Sanchez alishawahi kukwambia ana mapenz na club gani???
Huyu jamaa nilishamwambiaga kitambo tu sanchez hana mapenzi na liverpool.......hakabisha weee.....eti akaniuliza alishawai kuniambia kua hana mapenzi na liverpool? sasa hivi anataka kuwatia lawamani Ayre na FSG. Da leo nimecheka sana.....tujifunze kuona mbali na kutizama mambo kwa 3 Dimensions.....hahahahaaa
YNWA!
cc: MosDef
usilalamike mkuu,Sanchez nadhani ndo hataki kuja kwetu!
Una uhakika gani kuwa Sanchez hana mapenz na liverpool???
Me na wewe, wote tunajua since ile transfer commitee imeanzishwa chini ya kina Ayre, hatujawahi kusign big names hata kudogo..costa, willian, MK etc..wote tumewakosa kwasababu ya kuoffer silly money and wages..huwez ukawa unamgombania mchezaj mzuri na club zingine kubwa zaid ya tatu, afu unaOffer wages za kipuuzi...
Na mpira ungekuwa ni mapenzi, players like Joe Allen (a man utd fan), Carragher (everton fan), Owen (everton fan), Sakho (PSG fan), Sturridge (Arsenal fan)...wasingesign Liverpool..kina Hazard, mata (Arsenal fans) wangechagua basi kuichezea arsenal over chelsea kipind kile wenger anawahitaji..
MPIRA ni kazi ya mchezaji, anaenda kucheza sehemu ambayo kuna offer nzuri..Suarez asingekubal kwenda Barca kama Barcelona wangemuoffer mshahara mdogo kuliko ule anaolipwa liverpool..
Sanchez, kaangalia wapi kaletewa offer nzuri mezani, Arsenal wamepeleka £130000 kwe week, Juve nao wametoa offer nzuri, Manchester walipeleka offer, then wewe kwa kuwa una bargain kuhusu Suarez unasubiria Barca wakusaidie kumkonvice mchezaji, na kwa offer ndogo na ya kijinga..mpira ni pesa sahiv..na.players wa nnje ya ENGLAND, hawajui pride za team za uingereza, kina Sanchez wanachojua wao kuwa Madrid na.Barca ndo pride yao..kina lallana na kina henderson ndo wanajua pride na umuhimu wa kuvaa jezi ya Liverpool, the same kwa kina Rooney, smalling, Phil jones, Luke shaw, kwa jezi ya manchester au Wilshere kwa arsenal na kina JT kwa Chelsea..Players kama kina.Suarez, Van persie, Sanchez, Nasri etc, wanaangalia wapi kuna pesa nzuri na offer nzuri...
Ulitegemea kwa kumuoffer Sanchez minimum of £100000 atakuja???
Na kama ni mapenz, Sanchez anayo kwa Juventus..je juve wamefikia kiwango chake???
Na kama umeanza kuifatilia LFC juzi..kajeree transfer sagas za Kina Willian, Salah, Konoplyanka, Costa, MK na kina Dempsey (aligoma hadi kufanya mazoezi na Fulham, lakin in the end akaishia Spurs)..
LUCAS MOURA ASINGECHAGUA PSG OVER MANCHESTER UTD kama SIYO HELA.
The same applies to Fabregas!
Akia ya MUNGU.....sihitaji kuendelea na huu mjadala......Du Owen na Callagher ni Everton Fans????? Du uongo uliokomaaa huuuu! Tusipende kuandika uongo ilimradi kuandika tu! jamani.....YNWA
Akia ya MUNGU.....sihitaji kuendelea na huu mjadala......Du Owen na Callagher ni Everton Fans????? Du uongo uliokomaaa huuuu! Tusipende kuandika uongo ilimradi kuandika tu! jamani.....YNWA
Akia ya MUNGU.....sihitaji kuendelea na huu mjadala......Du Owen na Callagher ni Everton Fans????? Du uongo uliokomaaa huuuu! Tusipende kuandika uongo ilimradi kuandika tu! jamani.....YNWA
He! Tuseme hujui kuwa Jimmie Cara ni everton fan? Kweli? Na unajiita shabiki wa LFC? Acha ubishi,siku hizi kuna internet,fuatilia
Yaani wewe sijui nikuitaje is better you read articles or wikipedia of something and understand it well or in details before you post it, infront of people who knows better than you!!!! So for your information and your benefit....... Former Liverpool defender and now Sky Sports pundit Jamie Carragher isnt shy in holding back his true and at times controversial thoughts on the beautiful game.
The 36-year-old former defender was born on Merseyside, and went on to represent the red side of Liverpool from 1997 to the day he retired in 2013.
Despite being an ardent Liverpool player during his time at the club who would time and time again put his body on the line for the team, he wasindeed an Everton fan as a child reportedly similar to other club legends Steven Gerrard and Robbie Fowler.
Jamie Carragher was originally signed as a youth player by Liverpool, though he did spend a year at the Toffees School of Excellence aged 11.
He later returned to the Liverpool academy, and acknowledged the help he, his family and friends received from the club revealing it as the reason he has now fully converted into a Red.
I was a massive Everton fan as a kidand I obviously went to Liverpool. But how would I know as a kid that I would play for Liverpool? He was quoted by the Liverpool Echo.
What Liverpool did for me and my family and friends I could never go back to supporting Everton.
Nafikiri hapo nitakua nimekutoa matongotongo!!!!!!!!!!!!
Akia ya MUNGU.....sihitaji kuendelea na huu mjadala......Du Owen na Callagher ni Everton Fans????? Du uongo uliokomaaa huuuu! Tusipende kuandika uongo ilimradi kuandika tu! jamani.....YNWA
una safari ndefu sana kuijua football profesionalism ndugu yangu.
Tutoto twa kawambwa shida kweli, sasa na wewe. Unawaita wakubwa zako dogoDogo huo sasa ni umbea na kudandia treni kwa mbele......HOJA UJIBIWA KWA HOJA.Jibu hoja kwa kutumia vielelezo.Tatizo kubwa hapa nalo liona ni kua mashabiki wengi wa tz wanaangalia mpira kwenye vibanda umiza na kusikiliza redio za mbao.
dogo we kweli hujui soka na ni wa kesho wala sio leo....
hata Ross Backley ni liverpool damu na yuko everton
Dogo huo sasa ni umbea na kudandia treni kwa mbele......HOJA UJIBIWA KWA HOJA.Jibu hoja kwa kutumia vielelezo.Tatizo kubwa hapa nalo liona ni kua mashabiki wengi wa tz wanaangalia mpira kwenye vibanda umiza na kusikiliza redio za mbao.
Oooh boy, kids Are on likizo, kazi ipoKijana tujifunze kujibu Hoja kwa kutumia Hoja......kazi unayo dogo....na data zako za vichocholoni!YNWA
Unataka kuniambia kua Joseph akisoma al-halamain au taqwa islamic seminary atakua muislam? nahisi itafikia kipindi sasa inabidi tuweke vyeti vyetu vya shule.ilitujuane uwezo wa kuelewa mambo.