Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Lipo kwa kufungwa England na kutolewa kwa Italy,media Za nchi hizo zimelikuza.pia englang baadhi wakongwe wanaona record mpya zikawekwa na suarez wivu
badala ya kuangalia tatizo ambalo ni SUAREZ mnaangali vitu ambavyo havikumfanya SUAREZ kung'ata watu. media za uingereza ndio zilimfanya ang'ate watu??fa ndio wamemtuma ang'ate watu??fifa ndio wamemtuma ang'ate watu??
mlitaka afungiwe mechi ngapi?? mbili/tatu/tano?? SUAREZ ndio tatizo asaidiwe na matatizo yake aidha kisaikolojia au namna yoyote inayotakiwa blaming games hazitaondoa tatizo lake la kupenda nyama za watu na kuhusu kuuzwa ni uamuzi wa LFC ambao nao wanalinda image yao!!!!
LIVERPOOL ni tradition englisj club hailei upuuzi kama mnakumbuka sakata la SUAREZ na EVRA kocha wa liverpool akajidai kutetea na baadae akaambiwa aombe msamaha,hio ni liverpool sio klabu ya kihuni.
Mkuu ukiachana na media emu ongelea na hoja za wadau kidogo. Fans wengi wa lfc na suarez hatupingi adhabu ila kwanini adhabu waliyotoa fifa inaumiza zaidi club kuliko taifa alilokuwa anatumikia? Mfano club imekubaliana na adhabu ila imeomba angalau ipewe tu ruhusa ya kufanya naye mazoezi vp hili unalizingumuziaje?
Hahahahahah!!!!!
Somebody just tweeted this on Twitter!!!!
Hahahahaha! Tutasikia theory nyingi sana tu!
Hahahahaha! Tutasikia theory nyingi sana tu!