I do not care about pre-season results!!!
Nipo kazini kuanzia jumatatu hadi jumapili….sina muda wakupumzika kwa wiki 6 mfululizo lakini pindi napokua kwa ofisini hua sipitishi angalau dk 25 kufuatilia habari za klabu yangu Liverppol. Kama sio kwenye kompyuta yangu ya mapajani basi hata kwa kupeluzi kwenye kasim kangu ka mkononi pale inavyowezekana.
So let me take my time to discuss about the mentioned heading above!!!
"kikimaanisha sijali kuhusu matokeo ya mechi za kujipima nguvu.Maneno haya ndiyo ninayo yafikiria kichwani kwangu!!!!
The soccer Analyst from Liverpool….
‪#‎Matt ‪#‎Ladson huyu jamaa ameandika mambo 5 ambayo BR amejifunza toka katika hizi mechi za pre season.
(Tafuta usome article yake)
Firstly,
SQUAD DEPTH LOOKING BETTER (ukubwa wa kikosi unaonekana mzuri) katika msimu ulopita ukipanga kikosi cha kwanza; Kwenye bench unabakiwa na Cissokho,Moses,Luis alberto,Iago aspas agger/toure lakini juzi mechi dhidi ya Roma kikosi cha kwanza kimepangwa hivi:-
……….
Agger,Enrique,Coutinho,Lucas,allen,Coatea,Borin,Lambert,Ibe,Jones huku Hendo,Can,Coady n.k wakiwa bench HAPO
G8,Jonhson,Flannagan,Sterling,Lallana,Markovic,Sturridge,Remy,Mignolet na bado wako nje.
Bear in your mind that Transfer zone is not yet completed…… Lovren masaa 48 yajayo kitaeleweka so hiki ndicho kitu cha kwanza kilichokuwa kinahitajika
liverpool .
Hata kabla ya matokeo na ktk kikosi kilichoanza juzi kwa mujibu wa
#Matt ni Coutinho pekee ndiye yuko (likely) kuanza kikosi cha kwanza msimu ujao sasa unaweza kuona ukubwa wa kikosi.
Na kwa wale mnao lalamika kua why Lazar Markovic,Lallana nk kwa nini hawajaanza hawa watu? wataanza kuhusishwa kwenye mechi ya jpili dhidi ya olimpiacos kutoanza juzi ni plan za kocha bcoz alitaka wachezaji waliotoka WC wapate muda wa kutosha wakutrain na wenzao maana kumbukeni walikuwa mapumziko kabla hawajaanza kucheza.
Kule sio kama huku Mwaikimba ananunuliwa siku 2 kabla ya mechi ya simba na yanga.Lakini utakuta anaanza kwenye hiyo game.
KOPS msijali kuhusu haya matokeo hana tukifungwa tufungwe ili tupate wakati wakujua wapi ni tatizo tulekebishe wanaoshinda waacheni washinde ili waone wamefika .
'' NI RAHISI KUFIKIRIA JINSI YA KUZIBA HARAKA NYUMBA INAYOVUJA TANGU AWALI KULIKO ISIYOVUJA KUMBE ITAVUJA MVUA ZIKIWA KUBWA''.
And for those who think that
Liverpool will be like
Spurs; you are very wrong!!!! Base on my experience in analyzing Soccer I see there is a big difference beween
Spurs and
Liverpool in Recruiting Players!!!!
Nina hitimisha kwa kusema hivi ……Mpaka sasa hatujafanya kosa lolote katika usajili ambapo Spurs walisajili wachezaji wapya wengi wasio na uzoefu wa EPL.While BR kaleta Lallana,Lambert,Remy na huyo Lovren anayekuja in a short while.
The Soccer Analyst ‪#‎Collin Harvey of sky sport ametweet kutoka katika mamlaka husika kua Lovren atakuwa mchezaji wa
LFC ndani ya next 48hrs.
All those players who brought by BR in this transfer window……EPL is not an issue to them.
EXPECT BIG RESULTS NOW!!!!!
YNWA!!!