The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Nope!!!!
Waingereza ni watu wa ajabu sana!!!..si ajabu ukute ni kwa kuwa lucas ni M-brazil tu..
Waingereza tunawa3ahamu wana upumbav wao,ndo mana nakushauri uwapotezee tu,ndo mana wana timu mbovu ya taifa kila siku
Good news,Liverpool set to welcome new singing next week(Marco Reus) from Philippe countinho
Good news,Liverpool set to welcome new singing next week(Marco Reus) from Philippe countinho
Sijakuelewa hapo kwenye .....from Philippe coutinho,fafanua kidogo tafadhali.
Facebook ya Philippe countinho kaipost baadaya ya mechi ya leo
Fabio kagoma kwenda sunderland! Ha hahahahaha ha! Champions league tamu kumbe! Jamaa kamwambia BR yupo tayari kumalizia miaka yake miwili palepale LFC ili awe free agent...
Kweli champion league tamu je ana uhakika wa namba?
Nadhani kashajipima uwezo anahisi namba atapata japo sub.
Na pia yupo vizuri, sunderland aliwasaidia sana kutoshuka.
What will change the situation ni kum-attack back redscouserInauma kuona mtu anayejiita #RedScouser anaingia twitter kwenda kumuAbuse mchezaji ambaye alijotelea kila kitu kwa mda wote aliovaa jezi nyekundu for the past 6 years..tumekuwa nae kwenye shida na kipindi chote tulichovurunda BUT bado alijitolea kwa 100% kuipigania LFC along side SG and AGGER wakat everybody was leaving the club.
Form ya Lucas imedrop ndiyo..lakin kama shabiki, unatakiwa umuelekeze tu, katika kuongeza na bidii na kujituma uwanjani..we should encourage our player wakiwa wanapitia wakat mgum wa viwango vyao..hicho kitu kinamtokea kila mchezaji duniani..
Kumtukana haisaidiii kabisa..
Dogo anatiharibia sasa.... AendeNadhani kashajipima uwezo anahisi namba atapata japo sub.
Na pia yupo vizuri, sunderland aliwasaidia sana kutoshuka.
Watamloan to sunderlandFabio kagoma kwenda sunderland! Ha hahahahaha ha! Champions league tamu kumbe! Jamaa kamwambia BR yupo tayari kumalizia miaka yake miwili palepale LFC ili awe free agent...
Watamloan to sunderland
Fabio kagoma kwenda sunderland! Ha hahahahaha ha! Champions league tamu kumbe! Jamaa kamwambia BR yupo tayari kumalizia miaka yake miwili palepale LFC ili awe free agent...
Kuna progress yyt kwa Moreno na Lovren maana hao ndiyo tunawahitaji sana huyu Remy!!
Any progress so far?
Any progress kwa Moreno na Lovren maana hawa ndiyo wanahitajika zaidi!
My heart is going tingling kwa kweli!Tunahitaji beki wa kushoto na mtu mkubwa kati
CC Pazi