Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wallpapers!!
 
Attachments

  • 1406062647482.jpg
    1406062647482.jpg
    54 KB · Views: 95
  • 1406062682589.jpg
    1406062682589.jpg
    55.2 KB · Views: 92
  • 1406062710659.jpg
    1406062710659.jpg
    85.5 KB · Views: 90
  • 1406062742611.jpg
    1406062742611.jpg
    59.1 KB · Views: 93
duh! si mchezo, ngoja tuone mwisho wake,
ila ningependa tu na Gerald astaafu soka jumla jumla, asiishie tu national team,

Zumbe daah!Forget makosa haya 2 aliyofanya hivi karibuni huyu mkongwe!

Bila SG Liverpool isingefika pale mwaka huu!Huyu.bado miaka 2 ya kucheza soka la hali ya juu na believe me SG anastaafu Liverpool na ubingwa wa EPL
 
For sure.... Na anajua this is Li erpool times hata wakati anastaafu amesema all i need is to concetrate at Liverpool...
 
Mignolet, Reina, G-Jonson, Sakho, Coates, Toure, Lallana, Gerrard, Henderson, Sterling, Sturridge, Lambert & Remmy. Hawa wote walikuwa wakiziwakilisha timu zao za taifa kwenye michuano ya Kombe la dunia. Kutokana na hali ya hewa ya Brazil kuwa ya joto. Ilibidi timu za taifa kutumia technology ya juu zaidi ili kuweza kuwafanya wachezaji kuzoea kucheza kwenye mazingira ya joto. Hili tumeliona sana kwenye timu ya England.

Siyo muda mrefu umepita toka kombe la dunia kumalizika and we know that most of them went for the holiday after brazil. That means hawajapa muda wa mazoezi…

Now they have started training and expected to participate on pre-seasons games…nimesoma kwamba in Boston joto linakwenda mpaka nyuzi 34! This means kinachowakuta wachezaji wetu ni dehydration kama walivyokuwa na timu zao za taifa while preparing and participating on world cup…

Wasiwasi wangu ni kwamba mpaka miili yao itakaporejea kwenye hali ya hewa waliyoizoea, tutakuwa tayari tumeisha struggle kwenye league
 
He's not a finished article..played only 6 first team games last season...

Atakuja kuongeza depth tu kikosi upande wa.RB..

Reports zinasema itakuwa ni 2years loan deal with an option to buy...

BR is doing the *try before you buy*
Kwa huu usajili wa huyu RB sijaelewa anafanya nini, kuna umuhimu gani wa kuchukua huyu dogo kwa mkopo wakati tuna mchezaji kama huyo tumemtoa kwa mkopo kwenye timu nyingine.Kwa nini hii nafasi yake asingepewa Wisdom akapata uzoefu akiwa na timu yake ya Liverpool kuliko kumpa uzoefu mchezaji wa timu nyingine!?
 
Hapo ndo ukistaajabu ya Musa....sometimes hawa wazungu wanazingua sana.
 
Hapo ndo ukistaajabu ya Musa....sometimes hawa wazungu wanazingua sana.
Kuna kipindi Rodgers huwa simuelewielewi.... Kama hichi ndicho alichofanya msimu uliopita, alimtoa Assaid kwa mkopo af akamchukua Mosses kwa mkopo. Akamtoa P. Reina kwa mkopo huku akijua hatuna GK wa pili wa maana, kuna kipindi Mignolet alipoteana kabisa, niliona hadi umuhimu ya Reina angekuwepo hata kama angekuwa anatokea benchi. Sasa kuna tetesi anataka kumtoa Lucas huku hana mpango wa kutafuta DM mwingine, huyu Can akiumia au akiwa flop itakuwaje? maajabu mengine msimu uliopita walitaka kumuuza Agger kwa Barca af wakamnunua K.Toure, akatolewa Borin kwa mkopo akanunuliwa Aspas. Kingine sioni umuhimu wa kutafuta RB mwingine wakati tunao wengi tu, tatizo letu ni LB kwa kipindi kirefu sana hatujakuwa na mchezaji wa maana toka enzi za akina Riise na Aurelio.
 
Mkuu kuna maendeleo yyt kwa Lovren na Moreno?

Kuhusu Lovren, despite na comments alizozitoa Koeman jana kuhusu kutokuwepo kwa New bid ya Liverpool about Lovren, ni kwamba deal ipo close..

Kina james pearce wanasema Liverpool hawajamake any new bid, bid ni ile ile tuliyoitable kabla ya WC, 16m raising to 20m (add-ons)..so nadhan Koeman anasubiria kwanza response ya Aston Villa na Ron Vlaar kwanza, kama atakubali kwenda soton, wanataka kupata replecement kwanza kabla hawajamtoa Vlaar...

But mpaka sasa, lovren move to LFC is inevitable..jamaa katoa bio ya southampton kwenye Twitter Account yake...

Kuhusu Moreno..ishu yake imepoa sana..bado.seville hawataki kumtoa kwa 16m wanataka 20m, ishu hii nahisi itaenda mpaka last minute ya transfer window..

Consprancy theory yangu hapa ni kwamba..ATM walimuoffer javier + cash seville ili kumpata Moreno as Luis filipe replecement, Seville consdered that, but ghafla tu, LFC wanamchukua Javier kwa mkopo with an option to buy..na ni RB which tuna RB's kibao sahiv..so liver nahisi walikuwa wanataka kublock move ya ATM kwa seville..coz seville hawawez kumnunua Javier sahiv (Arsenal, Marseille and Getafe wanted him)..ndo maana.seville walitaka kuconsder ile move ya ATM..the thing is MORENO anataka kuja..lakini seville wanataka 20m na FullBack mwingne..liverpool couldnt offer that..we gave them Aspas..

But kama deal ya Moreno ikifa, itauma sana..ndo kitu cha msingi sana ambacho tunakihitaji sahiv...

Skysports wanasema we've submitted a 4.5m bid kwa LB anaitwa mootaz (simjui aisee)
 
Kwa huu usajili wa huyu RB sijaelewa anafanya nini, kuna umuhimu gani wa kuchukua huyu dogo kwa mkopo wakati tuna mchezaji kama huyo tumemtoa kwa mkopo kwenye timu nyingine.Kwa nini hii nafasi yake asingepewa Wisdom akapata uzoefu akiwa na timu yake ya Liverpool kuliko kumpa uzoefu mchezaji wa timu nyingine!?

Wisdom ni natural CB, hawez kucover vizuri akicheza pembeni ni mzito saaana..

With Agger, Sakho, Skritel, Lovren and kelly as CB's itakuwa ngumu sana kwake kupata namba next season..

Thats why Ilori will be loaned again this summer..jack robnson na Coates nadhan watauzwa kabisa...

But, na mimi ni kama wewe tu, sijaona umuhimu wa hii signing..labda kuwe kuna kitu kingne ambacho hatukijui..

NA kingine ni kwamba juzi tu tumemsajili dogo Stewart baada ya kuwa released kwenye Academy ya Tottenham spurs..na ni RB nadhan..he played some minutes kwenye hizi game zetu mbili za Pre-season..he's only 20 too..tofaut yake na Javier ni kwamba hana exprience ya First team games..but both are just not the finished article..
 
Kuna kipindi Rodgers huwa simuelewielewi....Kama hichi ndicho alichofanya msimu uliopita, alimtoa Assaid kwa mkopo af akamchukua Mosses kwa mkopo. Akamtoa P. Reina kwa mkopo huku akijua hatuna GK wa pili wa maana, kuna kipindi Mignolet alipoteana kabisa, niliona hadi umuhimu ya Reina angekuwepo hata kama angekuwa anatokea benchi. Sasa kuna tetesi anataka kumtoa Lucas huku hana mpango wa kutafuta DM mwingine, huyu Can akiumia au akiwa flop itakuwaje? maajabu mengine msimu uliopita walitaka kumuuza Agger kwa Barca af wakamnunua K.Toure, akatolewa Borin kwa mkopo akanunuliwa Aspas. Kingine sioni umuhimu wa kutafuta RB mwingine wakati tunao wengi tu, tatizo letu ni LB kwa kipindi kirefu sana hatujakuwa na mchezaji wa maana toka enzi za akina Riise na Aurelio.
I definitely read you and nimefunguza zaidi, i tend to ignore lkini nadhani una point nzuri sana, why aspas for borini? Why asaidi out and moses in?

And sending lucas out now is a disaster, he should wait until january... Bado naamini Llori ni mzuri akipata time na Coates needs time

we have a good pool
 
Kuna kipindi Rodgers huwa simuelewielewi.... Kama hichi ndicho alichofanya msimu uliopita, alimtoa Assaid kwa mkopo af akamchukua Mosses kwa mkopo. Akamtoa P. Reina kwa mkopo huku akijua hatuna GK wa pili wa maana, kuna kipindi Mignolet alipoteana kabisa, niliona hadi umuhimu ya Reina angekuwepo hata kama angekuwa anatokea benchi. Sasa kuna tetesi anataka kumtoa Lucas huku hana mpango wa kutafuta DM mwingine, huyu Can akiumia au akiwa flop itakuwaje? maajabu mengine msimu uliopita walitaka kumuuza Agger kwa Barca af wakamnunua K.Toure, akatolewa Borin kwa mkopo akanunuliwa Aspas. Kingine sioni umuhimu wa kutafuta RB mwingine wakati tunao wengi tu, tatizo letu ni LB kwa kipindi kirefu sana hatujakuwa na mchezaji wa maana toka enzi za akina Riise na Aurelio.

Reina hakutaka kabisa kukaa Bench..

Thats why his move to Napol was inevitable..na bado sidhan kama tutakuwa nae next season..our 1st choice keeper ni Mignolet..Reina hawez kufurahia Bench...

Kwa Moses nakuunga Mkono..

Kwa AGGER nakumbuka, we rejected a 15m bid from BARCA, na AGGER (dagger) himself told them to f**k off..he's a legend.

Aliyewekwa sokoni alikuwa ni skirtel..but napoli ya Benitez couldnt match his price tag..he stayed calm and proved so many people wrong #skeleton .

Kwa Borini nakuunga mkono 100%,
 
Rodgers naona kama hamkubali sana Agger, kama atakuja Lovren ningekuwa mimi badala ya kuhangaika na LBs ambao hawaeleweki Agger ningempeleka kushoto au kati kama alivyokuwa anatumiwa D.Luiz na Mourinho. Na kuna strikers wengi tu wazuri huko BEPL nauhakika kama tukiwahitaji kuwapata ni virahisi ambao wanaweza kutusaidi kwa kipindi hiki cha mpito cha Suarez. Kuna Adebayo (ingawa watu wengi hawamkubali) ila jamaa ni mzuri karibu timu zote alizochezea kafanya vizuri kuanzia Arsenal, ManC hadi huko Spurs, Dzeko huyu ninauhakika tukimtaka mwenyewe atakuja maana kule City hana nafasi, kuna Chicharito (ingawa sijui kama ManU wanaweza kutuuzia)
 
I definitely read you and nimefunguza zaidi, i tend to ignore lkini nadhani una point nzuri sana, why aspas for borini? Why asaidi out and moses in?

And sending lucas out now is a disaster, he should wait until january... Bado naamini Llori ni mzuri akipata time na Coates needs time

we have a good pool

Kuhusu Iloris dogo ni mzuri sana akipata nafasi, kuna mechi kama tatu nilimuona akcheza vizuri sana hasa ile waliyowafunga Barca 1. Af kuna yule beki wa kushoto wa Spurs Ekotto sisikii akizungumziwa ila huwa namkubali sana.
 
Kuanzia mechi ijayo sasa tuone kikosi cha kwanza sababu zimebaki mechi 3 tu za majaribio kabla ya EPL
 
Kuanzia mechi ijayo sasa tuone kikosi cha kwanza sababu zimebaki mechi 3 tu za majaribio kabla ya EPL

Baada ya mechi ya leo zitabaki mechi 4 so mie naona sio mbaya mechi 2 za mwisho ndo akapagpisha first eleven gemu ya milan na dortmund.
 
Back
Top Bottom