Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wisdom amecheza vizuri sana kwenye nafasi yake asilia, ametulia hana papara.So far wisdom is playing well as skrtel partner
fundi wetu
![]()
peterson nae
![]()
Coutinho mashine ile!
Jesùs Joaquín Fernández Sáez De la Torre (SUSO)
Lets get Ben Davies and Lovren.. Bony or Lukaku will do us good
It seems as we are now having two Sterlings!(Ibe and Raheem)
Naombeni picha ya Ibe wakuu!!!!
Kwa yeyote mwenyenayo.
Mambo vipi Pro-Suso? Dogo kafunga The Magnificent goal!
Inauma kuona mtu anayejiita #RedScouser anaingia twitter kwenda kumuAbuse mchezaji ambaye alijotelea kila kitu kwa mda wote aliovaa jezi nyekundu for the past 6 years..tumekuwa nae kwenye shida na kipindi chote tulichovurunda BUT bado alijitolea kwa 100% kuipigania LFC along side SG and AGGER wakat everybody was leaving the club.
Form ya Lucas imedrop ndiyo..lakin kama shabiki, unatakiwa umuelekeze tu, katika kuongeza na bidii na kujituma uwanjani..we should encourage our player wakiwa wanapitia wakat mgum wa viwango vyao..hicho kitu kinamtokea kila mchezaji duniani..
Kumtukana haisaidiii kabisa..
nani kamtukana Lucas mkuu? Fafanua
Baada ya game ya leo..kuna mashabiki weengi sana wamemuAbuse jamaa twitter!!!
Loyal LFC fans wanaitrend hiyo ishu mpaka sasa!!!
Afu siyo mara ya kwanza..nadhan a month ago alilalamikia hiyo ishu kwenye official account yake..inamuuma sana jamaa, akiangalia na jinsi alivyojitolea kipind chote hicho..
Binadamu tumetifautiana sana aisee..watu wanajaribu kutafuta attention tu twitter..asa ndo washaona kumtukana lucas ndo watapata attention kubwa sana coz sometyms huwa anareply!!!!
Achana nao mkuu,hizi timu za wazungu mimi nazishabikia kinafki tu! Watajuana wenyewe huko.