AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 18
Wow, nice save for L'pool. Nshahesabu goli 🙂
...nime note washabiki wa Manure wametia kamgomo kuchangia thread hii...
Eqlypz, Belo, maji marefu nini leo?
Mi nimecheka sana hapa, jamaa pamoja na kubanwa katumia nguvu zote kuhakikisha anaweka mpira kimiani. Jamaa yangu akajikuta anatukana tu, nikakiri kweli jamaa na Man U kiukweli!huyu torres huwa namuogopa sana ndani ya kumi na nane.
Wazee kufungwa kubaya, nyie sikia tuuu. Namkumbuka sana Icadon mida kama hii, atakuwa kalala hadi kipenga cha mwishoWamepotea ghafla, labda wameenda kusikilizia matokeao ya uchaguzi mtaani kwao!!!
kweli kabisa mkuu.ferdinand kumvuta kote kule kwa mkono na jamaa bado kafunga angekuwa striker wakizembe angejiangusha hili apewe penati.Mi nimecheka sana hapa, jamaa pamoja na kubanwa katumia nguvu zote kuhakikisha anaweka mpira kimiani. Jamaa yangu akajikuta anatukana tu, nikakiri kweli jamaa na Man U kiukweli!
kweli kabisa mkuu.ferdinand kumvuta kote kule kwa mkono na jamaa bado kafunga angekuwa striker wakizembe angejiangusha hili apewe penati.
nani can make a difference with his skills.Will Owen & Nani make a difference?