Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

skirtel is a right footed,lovren uses both right n left... I stand to be corrected
Lovren anaweza kucheza midfield ya kuzuia tizama clip zake utaona anajuwa kukokota mpira, Luis Suarez Deal Spain TV wanasema ni 63m pound ila baaazi ya watu huko huko Spain wanasema deal tayari ila Hiyo pesa ni katika makubaliano ya mwanzo then baadae Barca watawaongezea LFC itafika 72m mwisho ila kwa sasa LFC watachukua 63m za mwanzo sio mbaya hata Mascherano walilipa 16m then 7m wakalipa baada Six Month sijui mwaka Barcelona kwa LFC ndio ikatimia 23m.
 
Suarez nafikiri abaki tuu, maana alifanya kazi kubwa sana msimu uliopita na alionyesha dalili zote za kutaka kulipa fadhili hasa kutokana na kupata msamaha toka kwa mashaniki baada ya yale matukio yake ya kumng'ata Ivanovic na kumbagua Evra.
Kumuuza sasa kwa kosa alilolifanya kwenye national team sidhani kama itakuwa fair.
Suarez abaki tuliendeleze libeneke tu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
umepotea sana hapa jukwaani mkuu,BTW suarez ni kama keshaondoka tu,kwa stage iliyofikiwa kwa sasa,hawezi kubaki tena,cha msingi tujadiliane replacement yake tu
 
Tukimkosa Sanchez tumchukue benteke

umepotea sana hapa jukwaani mkuu,BTW suarez ni kama keshaondoka tu,kwa stage iliyofikiwa kwa sasa,hawezi kubaki tena,cha msingi tujadiliane replacement yake tu

Nimeona watu wengi bado ya kuona Sanchez haelekei wanaona hawa jamaa ndo watakuwa better replacement
1. Balloteli
2. Martinez
3. Bony
4. Morata
5. Huntelaar
Ila nasubiri BR atachukua uamuzi gani?
 
Huntelaar au baloteli hapo...hao Wengine not sure but benteke angekuwa perfect
 
Mi naona tusisajili foward tena hata km akiondoka suarez.borini, lambert na sturridge wanatosha kabisa.km tuna kisu kirefu ni bora tumchukue yule dogo wa colombia....james rodriguez. Kuliko kung'ang'ania suchez ambaye hana mapenzi na liverpool.
 
Kuna yule Origi naye mzuri tu sijui wamefikia wapi?
 
Kuondoka kwa Suarez ndiyo mwisho wa Liverpool, msimu wa ligi unakuja wazee wa Anfield watarudi katika nafasi zao walizo zizoea (6 - 12).
 
Kuondoka kwa Suarez ndiyo mwisho wa Liverpool, msimu wa ligi unakuja wazee wa Anfield watarudi katika nafasi zao walizo zizoea (6 - 12).

Nani alikwambia bila suarez liverpool haifanyi vizuri? Alikuwepo fowler, owen, tores na wakaondoka lakini liverpool ilibaki stable.
 
Kuondoka kwa Suarez ndiyo mwisho wa Liverpool, msimu wa ligi unakuja wazee wa Anfield watarudi katika nafasi zao walizo zizoea (6 - 12).

Mkuu naona umepotea jukwaa

Sitakataa uhamisho wa Suarez sababu mpira wa sasa ni pesa.

Kwanini namuamini BR na LFC without Suarez

1. Ana uwezo wa kumtengeneza mchezaji kuwa a better player
- Sturidge nani alikuwa anamuamini huyu jamaa? Hata mimi nilipinga uhamisho wake. Pale Chelsea si alikuwa kama garasa? but now ni mfungaji bora baada ya suarez
- Sterring wakati anapandishwa kwenye squad ya lfc na kuhakikishiwa namba kuna watu walipinga, but what he got now habari yake mabeki wanaijua
- Hata alipofanya usajili wa mignolet, cautinho, others walipinga lakini their best now katika squad
- Suarez huwezi pinga hata kwa 1% kwamba BR ndo alimrudisha huyu jamaa katika form yake hadi sasa kuwa world class player

2. Wakati anaichukua timu 2012 kutoka kwa king Dalgish timu ilikuwa nafasi ya 8 yeye akamaliza nafasi ya 7, Nice one
Msimu mpya 2013/2014 akamiliza second place with 101 goals ikiwa ni 3rd highest place kwa goal score katika EPL na ikiwa second time since 1895-96, what a tragic move...!

I still believe in LFC & BR

To be continued
 
ImageUploadedByJamiiForums1404567175.917239.jpg

Lazima tuchukue ndoo hata suarez akiondoka
 
Back
Top Bottom