Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liver watabana na kubana Ila mwishowe wataachia! So far wanaongoza kwa possession na kupress kweli kweli!
 
Refa afanya mambo gani sasa hayo? Yellow ya berba ya kionevu! Na challenge ya carrick kwenye box ya liver ilikuwa mbaya!
 
Wameshazowea kubebwa haya Man Untd leo wacha waonje utamu wake......kizee atatafuna ubani mpaka umkwame...
 
...nime note washabiki wa Manure wametia kamgomo kuchangia thread hii...

Eqlypz, Belo, maji marefu nini leo?
 
...nime note washabiki wa Manure wametia kamgomo kuchangia thread hii...

Eqlypz, Belo, maji marefu nini leo?

Wamepotea ghafla, labda wameenda kusikilizia matokeao ya uchaguzi mtaani kwao!!!
 
huyu torres huwa namuogopa sana ndani ya kumi na nane.
Mi nimecheka sana hapa, jamaa pamoja na kubanwa katumia nguvu zote kuhakikisha anaweka mpira kimiani. Jamaa yangu akajikuta anatukana tu, nikakiri kweli jamaa na Man U kiukweli!
 
Mi nimecheka sana hapa, jamaa pamoja na kubanwa katumia nguvu zote kuhakikisha anaweka mpira kimiani. Jamaa yangu akajikuta anatukana tu, nikakiri kweli jamaa na Man U kiukweli!
kweli kabisa mkuu.ferdinand kumvuta kote kule kwa mkono na jamaa bado kafunga angekuwa striker wakizembe angejiangusha hili apewe penati.
 
Back
Top Bottom