duh! si mchezo, ngoja tuone mwisho wake,
ila ningependa tu na Gerald astaafu soka jumla jumla, asiishie tu national team,
Zumbe daah!Forget makosa haya 2 aliyofanya hivi karibuni huyu mkongwe!
Bila SG Liverpool isingefika pale mwaka huu!Huyu.bado miaka 2 ya kucheza soka la hali ya juu na believe me SG anastaafu Liverpool na ubingwa wa EPL
For your phone, ipod & PC wallpapers!!!
nimeipenda hii ya coutinho10.
little magician..
Kwa huu usajili wa huyu RB sijaelewa anafanya nini, kuna umuhimu gani wa kuchukua huyu dogo kwa mkopo wakati tuna mchezaji kama huyo tumemtoa kwa mkopo kwenye timu nyingine.Kwa nini hii nafasi yake asingepewa Wisdom akapata uzoefu akiwa na timu yake ya Liverpool kuliko kumpa uzoefu mchezaji wa timu nyingine!?He's not a finished article..played only 6 first team games last season...
Atakuja kuongeza depth tu kikosi upande wa.RB..
Reports zinasema itakuwa ni 2years loan deal with an option to buy...
BR is doing the *try before you buy*
Kwa huu usajili wa huyu RB sijaelewa anafanya nini, kuna umuhimu gani wa kuchukua huyu dogo kwa mkopo wakati tuna mchezaji kama huyo tumemtoa kwa mkopo kwenye timu nyingine.Kwa nini hii nafasi yake asingepewa Wisdom akapata uzoefu akiwa na timu yake ya Liverpool kuliko kumpa uzoefu mchezaji wa timu nyingine!?
Kuna kipindi Rodgers huwa simuelewielewi.... Kama hichi ndicho alichofanya msimu uliopita, alimtoa Assaid kwa mkopo af akamchukua Mosses kwa mkopo. Akamtoa P. Reina kwa mkopo huku akijua hatuna GK wa pili wa maana, kuna kipindi Mignolet alipoteana kabisa, niliona hadi umuhimu ya Reina angekuwepo hata kama angekuwa anatokea benchi. Sasa kuna tetesi anataka kumtoa Lucas huku hana mpango wa kutafuta DM mwingine, huyu Can akiumia au akiwa flop itakuwaje? maajabu mengine msimu uliopita walitaka kumuuza Agger kwa Barca af wakamnunua K.Toure, akatolewa Borin kwa mkopo akanunuliwa Aspas. Kingine sioni umuhimu wa kutafuta RB mwingine wakati tunao wengi tu, tatizo letu ni LB kwa kipindi kirefu sana hatujakuwa na mchezaji wa maana toka enzi za akina Riise na Aurelio.Hapo ndo ukistaajabu ya Musa....sometimes hawa wazungu wanazingua sana.
Mkuu kuna maendeleo yyt kwa Lovren na Moreno?
Kwa huu usajili wa huyu RB sijaelewa anafanya nini, kuna umuhimu gani wa kuchukua huyu dogo kwa mkopo wakati tuna mchezaji kama huyo tumemtoa kwa mkopo kwenye timu nyingine.Kwa nini hii nafasi yake asingepewa Wisdom akapata uzoefu akiwa na timu yake ya Liverpool kuliko kumpa uzoefu mchezaji wa timu nyingine!?
I definitely read you and nimefunguza zaidi, i tend to ignore lkini nadhani una point nzuri sana, why aspas for borini? Why asaidi out and moses in?Kuna kipindi Rodgers huwa simuelewielewi....Kama hichi ndicho alichofanya msimu uliopita, alimtoa Assaid kwa mkopo af akamchukua Mosses kwa mkopo. Akamtoa P. Reina kwa mkopo huku akijua hatuna GK wa pili wa maana, kuna kipindi Mignolet alipoteana kabisa, niliona hadi umuhimu ya Reina angekuwepo hata kama angekuwa anatokea benchi. Sasa kuna tetesi anataka kumtoa Lucas huku hana mpango wa kutafuta DM mwingine, huyu Can akiumia au akiwa flop itakuwaje? maajabu mengine msimu uliopita walitaka kumuuza Agger kwa Barca af wakamnunua K.Toure, akatolewa Borin kwa mkopo akanunuliwa Aspas. Kingine sioni umuhimu wa kutafuta RB mwingine wakati tunao wengi tu, tatizo letu ni LB kwa kipindi kirefu sana hatujakuwa na mchezaji wa maana toka enzi za akina Riise na Aurelio.
Kuna kipindi Rodgers huwa simuelewielewi.... Kama hichi ndicho alichofanya msimu uliopita, alimtoa Assaid kwa mkopo af akamchukua Mosses kwa mkopo. Akamtoa P. Reina kwa mkopo huku akijua hatuna GK wa pili wa maana, kuna kipindi Mignolet alipoteana kabisa, niliona hadi umuhimu ya Reina angekuwepo hata kama angekuwa anatokea benchi. Sasa kuna tetesi anataka kumtoa Lucas huku hana mpango wa kutafuta DM mwingine, huyu Can akiumia au akiwa flop itakuwaje? maajabu mengine msimu uliopita walitaka kumuuza Agger kwa Barca af wakamnunua K.Toure, akatolewa Borin kwa mkopo akanunuliwa Aspas. Kingine sioni umuhimu wa kutafuta RB mwingine wakati tunao wengi tu, tatizo letu ni LB kwa kipindi kirefu sana hatujakuwa na mchezaji wa maana toka enzi za akina Riise na Aurelio.
I definitely read you and nimefunguza zaidi, i tend to ignore lkini nadhani una point nzuri sana, why aspas for borini? Why asaidi out and moses in?
And sending lucas out now is a disaster, he should wait until january... Bado naamini Llori ni mzuri akipata time na Coates needs time
we have a good pool
Leo kuna friend match kati ya liverpool na As Roma
Kuanzia mechi ijayo sasa tuone kikosi cha kwanza sababu zimebaki mechi 3 tu za majaribio kabla ya EPL