Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

thanks EMT, naona osokoni hasomi media ya malkia vizuriSuarez cant be replaced, at most, the team can reorganize tu kubalance squad, huwa timu zinzkua na suarez ype once in generations.

Wapo wanaoamini kuwa Ruarez atakuwa replaced kama alivyom-replace Torres wa wakati ule.
 
Are you serious or kidding?

Umeanza kushabikia mpira lini? na pia wewe ni shabiki wa timu gani? unajua ni timu gani ina historia kubwa kwenye EPL?

Nenda katafute record za akina fowler, Owen makombe waliyobeba lfc then ndo uje

Usikurupuke kuja kuiongelea LFC wakati umeanza kufatilia mpira 2010

Hawa Watoto hata Stan collymore hawamjui..
 
I dont think so.... Liverpool hawasaini media players, if they were doing that basi lallana, emre na lambert wasingekwenda liverpool, na bei wanazonunulia sio sawa na tottenham who would pay 9m for lambert, 30 for lallana na 18 kwa emre.... Moreno is an example of their difference in handling pressure from agents

in addition, liverpool are not intending to by 6 players, the intend to buy targets they set before...

I meant inaelekea kuwa kama Spurs. mascherano ilikuwa hivi hivi. And Alonzo as well? Anyway tusubiri; I might be wrong.
 
Last edited by a moderator:
mkuu EMT,with all due respect kwa yote uliyoyaandika...nakukumbusha tu,huyo SAF alimuuza Cristiano Ronaldo kwa Madrid na bado Man Utd ikachukua ndoo,haya mambo ya kuuza key players pale uingereza ni ya kawaida sana,haikuanzia kwa Bale,na nakukumbusha tu,wenzetu wanafanya football biashara,sio football mapenzi. Pamoja na ushabiki wangu wote kwa LFC,nitakuwa wa mwisho kuwalaumu LFC wakimuuza suarez!

Haya tusubiri toune kama Liverpool watachukua ndoo baada ya kumpiga bei Suarez kama ilivyokuwa kwa Man Utd.

Pia naelewa unaelewa pisition ya Man Utd baada ya kupiga bei Ronaldo. Has it improved since then?

Nakubali football ni biashara siku hizi, lakini haina maana kuwa unaweza kuuza tuu wachezaji including your best player simply because football imekuwa biashara.

You need to sell strategically. Sitailumu Liverpool kama ni yeye Ruarez mwenyewe anataka kuondoka. Lakini nitailaumu Liverpool kama moja ya sababu za kumpiga bei ni lile saga la kung'ata na pressure ya media za Kiingereza.

Najua kuna wengi (hasa wale wa Utd) would like to see the back of him, but one of the reasons which made the Premiership so exciting last season was Suarez. For the first time in years, he made Liverpool a really title contender.
 
Mlikuwa na hawa wachezaji wote kipindi hicho mlishinda ligi mara ngapi au mli-qualify for Champions League mara ngapi? Umepata jibu eheeee!
Liverpool can win without suarez, there are so many factor kwa hilo

zama za one man team zimepita
 
Haya tusubiri toune kama Liverpool watachukua ndoo baada ya kumpiga bei Suarez kama ilivyokuwa kwa Man Utd.

Pia naelewa unaelewa pisition ya Man Utd baada ya kupiga bei Ronaldo. Has it improved since then?

Nakubali football ni biashara siku hizi, lakini haina maana kuwa unaweza kuuza tuu wachezaji including your best player simply because football imekuwa biashara.

You need to sell strategically. Sitailumu Liverpool kama ni yeye Ruarez mwenyewe anataka kuondoka. Lakini nitailaumu Liverpool kama moja ya sababu za kumpiga bei ni lile saga la kung'ata na pressure ya media za Kiingereza.

Najua kuna wengi (hasa wale wa Utd) would like to see the back of him, but one of the reasons which made the Premiership so exciting last season was Suarez. For the first time in years, he made Liverpool a really title contender.
Mkuu suarez had to go, since he became a star at liverpool, nothing was peaceful anymore... (remember in his first season, which was actually half season, he was never a problem, hakua na majivuno wala media hype yoyote) Issue ya kushikiwa akili na baba nkwe nayo haileti certainty kwenye plans za mwaka za timu

last season walibidi wakomae nae, but i am sure they were preparing for life without him
 
Lovren anacheza katikati mkuu na Lovren mkali mara hata 5 ya debuchy Na Debuchy ni right back The Boss unamjua Lovren au unamsikia jamaa Yule analala na mtu anaondoa mpira na mtu anajuwa kutuliza mpira na kukokota bila kubahatisha.

salute mkuu! Najua wewe ni shabiki wa kutupwa wa Lovren! Kama mimi nilivyo kwa Sakho! Naona leo Lovren kayasema ya moyoni,na kwa maneno yale,lazima atue Anfield
 
Duh! Kunawatu makatili kweli Duniani humu! Ivi kweli mpaka leo Liver pool inawatu wanaoishabikia?

Ningependa kutambua kwanza kama unajua mpira au huwa unasimuliwa?

Katika ushabiki kuna watu wa2 supporter & fan

Supporter huwa anashabikia timu inaposhinda tu katika msimu anaweza hama timu hata mara nne sababu hajui chochote niki-refer tangazo la cocacola la sasa katika WC, supporter namuita SHABIKI JINA & WANAOVUTIWA (THE ADMIRES) wewe upo kundi hili sitakulaumu sana

Fan ni real shabiki if a team loose or win still there to support a team niki-refer cocacola tangazo hawa ni sawa na WAKONGWE & THE DIE HARDERS sisi LFC tupo humu

So ni vema to zip mouth yako sababu hujui football
 
umenena vema,ila skirtel ni kama yupo peke yake na hana competition ya namba! Jiulize ikitokea skirtel kaumia,nani anacheza namba yake? Kolo Toure?

none of them would want to be on the bench

naskia liverpool wamewaoffer barca agger wakamkataa
 
Liverpool can win without suarez, there are so many factor kwa hilo

zama za one man team zimepita

Tusubiri msimu uanze kwani miaka yote wanasemaga hivi hivi kuwa watashinda ligi kutokana na usajiri mkalii walioufanya, mwisho wa siku wanachukua nafasi ya 8 au 10 na point 30 au zaidi nyuma ya bingwa wa ligi. Ila inatokea once in a while Liverpool wanapiga kelele kwenye ligi kama mwaka jana na mwaka 2005, 5008 then wadau wanadhani ndiyo timu imekamilika kumbe ni kelele za paka tu kwenye dirisha la mpangaji.
 
We pimbi mwaka 2005 tulibeba uefa champ ila mwaka 5008 bado haujafika.
 
Tusubiri msimu uanze kwani miaka yote wanasemaga hivi hivi kuwa watashinda ligi kutokana na usajiri mkalii walioufanya, mwisho wa siku wanachukua nafasi ya 8 au 10 na point 30 au zaidi nyuma ya bingwa wa ligi. Ila inatokea once in a while Liverpool wanapiga kelele kwenye ligi kama mwaka jana na mwaka 2005, 5008 then wadau wanadhani ndiyo timu imekamilika kumbe ni kelele za paka tu kwenye dirisha la mpangaji.

Mimi nakushauri ukae kimya ili kuihifadhi heshima kidogo uliyobakiza we boya!
 
Are you serious or kidding?

Umeanza kushabikia mpira lini? na pia wewe ni shabiki wa timu gani? unajua ni timu gani ina historia kubwa kwenye EPL?

Nenda katafute record za akina fowler, Owen makombe waliyobeba lfc then ndo uje

Usikurupuke kuja kuiongelea LFC wakati umeanza kufatilia mpira 2010

Kwa taarifa yako mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya pengine hata kabla ya wewe haujazaliwa na ndiyo maana unakurupuka kuongea haya kwani kama ungejuwa ukweli wala usinge ongea juu ya hawa wachezaji. Ngoja nikupeleke shule kidogo. Kama unaongelea EPL tu, basi Manchester United ndiye yenye historia kubwa ndani ya EPL then inafuatiwa na Arsenal, Chelsea, Man City, na Blackburn kwani Liverpool haijawahi kuchukua kombe la EPL hata siku moja, umeipata hiyo? Au ulikuwa haujuwi bali uilkuwa unasikia tu? Owen hata siku moja hakuwahi kushinda kombe la Premier League mpaka alipochukua uhamuzi wa kwenda Manchester United ndipo aliposhinda kombe la EPL, umeelewa sasa? Fowler ndiyo ziro kabisaaa, hata kunusa hajawahi kulinusa hilo kombe. Gerrard anazeeka bila hata kushinda kombe la EPL, alijaribu msimu uliopita ila because of him kuchemsha na Liverpool wakateleza. Jifunze mkuu usione haibu. Kiujumla (Ligi ya First Division ya zamani na sasa EPL) Manchester United ndiyo yenye ubingwa zaidi (20) ikifuatiwa na Liverpool (18), ila Liverpool ina miaka 24 kwenda 25 haijachukua kombe la ubingwa Uingereza. Usijichanganye hapa...kombe la Cocacola, FA, na mengine madogo ya Uingereza si ubingwa wa Uingereza.....yale ni makombe tu kama vile unasema makombe ya mbuzi, nazi, machungwa. Usipende kubisha kitu usichokijuwa mkuu.
 
Back
Top Bottom