Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

what i ahve learnt ni kwamba kuna tatizo kati ya wanyama na managers, its either ni kiburi au hana good communication na managers wake.. kitu ambacho aliweza kufanya akiwa scotland

Wanyama na Mriga ni blood brothers, sijui mariga anendeleaje kwa sasa huko Italy

one thing i have noted ni kwamba BR analeta uzungu/uingereza ambao kuna siku utamla kichwa becuase managing those media darling is always an issue na wanakua hawana hunger kwenye games

Ni kweli uzungu unaiharibu timu....tunahitaji weusi wenye afya waweze kudhibiti bully za uwanjani
kitu kama Jonathan Mensah wa Ghana
 
Tony Barret anasema #LFC wanataka kumsajili Lazar Markovic wa Benfica..

Huyu jamaa sijawahi kumuona akicheza, na sipendi kufatilia Skills zake kwenye youtube..coz huwa wanachukua mambo mazuri tu, au kushine kwake katka match mbili tatu.

so kama kuna mtu ashawahi kumuona, atusaidie kumuelezea..
cc. Pazi the magificent osokonoi Janjaweed Gwamahala Blac kid Ed n Edd nEddy The Boss na mkuu Belo..kama kuna mtu kishamuona jamaa akicheza mara kwa mara, atusaidie hapa tumjue vizuri.

Kiongozi MosDef, Markovic sijawahi kumuona.

Kutoa koment kuhusu uchezaji wake itakuwa ngumu ila wasiwasi wangu ni kwenye position. Sidhani kama ni busara kurundika wing attackers wakati tuna matatizo sehemu nyingine especially on LB and RB.

Pamoja na kuumia lakini kumekuwepo na malalamiko kwamba lucas sio mchezaji anayestahili kuvaa jezi ya Liverpool and probably that’s why SG aliendelea kucheza nafasi yake hata baada ya Lucas kupona. Kuna watakao sema kuna Emre but to me he is just a squad player.

Ijapokuwa sijamuona marko ila kwa nafasi ya uchezaji and now we’re about to finalize with Lallana, halafu we have sterling and Ibe then, it doesn’t make sense to go after Marko £25 and shaqiri (above £20…probably) at the same time.
 
Last edited by a moderator:
kuna dogo anaitwa Texeira! Ni habari nyingine kabisa..anapga soka kama Coutinho! Anampoteza suso kabisa! Ni U21 wetu
 
Halafu SAKHO simuamini kabisa..kila akishika mpira roho inanidunda....bora tumuuze tutafute mholanzi mmoja hivi,,
He is the rock... Ni watangazaji wametuaminisha hivyo... He nade fewer mistakes, better tackling, pass accuracy etc. check stats kwenye fifa14
 
article-2672858-1F333D8A00000578-769_636x446.jpg

Sure boy karudi kwao kwa mapokezi makuu
FIFA lost the plot .... .... ... .
 
Hadi sasa kwenye stats za fifa ni top four player ndani ya world cup

Sakho ni beki safi sana,ana nguvu na anapiga pasi zilizonyooka,anajua ku takle safi tu,na yupo strong in aerial balls! Tatizo nadhani ni partnership yake na Skirtel ndo inagoma..
 
The Guardian write that Liverpool “are prepared to
improve their attacking options for next season by
making an offer for Benfica’s highly-rated Serbia
international, Lazar Markovic, who has a £20m release
clause, and the Belgium international forward Divock
Origi.”
 
Habari zinasemekana Sanchez anaenda Beyern Munich then Shaqhiri Kule anaondoka ila LFC deal la Shaqhiri wanaweza kuvunja sababu wanamtaka Lazar Markovich, Origi wanaweza kum sign £9m na kumrudisha Lille, hawawezi kumsubiria mwakani wanaogopa Price yake inaweza kupanda, Luis Suarez nasikia LFC wanaiomba FIFA aruhusiwe kufanya nao mazoezi inaonyesha wapo tayari kumbakisha au Kama Kuuza wanataka £80m Cash bila Kichwa cha mtu na sababu za kumbakisha ni hizi wanasema Kama watu wapo tayari kum sign inaonyesha wanao msign wapo tayari kutojali kosa lake na kumrekebisha. vipi wao isiwe sawa kumbakisha? Kama yupo tayari Kubaki? Point Yao LFC kwamba timu nyingi wanaona LFC imuuze sababu ya matatizo yake Luis Suarez ila vipi waone timu wanaotaka kumnunuwa mashabiki wa timu zengine waone sawa? Bila kulalamika. Mie Maoni yangu wamuuze wachukue 65-80m ila pesa wazitumie kwa Akili sio Kama Totenham. Sakho wale wanaosema Sakho alicheza vibaya LFC wangalie tena game zote alizocheza, kafanya vibaya game chache tu alizorudi kutoka kwenye maumivu sababu zilikuwa Big Games za mwisho rahisi kuhukumu makosa Kama Steven Gerrad kateleza moja imefuta Assist zote aliofanya EPL ndio macho ya watu.
 
Mkuu suala la kuuzwa suarez tunaliangalia kishabiki sana ni kweli luis kauzi mashabiki wengi lakini naamini kabisa cabinet ya Lfc itamuuza kwa sababu ya kibiashara/faida na sio eti kisa kang'ata mtu. Suarez ana mchango wake mkubwa hapo ilipofikia liver na uongoz bado una imani naye, club yeyote ikileta ofa nono lfc watavuta mkwanja lakini sio kwa mashinikizo ya mashabiki hizi club ziko kibiashara zaidi!!
 
Kweli uongozi na owners wanajua umuhimu wa luis....even 50% luis is better than most epl players
 
Bilashaka siku inakwenda vyema

Pamoja na kwamba kwasasa kuna michuano mikubwa kabisa ya mchezo huu tunaoupenda lakini naona shauku, macho na masikio yetu tumeyaelekeza zaidi kwenda usajili wa timu yetu ya Liverpool.

Kuna kitu kimoja ambacho jamvi letu hapa la wanaliverpool limekifumbia macho. Sijui ni kutokana na hasira au labda ni kukosa namna ya kuanza kukiongelea. Au labda ni kukosa maneno sahihi ya kukiongelea. Kwa vyovyote vile ilivyo mimi naona kuna kila sababu ya kuliongelea swala hili.

Mnamo dakikia ya 79 ya mchezo kati ya Uruguay na Italy kuna kitendo kilitokea ambapo mcheza wa Uruguay, Luis Suarez alionekana kumng’ata mchezaji wa Italy, Giorgio Chiellini. Immediately, kamati ya maadili ya FIFA ilikaa, and within few days yalitoka maamuzi kwamba kamati hiyo imejiridhisha without no doubt kwamba Lui alimng’ata chiellini kwa makusudi!

Na kutokana na hilo basi Lui anafungiwa mechi 9 za kimataifa na kitendo bila kuchelewa, alitakiwa kuondoka kwenye kambi ya timu ya Taifa. Secondly, anafungiwa kucheza mpira kwa miezi minne (that means hataweza kucheza professional football until October 26). Thirdly, kwa kipindi hicho cha kufungiwa, hatoruhusiwa kufanya training to wachezaji wenzake wa Liverpool. Fourthly, wakati wa kifungo hatoruhusiwa kuingia big stadiums kuingalia timu yake ikicheza! Kama hiyo haitoshi, anatakiwa kulipa fined ya kiasi kisichozidi £66,000

Mataifa mengine wanaongelea kupitia vyombo vyao na ninajua kuna ambao hawataki hata kusikia kuhusu tukio hili lakini siyo vibaya tukaongelea the all scenario as JF Liverpool family. The magnificent; MosDef; Belo; Pazi; Janjaweed; Gwamahala; Black Kid; Ed n Edd nEddy; The Boss; Amanijua; reynod…na wengine…vipi, busara zenu zikoje kwenye hili?
 
FIFA wapumbavu...wamemfungia sawa why,asiruhusiwe mazoezi?why Liverpool plans zivurugike sababu ya kosa timu ya taifa?Suarez,anahitaji pia msaada wa kisaikolojia...atafutiwe daktari
 
Back
Top Bottom