Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Origi ???haniingia akilini eti suarez umreplace na hyo dogo hata ballotel sijui bonny wote hakuna replacement ya suarez,england uwez kumpata mtu kama suarez ama replacement ya suarez,james na sanchez hii ndo right replacement kwangu..
 
To me james rodriguez is the perfect replacement for suarez. Kwanza ni mdogo kiumri so tutamtumia kwa muda mrefu.vilevile napenda sachez ila hana mapenzi na liverpool.
 
Mapenzi gani unayoyahitaji kwa profesional player? Sanchez sio Mrisho Ngasa anayecheza mpira kwa mapenzi,wenzetu wana mapenzi na pesa nduguyangu,otherwise labda kama umeamua kuziamini habari za waandishi pro arsenal! Mind u,wenzetu wanaendesha maisha yao ya soka with the highest degree of profesionalism
 
well said! Sanchez hasa ndo proven quality,huyo Rodriguez isije ikawa ni kismati tu cha WC,unamkumbuka yule Bahanuzi wa Kagame cup?
 
Mapenzi gani unayoyahitaji kwa profesional player? Sanchez sio Mrisho Ngasa anayecheza mpira kwa mapenzi,wenzetu wana mapenzi na pesa nduguyangu,otherwise labda kama umeamua kuziamini habari za waandishi pro arsenal! Mind u,wenzetu wanaendesha maisha yao ya soka with the highest degree of profesionalism

Ndugu asikudanganye mtu despite the fact that money is everything, but mind u that mapenzi yapo palepale.km ingekua sio mapenzi leo G8 angekua anachea madrid au chelsea.put away professionalim love is also matter.
 
SG8 ishu yake ni tofauti sana jamaa,nikipata muda ntakuandikia hapa.
 
U dont need kupoteza muda wako kuniandikia any news regarding to G8.i know his stories more than any one could ever know.love for club will remain there although money stands on its side.ynwa.
 
Hoja yangu ipo hapa,mapenzi ya SG kwa LFC yanaweza kulinganishwa na mapenzi ya huyo Sanchez kwa Arsenal? Ni kwamba,when it comes to signature competitn,mwenye posho kubwa ndo atakayemchukua mchezaji,hv ushawah kujiuliza kwanin wachezaji weng siku hz wanaishobokea chelsea?SG na LFC wana uhusiano special,kama ilivyo kwa akina Gigs,scholes na Man utd yao,J.T na chelsea,kwa kifupi kuna wachezaji ambao ni club's icons...
 
Mapenzi gani unayoyahitaji kwa profesional player? Sanchez sio Mrisho Ngasa anayecheza mpira kwa mapenzi,wenzetu wana mapenzi na pesa nduguyangu,otherwise labda kama umeamua kuziamini habari za waandishi pro arsenal! Mind u,wenzetu wanaendesha maisha yao ya soka with the highest degree of profesionalism

Ndugu hakuna kitu kinaheshimiwa katka dunia ya sasa km diginity.akili na moyo wa mtu ni kitu ambacho kinathaminiwa sana.any player who is saying is not happy in the certain club is playing, the management will quickly find the way to sell him at resonable price.mfano nasri, tores etc.so sachez is happy at arsenal not at liverpool according to his agent.ynwa
 
Duh! Mimi naona kila mtu aendelee kujua anavyojua yeye,sidhani kama tunaelewana,make hata huyo tores hakwenda chelsea kwa vile alikuwa na mapenzi nayo,alienda kwa sababu aliahidiwa pesa ndefu ambayo pale LFC alikuwa hapati! Mtu kama Lallana tunajua kbs ni Everton fan,ila kaja kucheza LFC kutokana na ambitions zake,narudia kukwambia kwa mara ya mwisho,profesheno player anafanya mpira kama kazi nyingine yeyote ile,na sio mapenzi ya moyo wake.
 
na huyo Sanchez anachokifanya sasa ni kuangalia ni ofa gani nzuri kwake ndo afanye uamuzi,ushasema anaipenda Arsenal,kama angekuwa anaamua kwa mapenzi nadhani angekuwa tyr keshajiunga arsenal mpaka sasa hv..NB.hiyo kauli ya sanchez ana mapenzi na Arsenal haijatolewa na agent wake,ni waandish wa spain! Hata kama angekuwa kaisema agent wake,mara zote agents huwa wanatengeneza mazingira ya mteja wake kupiga pesa,na huwez kupiga pesa nyingi kama hakuna competition kwa mteja wako...nimechoka kuandika
 
Welcome to Liverpool Football Club
10351151_10152665038802573_8900632928539275072_n.jpg
 
Duh! Mimi naona kila mtu aendelee kujua anavyojua yeye,sidhani kama tunaelewana,make hata huyo tores hakwenda chelsea kwa vile alikuwa na mapenzi nayo,alienda kwa sababu aliahidiwa pesa ndefu ambayo pale LFC alikuwa hapati! Mtu kama Lallana tunajua kbs ni Everton fan,ila kaja kucheza LFC kutokana na ambitions zake,narudia kukwambia kwa mara ya mwisho,profesheno player anafanya mpira kama kazi nyingine yeyote ile,na sio mapenzi ya moyo wake.

Kaka naona unatoa hoja dhaifu sana.tores aliandika barua ya kuomba kuhama in the last nite of transfer zone in january if im not mistaken.he wanted trophies in which at anfield he did not achieve na liverpool walihaidiwa pound mill.50 ambazo zilikua super profit maana wao walispend only 20mill pound kumnunua tores kwahiyo ilikua vigumu kuziachia na vilevile waliheshimu maamuzi ya tores ya kuitaji kuhama.issue ya lalana iko hivi hakukua na upinzani kutoka tim yoyote.lati km everton wangemuitaji naamini ange chagua everton.so issue ya mapenzi na kuitaji mafanikio huwezi kushindana nayo ingawa fedha nayo ina matter.jiulize kwanini van perse alitoka the gunners na kwenda man utd.jibu ni rahisi alitaka mafanikio na arsenal waliheshimu maombi yake.so desire and diginity vitabaki stable.ynwa
 
To me james rodriguez is the perfect replacement for suarez. Kwanza ni mdogo kiumri so tutamtumia kwa muda mrefu.vilevile napenda sachez ila hana mapenzi na liverpool.

Sanchez alishawahi kukwambia ana mapenz na club gani???
 
Mshikaji mbona uko shallow sana.for ur information is better u have a nuetral guy in your squard kuliko mtu ambaye anaonesha hisia zake kwa club fulani.uko dunia ipi ambayo hujui kinachoendelea.sanchez has verbal agreement with gunnerz.
 
Labda nikuulize tu kwanza..

Unaelewa nini kuhusu 'duties za agent'??

Unaelewa nini kuhusu uamisho wa Willian kwenda Chelsea???
 
Ngoja nimalizie kuangalia mpira then nilale nitarudi kesho.
 
Back
Top Bottom