Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Facebook ya Philippe countinho kaipost baadaya ya mechi ya leo

Oya,ni official FB page ya Coutinho kweli? Make kuna mashabiki wengine wa LFC wanatumia majina ya wachezaji wa LFC kwenye FB. Nina uhakika asilimia mia moja,hiyo sio official page ya Coutinho,after all Coutinho ni professional footballer,hawezi kuandika jambo kama hilo hata kama ingekuwa ni kweli next week Reus anakuja.
 
Fabio kagoma kwenda sunderland! Ha hahahahaha ha! Champions league tamu kumbe! Jamaa kamwambia BR yupo tayari kumalizia miaka yake miwili palepale LFC ili awe free agent...
 
Fabio kagoma kwenda sunderland! Ha hahahahaha ha! Champions league tamu kumbe! Jamaa kamwambia BR yupo tayari kumalizia miaka yake miwili palepale LFC ili awe free agent...

Kweli champion league tamu je ana uhakika wa namba?
 
Nadhani kashajipima uwezo anahisi namba atapata japo sub.
Na pia yupo vizuri, sunderland aliwasaidia sana kutoshuka.

Forward wazoefu waliopo sasa loic remy, lambert na sturridge na bado BR anataka kuongeza mmoja, dogo si bora akatengeneza jina sunderland tu.
 
Inauma kuona mtu anayejiita #RedScouser anaingia twitter kwenda kumuAbuse mchezaji ambaye alijotelea kila kitu kwa mda wote aliovaa jezi nyekundu for the past 6 years..tumekuwa nae kwenye shida na kipindi chote tulichovurunda BUT bado alijitolea kwa 100% kuipigania LFC along side SG and AGGER wakat everybody was leaving the club.

Form ya Lucas imedrop ndiyo..lakin kama shabiki, unatakiwa umuelekeze tu, katika kuongeza na bidii na kujituma uwanjani..we should encourage our player wakiwa wanapitia wakat mgum wa viwango vyao..hicho kitu kinamtokea kila mchezaji duniani..

Kumtukana haisaidiii kabisa..
What will change the situation ni kum-attack back redscouser


ila lucas alichemsha alipoondoa any relationship na club kwenye bio yake baada ya kuambiwa atauzwa
 
Fabio kagoma kwenda sunderland! Ha hahahahaha ha! Champions league tamu kumbe! Jamaa kamwambia BR yupo tayari kumalizia miaka yake miwili palepale LFC ili awe free agent...

Any progress kwa Moreno na Lovren maana hawa ndiyo wanahitajika zaidi!

My heart is going tingling kwa kweli!Tunahitaji beki wa kushoto na mtu mkubwa kati
CC Pazi
 
Last edited by a moderator:
Kuna progress yyt kwa Moreno na Lovren maana hao ndiyo tunawahitaji sana huyu Remy!!

Any progress so far?

thanks

hata mimi nadhani tuna shida zaidi na Lovren na Moreno kuliko haya manjonjo mapya ya Isco... to me Liverpool need to strengthen backline, isco hamfikii hata coutinho, sema tu yuko madrid
 
Tuwe wavumilivu....
Liverpool wanajua udhaifu. Hata. MARCO Rojo siyo mbaya... ILA MORENO YUKO VYEMA...
 
Back
Top Bottom