Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

What was BR thinking…sasa kuna hatari ya kuikosa £14 from sunderland…aaaaagh
 
Mimi sijaona why hatukumjaribu james Rodriguez...kauzwa cheaper kumbe kuliko Suarez...tunge komaa who knows..
 
What was BR thinking…sasa kuna hatari ya kuikosa £14 from sunderland…aaaaagh

Bid yake Liverpool wali accept, tatizo Borini mwenyewe ndio hataki kurudi Sunderland, kadai yupo tayari kupigania nambq.
 
Quote of the day: Coutinho is the brain of the team-BR

Kwa maana hiyo timu ndio itatengenezwa kupitia Coutinho? Tatizo hawa wachezaji wa South Amerika wakiwika tu akili zao zinahamia kwenda kuchezea Barca na R.Madrid. Tusije kushangaa na yeye kuja kutukimbia baadae.
 
Kwa maana hiyo timu ndio itatengenezwa kupitia Coutinho? Tatizo hawa wachezaji wa South Amerika wakiwika tu akili zao zinahamia kwenda kuchezea Barca na R.Madrid. Tusije kushangaa na yeye kuja kutukimbia baadae.

Mate,kama akitaka kuondoka acha aondoke tu,kila mchezaji huwa ana malengo yake.
 
Timu inanitisha, wamefungwa jana hawaonyeshi kusikitika.... Kufungwa ni gundu hata kama ni chandimu
 
I do not care about pre-season results!!!

Nipo kazini kuanzia jumatatu hadi jumapili….sina muda wakupumzika kwa wiki 6 mfululizo lakini pindi napokua kwa ofisini hua sipitishi angalau dk 25 kufuatilia habari za klabu yangu Liverppol. Kama sio kwenye kompyuta yangu ya mapajani basi hata kwa kupeluzi kwenye kasim kangu ka mkononi pale inavyowezekana.

So let me take my time to discuss about the mentioned heading above!!!
"kikimaanisha sijali kuhusu matokeo ya mechi za kujipima nguvu.Maneno haya ndiyo ninayo yafikiria kichwani kwangu!!!!
The soccer Analyst from Liverpool…. ‪#‎Matt ‪#‎Ladson huyu jamaa ameandika mambo 5 ambayo BR amejifunza toka katika hizi mechi za pre season. (Tafuta usome article yake)

Firstly, SQUAD DEPTH LOOKING BETTER (ukubwa wa kikosi unaonekana mzuri) katika msimu ulopita ukipanga kikosi cha kwanza; Kwenye bench unabakiwa na Cissokho,Moses,Luis alberto,Iago aspas agger/toure lakini juzi mechi dhidi ya Roma kikosi cha kwanza kimepangwa hivi:-

……….Agger,Enrique,Coutinho,Lucas,allen,Coatea,Borin,Lambert,Ibe,Jones huku Hendo,Can,Coady n.k wakiwa bench HAPO G8,Jonhson,Flannagan,Sterling,Lallana,Markovic,Sturridge,Remy,Mignolet na bado wako nje.

Bear in your mind that Transfer zone is not yet completed…… Lovren masaa 48 yajayo kitaeleweka so hiki ndicho kitu cha kwanza kilichokuwa kinahitajika liverpool .

Hata kabla ya matokeo na ktk kikosi kilichoanza juzi kwa mujibu wa #Matt ni Coutinho pekee ndiye yuko (likely) kuanza kikosi cha kwanza msimu ujao sasa unaweza kuona ukubwa wa kikosi.

Na kwa wale mnao lalamika kua why Lazar Markovic,Lallana nk kwa nini hawajaanza hawa watu? wataanza kuhusishwa kwenye mechi ya jpili dhidi ya olimpiacos kutoanza juzi ni plan za kocha bcoz alitaka wachezaji waliotoka WC wapate muda wa kutosha wakutrain na wenzao maana kumbukeni walikuwa mapumziko kabla hawajaanza kucheza.

Kule sio kama huku Mwaikimba ananunuliwa siku 2 kabla ya mechi ya simba na yanga.Lakini utakuta anaanza kwenye hiyo game. KOPS msijali kuhusu haya matokeo hana tukifungwa tufungwe ili tupate wakati wakujua wapi ni tatizo tulekebishe wanaoshinda waacheni washinde ili waone wamefika .

'' NI RAHISI KUFIKIRIA JINSI YA KUZIBA HARAKA NYUMBA INAYOVUJA TANGU AWALI KULIKO ISIYOVUJA KUMBE ITAVUJA MVUA ZIKIWA KUBWA''.

And for those who think that Liverpool will be like Spurs; you are very wrong!!!! Base on my experience in analyzing Soccer I see there is a big difference beween Spurs and Liverpool in Recruiting Players!!!!

Nina hitimisha kwa kusema hivi ……Mpaka sasa hatujafanya kosa lolote katika usajili ambapo Spurs walisajili wachezaji wapya wengi wasio na uzoefu wa EPL.While BR kaleta Lallana,Lambert,Remy na huyo Lovren anayekuja in a short while.
The Soccer Analyst ‪#‎Collin Harvey of sky sport ametweet kutoka katika mamlaka husika kua Lovren atakuwa mchezaji wa LFC ndani ya next 48hrs.

All those players who brought by BR in this transfer window……EPL is not an issue to them.

EXPECT BIG RESULTS NOW!!!!!

YNWA!!!
 
umenena vema! Kuna watu sijui hbr wanazisomaga wapi tu

Nafikiri kuna ufinyu wa uelewa wa kwenye nilichokiandika…sijaongelea Borini kukataa kuuzwa. I wrote what I wrote after a recent friendly game…try to think…eeeh!!?
 
Timu inanitisha, wamefungwa jana hawaonyeshi kusikitika.... Kufungwa ni gundu hata kama ni chandimu

Kusema hawaonyeshi kusikitika sidhani kama ni sahihi. You could see their faces after the game…wachezaji walikuwa down. BR as well was not happy…wakati wa kusalimiana the smiling was only on Garcia’s face.

Pamoja na kufungwa lakini kuna vitu vingi vizuri ambavyo niliviona.
Kelly played very well na hii itamsaidia kumpa moyo sababu alikuwa anaendelea kupotea.

Lamber shows some skills which a striker should have.

Coutinho was MOTM for me.

Enrique is getting back to his fitness

Can shows that he can add energy, physical strength and force in what ever position he might play.

Robinson did very well especially on going forward.

Pamoja na kwamba amekuwa akishambuliwa na maneno mengi mabaya lakini Lucas was the Boss!!

Panapokuwa na mazuri na yasiyokuwa mazuri pia hayakosekani
Despite finding himself out of position time to time, Agger as well was a winner!!
…oh, yes…but on the wrong side..!

Lakini kibaya kuliko vyote ni kuumia kwa Borini.
 
Ooh...come down mate! Tunajenga nyumba moja ndugu

Definitely, tuko kwenye ujenzi mmoja na ndiyo maana is better kuelewa mwenzako alimaanisha nini kabla ya kumjibu la sivyo itakuwa kama wale waliokuwa wanajenga mnara wa Babeli…nimehuzunishwa na kuumia kwa mchezaji wetu and not otherwise
 
Definitely, tuko kwenye ujenzi mmoja na ndiyo maana is better kuelewa mwenzako alimaanisha nini kabla ya kumjibu la sivyo itakuwa kama wale waliokuwa wanajenga mnara wa Babeli…nimehuzunishwa na kuumia kwa mchezaji wetu and not otherwise

Mimi nimehuzunika kwa vile tu ndo atakuwa hauziki tena,wakati hawa ndo watu wa kuwa offloaded
 
Back
Top Bottom