Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwanza mimi sio dogo,japokuwa sijawahi kuangalia mpira kwenye vibanda umiza,lakini sioni tatizo kuangalia mpira huko! Naomba niache kubishana na wewe,kwa kuendelea kujibizana na wewe nitakuwa naidhalilisha taaluma yangu,uelewa wangu na hadhi yangu pia,pia nitakuwa naidhalilisha familia ya wana mpira wa miguu duniani! With all due respect,naomba tuishie hapo!

The same to me......Sioni sababu ya kuendeleza mabishono na wewe katika jambo ambalo hata shabiki Majimaji analielewa.......!!!
 
Liverpool Pre-season games ni kama ifuatavyo

16th July Liverpool vs Brondly

19th July Liverpool vs preston

24th July Liverpool vs As Roma

27th July Liverpool vs olympiacos

30th July Liverpool vs Man City

02nd August Liverpool vs Ac milan

10th August Liverpool vs Dortmund

YNWA!
 
hakuna hiyo kitu, Ben smith na kina James Pearce wanasema Sanchez hajawaambia LFC kuwa hayupo interested..

Ni LFC tu, ambao wameoffer Wages za kijinga (na huo ndo ukweli ambao tunaukwepa sana kuuamini)..

LFC, for the past 3 years wameshindwa kuwin any battle katika kugombania mchezaji na team zingine..hiyo ndo FACT..

Na nadhan hyo transfer commitee imeharibu kila kitu..

Kipindi cha Benitez, Xabi Alonso prefered zaid kuliko hata tunavyoaminishwa kuhusu sanchez, move ya kwenda Arsenal over Liverpool..

Lakin at the end akaishia LFC..kipind kile kina comolli walikuwa wanaijua transfer market..

Ayre, alsema the same thing kuhusu MK, salah, Willian na Dempsey kuwa waliprefer kwenda chelsea, Dortmund na Spurs effectvely..

Na sahv anatuaminisha hivyo kwa sanchez..

Mkuu the maginificent na wewe unaBuy ---- iliyosemwa jana kwenye LiverpoolEcho kuwa Family ya Sanchez inapenda kuishi London, ndo maana LFC walishindwa kumconvice Sanchez?..kisa London???

Swali ambalo tunatakiwa tujiulize kama Liverpool fans, ni kwann LIVERPOOL for the past 3 or 4 years inashindwa kukamilisha BIG SIGNING???

....And it will be a big loss if we loose BIG NAMES and we don't do BIG SIGNING...!
 
Last edited by a moderator:
James Pearce anasema Lazer Markovic kesho atafanya vipimo vya afya pale melwood training ground base..na pia dogo Origi alikuwepo pale Anfield leo na familia yake kudiscus personal terms
 
Rufaa aliyokata Suarez na Uruguayan FA has been rejected by FIFA

A statement from the organisation read: "The FIFA Appeal Committee has decided to reject the appeals lodged by both the Uruguayan player Luis Suarez and the Uruguayan FA, and to confirm the decision rendered by the FIFA Disciplinary Committee on 25 June 2014 in its entirety.
"The terms of the decision taken by the FIFA Appeal Committee were communicated to the player and the Uruguayan FA today.
"The relevant decision is not yet final and binding, i.e. an appeal to the Court of Arbitration of Sport (CAS) is still possible (cf. art. 67 par. 1 of the FIFA Statutes) by the player and/or the Uruguayan FA, subject to certain conditions." YNWA
 
Nasikia habari za Bony nitafurahi sana Huyu jamaa akija Anfield na Lazar Markovich na Lovren then pesa ya Suarez wajaribu 37m kuwachokozea Man City kwa Yaya Toure ili tukipelekeshana mpaka 45m pounds ikishindikana wachungulie kwengine Bony akija wampe jezi Number 9.
 
yule mzee yaya toure m.45? Mtu ana miaka 32 ya pasport! Sidhani kama wazungu wanaweza kufanya biashara ya ajabu hivyo!
 
hahahahahahahah!!!!
Pazi the Maginificent osokonoi reynod TIMING njooni mumsadie shabik mwenzenu wa Liverpool huku, kuhusu ushabik wa Caragher na owen kwa Everton!!!!

Hahahahaha!!!

hata kujishughulisha kugoogle tu, Unashindwa..

Kijana hajui soka, ni mshabiki tumvumilie, in two years atakua amejifunza

asipochafuka atajifunzaje?
 
MosDef, Maginificent, na Pazi... we need a mentorship program humu ndani

You know what i mean
 
Kazi ipo jamani......anyway hacha maisha yaendelee.......ynwa.....nimeamini liverpool tuna mashabiki vilaza.
 
unaeza nsaidia msimamo wa ligi iliyopita

Kaka table hiyo hapo although it contains only goal difference, points and game played.ynwa
 
Attachments

  • 1405018473282.jpg
    1405018473282.jpg
    26.2 KB · Views: 51
Let's leave aside our human differences and talk what connects us here as liverpool fans.

Guys let's talk liverpool language here!

YNWA.

Sure bro.....let us support our lovely team peaceful.ingawa kitu ambacho nimegundua kwenye jukwaa letu la reds ni kuwa kuna watu wanapretend kua hili ni jukwaa lao peke yao na mawazo yao hayapigwi.once ukiwa na mawazo mbadala basi wewe utaonekana mpira ujui umeamza jana tu.na vile vile hawawezi kujadiliana kwa hoja. basi ikitokea tofauti ya mawazo lazima adharau na kuwacopy watu wengine ambao wanaweza kua na mawazo mgando km yeye ili tu apewe supoport ata ktk jambo ambalo halina tija.i'm here to support my team and not to argue.kawaida mtu ambaye ananiletea dhalau hua namdhalau x 100.you never walk alone.this slogan always bring liverpool fans together and not otherwise.goodnite mates.
 
nakuashuari usome tena posts za hili jukwaa kuanzia page 1 maana tumekuwepo since day 1 tunaanzisha hii

wengine ni watu wazima na heshima zetu ila ukiataka tukuchukulie ,itoto tunaweza, ukitaka tukuchukulie kipuuzi tunaweza na ukitaka kisomi tunaweza pia

jicheki kabla hujachekiwa...

BTW: DHALAU ndio nini

ANYWAY, this is my last response to you
 
nakuashuari usome tena posts za hili jukwaa kuanzia page 1 maana tumekuwepo since day 1 tunaanzisha hii jukwa na mkuu mbu, halafu useme yupi anaharibu jukwaa tafadhali

wengine ni watu wazima na heshima zetu ila ukiataka tukuchukulie ,itoto tunaweza, ukitaka tukuchukulie kipuuzi tunaweza na ukitaka kisomi tunaweza pia

we have been here for ages, peacefully,

jicheki kabla hujachekiwa...

BTW: DHALAU ndio nini

dogo for your information this jukwaa does not belong to anyone except liverpool fans and I can not waste my time to go back pages.we nichukulie kivyovyote maana mi si kujui na wala unijui.na ujizoeshe kusimama km wewe na sio kutafuta huruma za watu wengine ili wakusupport upuuzi wako.jiamini andika post km wewe.mimi na wewe tumeikuta jamiiforums.so usijitoe akili ukahisi ili ni jukwaa lako.ynwa
 
Back
Top Bottom