bonge la ziara pale Anfield...niangalie na game yetu na Everton au Manure pale Anfield.
 
Tusubiri msimu uanze kwani miaka yote wanasemaga hivi hivi kuwa watashinda ligi kutokana na usajiri mkalii walioufanya, mwisho wa siku wanachukua nafasi ya 8 au 10 na point 30 au zaidi nyuma ya bingwa wa ligi. Ila inatokea once in a while Liverpool wanapiga kelele kwenye ligi kama mwaka jana na mwaka 2005, 5008 then wadau wanadhani ndiyo timu imekamilika kumbe ni kelele za paka tu kwenye dirisha la mpangaji.

naona mzimu wa kupigwa home and away bado unakuandama ndugu yangu,na nakuhakikishia,tunakupiga tena home and away! Utaona
 
Anasema Liverpool Anthem,You'll never walk alone inampagawisha,anapenda kuisikia tena na tena! Nakiri,mashabiki na YNWA anthem hata mimi ndo vilivyonikonvis kuipenda LFC,sikufichi,ule wimbo huwa unanifanya nakuwa emotional sana...ndo maana nimepanga Mungu akiniweka hai,within 3 yrs nataka nikapige bonge la ziara pale Anfield...niangalie na game yetu na Everton au Manure pale Anfield.

Naamekiri atauandikia uongozi wake barua kwakua head yake yote iko anfield I believe atakuja tu kama anavyojieleza

"At this point, I don't know what I'll do and I don't like
it. It was unbelievable that a few days ago I had an offer
of 20 million pounds. It was in the morning and by the
afternoon the club had said I was not for sale. Frankly,
my head is already at Liverpool."
He said he had addressed a letter to the club to make
clear his feelings but no longer knew who was in charge
of such decisions.
"Honestly, I don't know who the main man at the club is
anymore," he said. "They are now looking for 25 million
pounds, but I don't think they'll get it."
He added: "Liverpool is one of the biggest clubs in the
world. Only Real Madrid have as many fans around the
world. The last time I played at Anfield, I got chills when
I heard 'You'll Never Walk Alone.' I would like to listen
to it all the time."
 
naona mzimu wa kupigwa home and away bado unakuandama ndugu yangu,na nakuhakikishia,tunakupiga tena home and away! Utaona

Natanguliza pole kwako na wengine wote. Kama Chelsea iliwachukua miaka 50 kupata ubingwa wa Uingereza why not Liverfool? bado miaka mingine 25 ya kusubiri, poleni sana.
 
Naona bbc na dailymail wanasema liverpool wanataka kuwapiga bao roma katka kumuwania A.cole.

Si ni afadhali wangemsogeza Thomas kalas kwa mkopo kuliko kulundika mizgo kama kolo toure!!
 
Back
Top Bottom