The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Kuna yule Origi naye mzuri tu sijui wamefikia wapi?
watu wenye mawazo kama yako ndo wanaoirudisha timu yetu nyuma,origi kweli? Kwa lipi la maana alilolifanya kwa mfano? Yani umreplace suarez na Origi?! Are u serious? Really?