Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fifa wanajua suarez ni threat kwa wachezaji wao wapenzi,messi na ronaldo,hata kma alifanya kosa bt punnishnment aiendani kabsa na kosa..ni kma vile kaua mtu bwana.
 
osokonoi

Kwangu Suarez anabaki kuwa bora na nina pendelea abaki sababu wengi tunaangalia one side ambayo tayari ni negative, nani asiyejua kwamba he is the world class player? Hatujiulizi kwanini wengine wanamtaka? Unataka kuniambia Suarez ni mkorofi zaidi ya alivyokuwa cantona?

Kuna kila sababu ya LFC na BR kumbakiza Suarez sababu ana njaa ya mafanikio, hebu tufikiri iwapo atauzwa je kutakuwa na 6, 5 or 4 goli kwa one match kwa hii blood england ambayo tunayo? Nahisi kuna some force from other manager kwenye media sababu wanaitambua habari yake uwanjani

If I am BR i can him

FIFA ni stupid ndo maana hata rais wa Uruguay anawaona kama son of b*tch
 
Last edited by a moderator:
Suarez anahitaji msaada kisaikolojia,hili kosa analirudia mara ya tatu na wakati huu ni katika mashindano makubwa ya WC,kwenye adhabu FIFA ndio wamechemka adhabu ilipaswa iwe kwenye timu ya taifa tu na sio kwenye klabu level.Inaonekana Liverpool wameamua kumuuza Barca,Suarez ameomba msamaha Leo na inasemekana Barca wamemlazimisha aombe radhi na kuahidi kuwa hatarudia tena hilo kosa
 
Tatizo Lipo kwa kufungwa England na kutolewa kwa Italy,media Za nchi hizo zimelikuza.pia englang baadhi wakongwe wanaona record mpya zikawekwa na suarez wivu
 
Tatizo Lipo kwa kufungwa England na kutolewa kwa Italy,media Za nchi hizo zimelikuza.pia englang baadhi wakongwe wanaona record mpya zikawekwa na suarez wivu

Kwa hiyo Suarez alikuwa sawa kufanya kile kitendo?
 
Hapana kabla ya bodi ya ridhamu kukaa media hizo zilitangaza miaka miwili kufungiwa au mechi 24
 
ndugu yangu osokonoi watu wanafiki sana,leo wanamuona suarez kama muuaji flani hivi,kumbe moyoni wana yao! Kuna waandish wa kiingereza wana mapenzi yao binafsi kwa wapinzani wa LFC pale england wanataka kutumia gap hili kumuhamisha jamaa ili kuidhoofisha LFC,if i was John W Henry,nisingemuuza suarez popote pale,badala yake ningenunua striker mwingine,Sanchez-type,nikamuacha jamaa amalize ban yake arudi uwanjani kufanya yake
 
Last edited by a moderator:
Ishu ya suarez kung'ata siyo ya mara ya kwanza, na kwa kuwa ni kitendo ambacho kimejirudia mara kwa mara ni kweli kuwa alikuwa anasitahili adhabu kubwa zaidi..

Lakini sidhan kama adhabu hiyo, ilikuwa inahitaji kuihusisha mpaka #LFC , coz amefanya kosa akiwa katika jezi na kwenye duties za team yake ya Taifa..so #LFC hakutakiwa kujumuishwa kwenye adhabu hiyo..nadhani FIFA walikurupuka sana kutoa ile adhabu, na kwa mtazamo wangu nahis vyombo vya habari vya uingereza na Italy vilichangia zaid kuleta presha katika maamuzi ya FIFA, ni kama tu English medias zinavyoiandama FIFA kuhusu quatar...

Na ni wazi kuwa, most of England journos wenye mlengo tofauti na #LFC hawamtak Suarez pale England..mfano tu, ni leo baada ya jamaa kuomba msamaha, rumours zikalipuka kuwa Barca wamemtuma aombe msamaha..asa hapo unajiuliza, Iweje club yake anayoichezea na inayompa mshahara isijali kabisa apology ya mchezaj wake, na hiyo apology ije kujaliwa na team ambayo haijaanza hata mazungumzo na #LFC ????
 
badala ya kuangalia tatizo ambalo ni SUAREZ mnaangali vitu ambavyo havikumfanya SUAREZ kung'ata watu. media za uingereza ndio zilimfanya ang'ate watu??fa ndio wamemtuma ang'ate watu??fifa ndio wamemtuma ang'ate watu??

mlitaka afungiwe mechi ngapi?? mbili/tatu/tano?? SUAREZ ndio tatizo asaidiwe na matatizo yake aidha kisaikolojia au namna yoyote inayotakiwa blaming games hazitaondoa tatizo lake la kupenda nyama za watu na kuhusu kuuzwa ni uamuzi wa LFC ambao nao wanalinda image yao!!!!

LIVERPOOL ni tradition englisj club hailei upuuzi kama mnakumbuka sakata la SUAREZ na EVRA kocha wa liverpool akajidai kutetea na baadae akaambiwa aombe msamaha,hio ni liverpool sio klabu ya kihuni.
 
badala ya kuangalia tatizo ambalo ni SUAREZ mnaangali vitu ambavyo havikumfanya SUAREZ kung'ata watu. media za uingereza ndio zilimfanya ang'ate watu??fa ndio wamemtuma ang'ate watu??fifa ndio wamemtuma ang'ate watu??

mlitaka afungiwe mechi ngapi?? mbili/tatu/tano?? SUAREZ ndio tatizo asaidiwe na matatizo yake aidha kisaikolojia au namna yoyote inayotakiwa blaming games hazitaondoa tatizo lake la kupenda nyama za watu na kuhusu kuuzwa ni uamuzi wa LFC ambao nao wanalinda image yao!!!!

LIVERPOOL ni tradition englisj club hailei upuuzi kama mnakumbuka sakata la SUAREZ na EVRA kocha wa liverpool akajidai kutetea na baadae akaambiwa aombe msamaha,hio ni liverpool sio klabu ya kihuni.

Mkuu ukiachana na media emu ongelea na hoja za wadau kidogo. Fans wengi wa lfc na suarez hatupingi adhabu ila kwanini adhabu waliyotoa fifa inaumiza zaidi club kuliko taifa alilokuwa anatumikia? Mfano club imekubaliana na adhabu ila imeomba angalau ipewe tu ruhusa ya kufanya naye mazoezi vp hili unalizingumuziaje?
 
Ningependa lfc wambakize suarez sababu tunahitaji mafanikio zaidi na huyu jamaa ndo jembe letu kufikia hayo malengo!
 
Mkuu ukiachana na media emu ongelea na hoja za wadau kidogo. Fans wengi wa lfc na suarez hatupingi adhabu ila kwanini adhabu waliyotoa fifa inaumiza zaidi club kuliko taifa alilokuwa anatumikia? Mfano club imekubaliana na adhabu ila imeomba angalau ipewe tu ruhusa ya kufanya naye mazoezi vp hili unalizingumuziaje?

kiukweli adhabu hii inaumiza zaidi club kuliko nchi,kwa hilo FIFA wanatakiwa waangalie jinsi ya kumfungia mtu. ila SUAREZ anastahili adhabu kali au sio kali ni maoni ya mtu na mtu...ila propaganda za sijui maadui wa liverpool timu zisizomtaka suarez premier blah blah hazina mashiko....
 
Hahahahahah!!!!!

Somebody just tweeted this on Twitter!!!!
 

Attachments

  • 1404160959311.jpg
    1404160959311.jpg
    81.7 KB · Views: 55
Suarez did something wrong and we can't support it, however there is a lot of hatred going on na ndio tatizo lilipo, waingereza na wataliano lazima wamchukie, he is dangerous....hata maradona walimsumbua sana

jermaine defoe alingata ikapotelezewa, cheaters are diving yanapotelezewa (Robben just robbed Mexico yesterday), refs are ruining world cup, husikii hata mmoja anaondoshwa... In thelast 16 tunaona live refs wanapush for european decisions etc.

fifa is not strong and just anymore, imekua puppet.... Wanayumbidhwa, hata hukumu haikuangalia tatizo kuu ambalo ni tatizo la akili la suarez... Cha kwanza wangehitaji apimwe akili wakatina wakati hio asimamishwe kucheza soka hadi madaktari wathibitoshe ni mzima au mgonjwa

kama ni mzima apewe adhabu na kama ni mgonjwa atibiwe kabla ya kurudi uwanjani...

stopping him hata kufanya mazoezi si sahihi.... Ni zaidi ya kumuweka jela.... Ni kumyima haki ya msingi ya binadamu. Alex song alipiga mtu kipepsi cha uti wa mgongo, kisayansi madhara yake ni mabaya zaidi, angewezakumlemaza mchezaji, but no one says anything

fifa has lost it.... Corruption has killed it, they were for messi, c ronaldo and neymar, they didnt want bad boy to shine... Bahati mbaya wanaiadhibu liverpool who have done a good job managing his behaviors hadi akapata zawadi, akapunguza drama and diving.... He was attending special sessions za kumtuliza

wangempiga hata two year ban for the country and 6 to 8 matches for club sana, sio four months ban kwa club na nine months ban kwa nchi...

Unfair decision to a sick person...
 
mpira ni unafiki tu kila timu inatetea Zambi bwana Suarez kafanya kosa haibadilishi kosa ila ni kweli vipi Kama Kasema Sorry sababu ya Barcelona ndio iwe ok sasa Suarez aonekane fine? Mie Suarez a waambiwe sorry asiwambie sorry LFC sawa tu akiondoka sitomchukia kwa baya nitamkumbuka mazuri ila Luis Suarez ajirekebishe tabia tu akibaki sawa akiondoka sawa ila maoni yangu akiondoka tutatulia na timu yetu ila English Media msikatae zitazidisha chuki na kusema Liverpoolfc timu ya wahuni mbona Eric Cantona alivyorudi Watu walimpigia makofi mbona Duncan alikuwa anapiga watu vichwa watu wao waliendelea kumpigia makofi sio uhuni huo? Mbona kina Keweon Arsenal walimpiga Van nistorooy timu zao zikawatetea ndio Football tofauti Yale matendo yakina Eric Cantona yangetokea enzi hizi za Social Media wangeona uchungu Kama wa Suarez Hiyo ndio tofauti. Suarez kafanya kosa tusiseme sio kosa. Ila kila Club hutetea mslahi yake angeondoka kipindi kile ni 35m Leo anaondoka 55-80m huoni pesa nzuri Suarez akiondoka sitomchukia sababu ya kaondoka LFC ila nitapumua ila wengi wakumbuke wachezaji wengi tu wanna matatizo na timu zao wakirudi wanawapigia makofi na kuwaona Hero wanayoyatenda ila Social media siku hizi watu Wana power ya kulalamika, subiri mtu amtemee mate mtu uone itavyokuwa sio Kama zamani atayetemea mate sasa hivi naye atapigwa ban 8 game.
 
Back
Top Bottom