Kwanza mimi sio dogo,japokuwa sijawahi kuangalia mpira kwenye vibanda umiza,lakini sioni tatizo kuangalia mpira huko! Naomba niache kubishana na wewe,kwa kuendelea kujibizana na wewe nitakuwa naidhalilisha taaluma yangu,uelewa wangu na hadhi yangu pia,pia nitakuwa naidhalilisha familia ya wana mpira wa miguu duniani! With all due respect,naomba tuishie hapo!
hakuna hiyo kitu, Ben smith na kina James Pearce wanasema Sanchez hajawaambia LFC kuwa hayupo interested..
Ni LFC tu, ambao wameoffer Wages za kijinga (na huo ndo ukweli ambao tunaukwepa sana kuuamini)..
LFC, for the past 3 years wameshindwa kuwin any battle katika kugombania mchezaji na team zingine..hiyo ndo FACT..
Na nadhan hyo transfer commitee imeharibu kila kitu..
Kipindi cha Benitez, Xabi Alonso prefered zaid kuliko hata tunavyoaminishwa kuhusu sanchez, move ya kwenda Arsenal over Liverpool..
Lakin at the end akaishia LFC..kipind kile kina comolli walikuwa wanaijua transfer market..
Ayre, alsema the same thing kuhusu MK, salah, Willian na Dempsey kuwa waliprefer kwenda chelsea, Dortmund na Spurs effectvely..
Na sahv anatuaminisha hivyo kwa sanchez..
Mkuu the maginificent na wewe unaBuy ---- iliyosemwa jana kwenye LiverpoolEcho kuwa Family ya Sanchez inapenda kuishi London, ndo maana LFC walishindwa kumconvice Sanchez?..kisa London???
Swali ambalo tunatakiwa tujiulize kama Liverpool fans, ni kwann LIVERPOOL for the past 3 or 4 years inashindwa kukamilisha BIG SIGNING???
Nasikia habari za Bony nitafurahi sana Huyu jamaa akija Anfield na Lazar Markovich na Lovren then pesa ya Suarez wajaribu 37m kuwachokozea Man City kwa Yaya Toure ili tukipelekeshana mpaka 45m pounds ikishindikana wachungulie kwengine Bony akija wampe jezi Number 9.
Kijana hajui soka, ni mshabiki tumvumilie, in two years atakua amejifunza
asipochafuka atajifunzaje?
MosDef, Maginificent, na Pazi... we need a mentorship program humu ndani
You know what i mean
unaeza nsaidia msimamo wa ligi iliyopita
Let's leave aside our human differences and talk what connects us here as liverpool fans.
Guys let's talk liverpool language here!
YNWA.
Sure bro.....let us support our lovely team peaceful.ingawa kitu ambacho nimegundua kwenye jukwaa letu la reds ni kuwa kuna watu wanapretend kua hili ni jukwaa lao peke yao na mawazo yao hayapigwi.once ukiwa na mawazo mbadala basi wewe utaonekana mpira ujui umeamza jana tu.na vile vile hawawezi kujadiliana kwa hoja. basi ikitokea tofauti ya mawazo lazima adharau na kuwacopy watu wengine ambao wanaweza kua na mawazo mgando km yeye ili tu apewe supoport ata ktk jambo ambalo halina tija.i'm here to support my team and not to argue.kawaida mtu ambaye ananiletea dhalau hua namdhalau x 100.you never walk alone.this slogan always bring liverpool fans together and not otherwise.goodnite mates.
nakuashuari usome tena posts za hili jukwaa kuanzia page 1 maana tumekuwepo since day 1 tunaanzisha hii jukwa na mkuu mbu, halafu useme yupi anaharibu jukwaa tafadhali
wengine ni watu wazima na heshima zetu ila ukiataka tukuchukulie ,itoto tunaweza, ukitaka tukuchukulie kipuuzi tunaweza na ukitaka kisomi tunaweza pia
we have been here for ages, peacefully,
jicheki kabla hujachekiwa...
BTW: DHALAU ndio nini