Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ningependa lfc wambakize suarez sababu tunahitaji mafanikio zaidi na huyu jamaa ndo jembe letu kufikia hayo malengo!

Kuna watu wana question juu ya reputation ya Liverpool.
Hilo litakabiliwa vipi while holding on Lui?
 
Suarez did something wrong and we can't support it, however there is a lot of hatred going on na ndio tatizo lilipo, waingereza na wataliano lazima wamchukie, he is dangerous....hata maradona walimsumbua sana

jermaine defoe alingata ikapotelezewa, cheaters are diving yanapotelezewa (Robben just robbed Mexico yesterday), refs are ruining world cup, husikii hata mmoja anaondoshwa... In thelast 16 tunaona live refs wanapush for european decisions etc.

fifa is not strong and just anymore, imekua puppet.... Wanayumbidhwa, hata hukumu haikuangalia tatizo kuu ambalo ni tatizo la akili la suarez... Cha kwanza wangehitaji apimwe akili wakatina wakati hio asimamishwe kucheza soka hadi madaktari wathibitoshe ni mzima au mgonjwa

kama ni mzima apewe adhabu na kama ni mgonjwa atibiwe kabla ya kurudi uwanjani...

stopping him hata kufanya mazoezi si sahihi.... Ni zaidi ya kumuweka jela.... Ni kumyima haki ya msingi ya binadamu. Alex song alipiga mtu kipepsi cha uti wa mgongo, kisayansi madhara yake ni mabaya zaidi, angewezakumlemaza mchezaji, but no one says anything

fifa has lost it.... Corruption has killed it, they were for messi, c ronaldo and neymar, they didnt want bad boy to shine... Bahati mbaya wanaiadhibu liverpool who have done a good job managing his behaviors hadi akapata zawadi, akapunguza drama and diving.... He was attending special sessions za kumtuliza

wangempiga hata two year ban for the country and 6 to 8 matches for club sana, sio four months ban kwa club na nine months ban kwa nchi...

Unfair decision to a sick person...

Ukiangali inconsistency, mivutano na migongano inayoibuka kila kukicha ndani ya fifa, then unapata wasiwasi kwamba chombo hiki siyo kwaajili ya mpira!

Tunafahamu kwamba kwa utaratibu wa nchi zote duniani, kila binadamu ana nafasi ya kupata haki yake kwenye chombo sahihi kabisa ambacho ni mahakama. Sasa mimi huwa najiuliza…hivi ni kwanini fifa hawataki mambo ya mpira kufika mahakamani?
 
mpira ni unafiki tu kila timu inatetea Zambi bwana Suarez kafanya kosa haibadilishi kosa ila ni kweli vipi Kama Kasema Sorry sababu ya Barcelona ndio iwe ok sasa Suarez aonekane fine? Mie Suarez a waambiwe sorry asiwambie sorry LFC sawa tu akiondoka sitomchukia kwa baya nitamkumbuka mazuri ila Luis Suarez ajirekebishe tabia tu akibaki sawa akiondoka sawa ila maoni yangu akiondoka tutatulia na timu yetu ila English Media msikatae zitazidisha chuki na kusema Liverpoolfc timu ya wahuni mbona Eric Cantona alivyorudi Watu walimpigia makofi mbona Duncan alikuwa anapiga watu vichwa watu wao waliendelea kumpigia makofi sio uhuni huo? Mbona kina Keweon Arsenal walimpiga Van nistorooy timu zao zikawatetea ndio Football tofauti Yale matendo yakina Eric Cantona yangetokea enzi hizi za Social Media wangeona uchungu Kama wa Suarez Hiyo ndio tofauti. Suarez kafanya kosa tusiseme sio kosa. Ila kila Club hutetea mslahi yake angeondoka kipindi kile ni 35m Leo anaondoka 55-80m huoni pesa nzuri Suarez akiondoka sitomchukia sababu ya kaondoka LFC ila nitapumua ila wengi wakumbuke wachezaji wengi tu wanna matatizo na timu zao wakirudi wanawapigia makofi na kuwaona Hero wanayoyatenda ila Social media siku hizi watu Wana power ya kulalamika, subiri mtu amtemee mate mtu uone itavyokuwa sio Kama zamani atayetemea mate sasa hivi naye atapigwa ban 8 game.

Well why we brought this discussion in front of jf Liverpool family ni kufahamu maoni ya kila mmoja wetu kuhusu the incidence happened to Lui.

So far sijaona comment yeyote inayotetea dhambi ya lui zaidi kinachoonekana ni wengi wetu wanataja kwamba adhabu ni kubwa sana, na kwamba siyo haki Liverpool kuhusishwa kwenye adhabu while kosa limefanyika akiwa anatumikia national team. wengine wanasema fifa wameonekana kukurupuka kutokana pressure ya vyombo vya habari vya kiingereza na kiitaliano.
 
Ukiangali inconsistency, mivutano na migongano inayoibuka kila kukicha ndani ya fifa, then unapata wasiwasi kwamba chombo hiki siyo kwaajili ya mpira!

Tunafahamu kwamba kwa utaratibu wa nchi zote duniani, kila binadamu ana nafasi ya kupata haki yake kwenye chombo sahihi kabisa ambacho ni mahakama. Sasa mimi huwa najiuliza…hivi ni kwanini fifa hawataki mambo ya mpira kufika mahakamani?

Fifa walijitambua mapema kuwa wao ni black market na system yao iko illegal

Ndo maana wakaipinga mahakama ya kisheria kwa kujitengenezea kautaratibu kakujihukumu wao kwa wao katika kamati zao, ni system pekee ambayo ni very corrupt lakini huwa haichunguzi na muhimili wowote ule kwa kujiwekea shield ya kutokufungamana na mlengo wowote ule.

Fifa ikikubali kupelekwa mahakamani 99% ya viongozi wao wataishia jela

I hate hii system yao
 
Well why we brought this discussion in front of jf Liverpool family ni kufahamu maoni ya kila mmoja wetu kuhusu the incidence happened to Lui.

So far sijaona comment yeyote inayotetea dhambi ya lui zaidi kinachoonekana ni wengi wetu wanataja kwamba adhabu ni kubwa sana, na kwamba siyo haki Liverpool kuhusishwa kwenye adhabu while kosa limefanyika akiwa anatumikia national team. wengine wanasema fifa wameonekana kukurupuka kutokana pressure ya vyombo vya habari vya kiingereza na kiitaliano.
I hope Luis hivi Luis vile yataisha ndomana nasema akiuzwa tutatulia na hutonisikia kumponda yeye ataanza upya atapokwenda na sie na timu yetu tutaanza upya ukisema hakuna anayetetea Zambi zake ni uongo wapo Kabla ban Lugano katetea baada ban Raisi katetea then Ban FIFA ndio Kabisa wamechemsha Luis Suarez hata akienda Barca ban ya Club ipunguzwe au itolewe iongezewe Uruguay tu la Pepe na Song ni kweli ila Song angemvunja mwenzake uti wa mgongo ila hizo tatu hujaona moja kupewa club, FIFA WorldCup ikiisha utaaanza kusikia wanaanza kukosoana Yao ya Qatar ya wapi pesa za Brazil nani alifanya hivi wewe subiri Platini na Blatter watashindana kwa mengi, ila sasa hivi tumuache Suarez apumue Pengine atapokwenda itakuwa upya kwa kubadilika kwake. Mkuu maoni siku zote yatatofautiana kutokana na mapenzi kwa Luis watasema hivi na Wenye chuki na Luis watasema hivi na kundi jengine litakuwa balance na yote inatokana na je sheria hizi za kweli au zinakuwa mpya kwa siku chache tu?
 
wakuu yametimia! According to Liverpool ECHO,LFC have opened talks with Barca over a transfer of L.S! Wanatarajia kukutana jumatano jijini London kwa ajili ya kudiscuss deal na kuna posibility kubwa ya Sanchez kuwa part ya deal! Aione osokonoi The Boss MosDef Pazi Janjaweed reynod and all LFC family humu ndani

I think the ones who know what happens for the real, are those who make decisions…Kuna rumours kwamba Sanchez prefers Arsenal over Liverpool…

Na tetesi nyingine ni kwamba R.Madriad wanataka kumuuza Di Maria to make room for kroos..? I think he might be an option if sanchez is not interested…
 
Last edited by a moderator:

Arsenal fans huwa wanaAmini sana Rumours za usajili, ndo maana mwisho wa siku huwa wanaumia sana..

Hilo Suala la kwamba Sanchez anaprefer move Ya Arsenal imeandikwa na Source moja Tu (sport), ya spain, ambapo ni kama TheSun tu la England, not reliable at all..Reliable journal wa Arsenal news Wayne (goal.com), kareport interest tu ya Arsenal kwa Sanchez..

Lakini LFC ndo wapo katika position nzuri ya kumchukua jamaa..#TheSuarezSale .

Ujue, UKWELI ni kwamba BR and FSG hawamtaki tena Suarez pale LFC, na huo ndo ukweli, japokuwa tunaupinga sana..nahisi kwenye kile kikao chao walichokaa soon after ile incident ya Suarez, kiliamua tu, jamaa auzwe na ikumbukwe jana tu, Barret katoka kureport kuwa LFC washawaambia Barca wanataka hii deal iende fasta, hawataki delays, So mwenyewe unaweza ukaona hapo, kuwa Suarez hahitajiki na board..na tukumbuke pia BR alikuwa interested na Sanchez tangu muda hata kabla rumours za Suarez kwenda Barca kusambaa..yule GRAHAM HUNTER barcelona based journal (ni kama Barret, pearce na ben smith walivyo kwa LFC, au Wayne na John cross walivyo kwa Arsenal)..alsema jana usiku kuwa LFC walishawah kupeleka a formal bid kwa sanchez before the WC but Barca rejected it, Na amesema Mpaka jana prior to their meeting, barca walioffer £40+Sanchez, LFC wamekataa..They dont think Sanchez ana worthy £35..FSG nahisi wanataka around £50 or £45+Sanchez.

FSG, wapo smart sana kuhusu hizi biashara, hawatatuangusha LFC fans hata kidogo..

cash+sanchez, i'll be happy for that.
 
Kuhusu Sanchez kutaka Arsenal kunaweza Kuwa kweli magazeti mengi yanaandika ila money talk na Pengine yeye anataka Kuwa mji mkuu so sioni ubaya Kama ameona Arsenal kwake sawa hakuna tabu ila LFC wajitahidi wapate deal Zuri au Deal Plus Sanchez Zuri zaidi au Pesa nawafikirie players wakuleta wa maana ndio muhimu ila sio Balloteli.
 
Kuna kitu kengine nafikiri Barca wanaweza Kuwa Hawana £80m za kutowa so njia rahisi kwao ni kumuuza Sanchez kwa 35-40m hapo ndio wapate pesa ya kuongezea kumpata Sanchez ndomana LFC wametaka deal mapema ili wacheze nao Swap na pesa na ndomana wamewaambia hamuwezi kutowa 80m wasitegemee LFC wataendelea mazungumzo nao mpaka tranfer window karibia kufungwa Barca washaambiwa wanapewa huu mwezi tu sababu Real Madrid 80m wanayo.
 
Kuna watu wana question juu ya reputation ya Liverpool.
Hilo litakabiliwa vipi while holding on Lui?
vipi reputation ya real ianaharibika because of pepe? What about manure na cantona? Isnt he a manure legend and has tv programs? Vipi maradona ? Isnt he an icon despite failing doping tests? Hayo ni maneno ya wanafiki na wazushi tu

The key to our decision should be whether luis wants to stay or not and if we get the right deal, hayo mengine maneno tu hata kwenye vibajaji yapo
 
Kuna kitu kengine nafikiri Barca wanaweza Kuwa Hawana £80m za kutowa so njia rahisi kwao ni kumuuza Sanchez kwa 35-40m hapo ndio wapate pesa ya kuongezea kumpata Sanchez ndomana LFC wametaka deal mapema ili wacheze nao Swap na pesa na ndomana wamewaambia hamuwezi kutowa 80m wasitegemee LFC wataendelea mazungumzo nao mpaka tranfer window karibia kufungwa Barca washaambiwa wanapewa huu mwezi tu sababu Real Madrid 80m wanayo.
Sanchez is the token kwenye hii swap, he is a better player kwa liverpool kwasababu sasa tutakua na true namba tisa wawili na true namba kumi watatu.... The balance itakua nzuri zaidi maana suarez ni namba kumi aliyekua anapiga na namba tisa thats the reason sometimes walikua wanashindana badala yakusaidiana na sturridge

sturridge finishing qualities will be even more this coming season if we have people like sanches au fedhouli
 
vipi reputation ya real ianaharibika because of pepe? What about manure na cantona? Isnt he a manure legend and has tv programs? Vipi maradona ? Isnt he an icon despite failing doping tests? Hayo ni maneno ya wanafiki na wazushi tu

The key to our decision should be whether luis wants to stay or not and if we get the right deal, hayo mengine maneno tu hata kwenye vibajaji yapo

Well, with all respect sikubaliani na utetezi wako kwamba hayo ni maneno ya wazushi tu…na hata kwenye vibajaji yamo

Are you telling me kama mwanao ameanza tabia ya wizi utaendelea kumpetipeti na kumkingia kifua eti kwasababu majirani zako wanawapamba na kuwavimbisha vichwa watoto wao kwa tabia ya wizi..? No never…

Real Madrid is real Madrid…we all know that Owen amekuwa na majuto, Alonso anaikumbuka sana Anfield…zama za cantona na maradona ni tofauti sana na zama za sasa, mpira umekuwa na effects kubwa sana kwenye maisha ya kila siku…katika interviews nyingi, 10 yrs old, Kop kids presenter mara kwa mara amekuwa akimtaja Lui as his favourite…

Now, kuna habari kwamba lui siyo tu hatoruhusiwa to train with his fellow players but also he won’t be allowed to participate in any charitable events which the club might be involved…no hospital, no schools visits…etc, that means no relationship with the community!

…”He has let himself, his team and his family down-while Liverpool certainly won’t be impressed either”…Jamie Carragher
 
Well, with all respect sikubaliani na utetezi wako kwamba hayo ni maneno ya wazushi tu…na hata kwenye vibajaji yamo

Are you telling me kama mwanao ameanza tabia ya wizi utaendelea kumpetipeti na kumkingia kifua eti kwasababu majirani zako wanawapamba na kuwavimbisha vichwa watoto wao kwa tabia ya wizi..? No never…

Real Madrid is real Madrid…we all know that Owen amekuwa na majuto, Alonso anaikumbuka sana Anfield…zama za cantona na maradona ni tofauti sana na zama za sasa, mpira umekuwa na effects kubwa sana kwenye maisha ya kila siku…katika interviews nyingi, 10 yrs old, Kop kids presenter mara kwa mara amekuwa akimtaja Lui as his favourite…

Now, kuna habari kwamba lui siyo tu hatoruhusiwa to train with his fellow players but also he won't be allowed to participate in any charitable events which the club might be involved…no hospital, no schools visits…etc, that means no relationship with the community!

…"He has let himself, his team and his family down-while Liverpool certainly won't be impressed either"…Jamie Carragher
Kwanza, suares sio mtoto wangu ni employee wa liverpool, lets compare apples with apples

pili, bad boy image hajaanza yeye, hata polo rossi was a prisoner kabla ya kuipa ubingwa italy....

Carra kaiweka vizuri, if he lets the team down doesnt mean amedamage image ya team, nobody is bigger than liverpool, even the owner... Liverpoolfc is a way of life.... Usijidanganye, image ya liverpool haibebwi na suarez, tena mtu aliyetoka nchi maskini... Dont buy eurotrash

hoyo ya charity,, sijui wewe ni profeshen gani but i dont think you need suarez kama kuna wengine wanaoweza kufanya... Je unajua ameshakosa mara ngapi? Je unajua wanafanya charity events mara ngapi? Vipi kuhusu charity vs. community development... Any difference?

So akienda barca image ya barca itachafuka? Na ya liverpool otasafishika sio? Just by changing clubs? Hahahahaaaaa... You make me laugh
i think you read too much english trash,
 
  • Thanks
Reactions: EMT
naona LFC inasemekana Kumbe hawamtaki Sanchez hata Kama yupo uwezekano wa kumpata wao wanachotaka ni pesa yote na mapema ili wao ndio watajuwa nani coach wao anataka kumleta kwenye team wamesema habari za Sanchez zimetokea sababu Barcelona kumtaka Suarez na hazihusiani na Sanchez kutakiwa LFC, LFC wangejaribu tu kumpata Sanchez.
 
Liverpool inaelekea kuwa Tottenham Hotspur.
 
Well, with all respect sikubaliani na utetezi wako kwamba hayo ni maneno ya wazushi tu…na hata kwenye vibajaji yamo

Are you telling me kama mwanao ameanza tabia ya wizi utaendelea kumpetipeti na kumkingia kifua eti kwasababu majirani zako wanawapamba na kuwavimbisha vichwa watoto wao kwa tabia ya wizi..? No never…

Real Madrid is real Madrid…we all know that Owen amekuwa na majuto, Alonso anaikumbuka sana Anfield…zama za cantona na maradona ni tofauti sana na zama za sasa, mpira umekuwa na effects kubwa sana kwenye maisha ya kila siku…katika interviews nyingi, 10 yrs old, Kop kids presenter mara kwa mara amekuwa akimtaja Lui as his favourite…

Now, kuna habari kwamba lui siyo tu hatoruhusiwa to train with his fellow players but also he won't be allowed to participate in any charitable events which the club might be involved…no hospital, no schools visits…etc, that means no relationship with the community!

…"He has let himself, his team and his family down-while Liverpool certainly won't be impressed either"…Jamie Carragher

I don't condone what Suarez did, but kama Liverpool wataamua kumpiga bei simply because of that incident, then it will be one of the worst decision to make. Sidhani kama Barca au Madrid wangempiga bei Messi/Ronaldo kwa kumng'ata mtu.

Unless Suarez mwenyewe anataka kuondoka na Barca wame-meet the release clause, then uamuzi wa Liverpool kumpiga bei utakuwa umekuwa influenced by the English media.

Suarez ana bad reputation, lakini wapo wachezaji kibao wana reputation mbaya. Hate or love him, he is a world class player tena. Na kama kweli Liverpool watampiga bei kwa sababu ya kelele za media then, watakuwa wa ovyo sana.

Waingereza wako kama Watanzania. Ni wanafiki sana. Wanapenda sana kureact kwenye matukio. Baada ya muda wanasahau kila kitu. Imetokea mara nyingi tena kwa huyu huyu Suarez na baadae kuishia kumpa masifa ya kufa mtu? Halafu kwa vile aliwapiga bao, basi inawauma saaaana. They just want to see the back of him. Lakini kama angekuwa ni mchezaji wa Sir Alex Ferguson sidhani kama angempiga bei.

Mtu lazima ujiulize kama kweli Suarez anailetea Liverpool image mbaya then kwa nini Barca wanataka kumnunua? Barca wana image mbaya? Kwamba Liverpool ina good morals than Barca? Kwamba ataharibu image ya Barca? Nope.

Yaani Liverpool wanakuwa bullied na media kumwuza na wao wanakubali kilaini hivyo? Kama wakimwuza, then watakuwa wamefanya mistake waliyofanya Spurs kumpiga bei Bale. Unaweza kum-replace Suarez na nani? Sanchez? Emre Can? Lambert? Lallana?
 
Liverpool inaelekea kuwa Tottenham Hotspur.
I dont think so.... Liverpool hawasaini media players, if they were doing that basi lallana, emre na lambert wasingekwenda liverpool, na bei wanazonunulia sio sawa na tottenham who would pay 9m for lambert, 30 for lallana na 18 kwa emre.... Moreno is an example of their difference in handling pressure from agents

in addition, liverpool are not intending to by 6 players, the intend to buy targets they set before...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
I don't condone what Suarez did, but kama Liverpool wataamua kumpiga bei simply because of that incident, then it will be one of the worst decision to make. Sidhani kama Barca au Madrid wangempiga bei Messi/Ronaldo kwa kumng'ata mtu.

Unless Suarez mwenyewe anataka kuondoka na Barca wame-meet the release clause, then uamuzi wa Liverpool kumpiga bei utakuwa umekuwa influenced by the English media.

Suarez ana bad reputation, lakini wapo wachezaji kibao wana reputation mbaya. Hate or love him, he is a world class player tena. Na kama kweli Liverpool watampiga bei kwa sababu ya kelele za media then, watakuwa wa ovyo sana.

Waingereza wako kama Watanzania. Ni wanafiki sana. Wanapenda sana kureact kwenye matukio. Baada ya muda wanasahau kila kitu. Imetokea mara nyingi tena kwa huyu huyu Suarez na baadae kuishia kumpa masifa ya kufa mtu? Halafu kwa vile aliwapiga bao, basi inawauma saaaana. They just want to see the back of him. Lakini kama angekuwa ni mchezaji wa Sir Alex Ferguson sidhani kama angempiga bei.

Mtu lazima ujiulize kama kweli Suarez anailetea Liverpool image mbaya then kwa nini Barca wanataka kumnunua? Barca wana image mbaya? Kwamba Liverpool ina good morals than Barca? Kwamba ataharibu image ya Barca? Nope.

Yaani Liverpool wanakuwa bullied na media kumwuza na wao wanakubali kilaini hivyo? Kama wakimwuza, then watakuwa wamefanya mistake waliyofanya Spurs kumpiga bei Bale. Unaweza kum-replace Suarez na nani? Sanchez? Emre Can? Lambert? Lallana?
thanks EMT, naona osokoni hasomi media ya malkia vizuri

liverpool dont want to sell suarez, pamoja na yeye kuengineer this moves kwa akili za kushikiwa na baba mkwe, it is suarez and his agent wanaopeleka hii kitu na liverpool are playing their cards well, because fenway wanajua hizi biashara, ndio life yao... Suarez cant be replaced, at most, the team can reorganize tu kubalance squad, huwa timu zinzkua na suarez ype once in generations.

afterall, jamaa wanajua that they cant keep him for years, and are taking him one year at a time... He is volatile and unpredictable

Trust me, kwenye hii saga, liverpool will get only what they want, either suarez or their money
 
mkuu EMT,with all due respect kwa yote uliyoyaandika...nakukumbusha tu,huyo SAF alimuuza Cristiano Ronaldo kwa Madrid na bado Man Utd ikachukua ndoo,haya mambo ya kuuza key players pale uingereza ni ya kawaida sana,haikuanzia kwa Bale,na nakukumbusha tu,wenzetu wanafanya football biashara,sio football mapenzi. Pamoja na ushabiki wangu wote kwa LFC,nitakuwa wa mwisho kuwalaumu LFC wakimuuza suarez!
 
Last edited by a moderator:
YES WE CAN.
10351726_10152660176147573_8753158702204462643_n.jpg
 
Back
Top Bottom