Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lets get Ben Davies and Lovren.. Bony or Lukaku will do us good

we dont need Ben Davies, he is porous

Its Moreno or we just get Micah Richards

tuna skills na pace ila tunakosa phyical presence and Micah akikaa wingback na mtu anayetjituma kama Ibe au strerling kwenye kukaba itabalance moves

Davies ana errors nyingine
 
Inauma kuona mtu anayejiita #RedScouser anaingia twitter kwenda kumuAbuse mchezaji ambaye alijotelea kila kitu kwa mda wote aliovaa jezi nyekundu for the past 6 years..tumekuwa nae kwenye shida na kipindi chote tulichovurunda BUT bado alijitolea kwa 100% kuipigania LFC along side SG and AGGER wakat everybody was leaving the club.

Form ya Lucas imedrop ndiyo..lakin kama shabiki, unatakiwa umuelekeze tu, katika kuongeza na bidii na kujituma uwanjani..we should encourage our player wakiwa wanapitia wakat mgum wa viwango vyao..hicho kitu kinamtokea kila mchezaji duniani..

Kumtukana haisaidiii kabisa..
 

nani kamtukana Lucas mkuu? Fafanua
 
nani kamtukana Lucas mkuu? Fafanua

Baada ya game ya leo..kuna mashabiki weengi sana wamemuAbuse jamaa twitter!!!

Loyal LFC fans wanaitrend hiyo ishu mpaka sasa!!!

Afu siyo mara ya kwanza..nadhan a month ago alilalamikia hiyo ishu kwenye official account yake..inamuuma sana jamaa, akiangalia na jinsi alivyojitolea kipind chote hicho..

Binadamu tumetifautiana sana aisee..watu wanajaribu kutafuta attention tu twitter..asa ndo washaona kumtukana lucas ndo watapata attention kubwa sana coz sometyms huwa anareply!!!!
 

Achana nao mkuu,hizi timu za wazungu mimi nazishabikia kinafki tu! Watajuana wenyewe huko.
 
Good news,Liverpool set to welcome new singing next week(Marco Reus) from Philippe countinho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…