Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kumuona Jones golini na si Pepe Reina inaniuma sana! Fulltime LFC 1-0 imeshinda sio mbaya ila kwenye Asilimia 100 ni 65 Tupo.
 
Wao game nzuri..... Can bonge ya mchezaji.... Team imeanza kujiamini..... Tuhitaji mabeki wa pembeni... Ila tuondoe shaka team iko poa...
 
Boys...
 

Attachments

  • 1406506790153.jpg
    101.2 KB · Views: 57
  • 1406506802962.jpg
    111.7 KB · Views: 66
  • 1406506815530.jpg
    78 KB · Views: 59
  • 1406506833929.jpg
    61.5 KB · Views: 56
  • 1406506848968.jpg
    64 KB · Views: 59
  • 1406506864921.jpg
    70.3 KB · Views: 54
  • 1406506881519.jpg
    65 KB · Views: 59
Lovren Wallpapers
 

Attachments

  • 1406506992012.jpg
    65.7 KB · Views: 62
  • 1406507010929.jpg
    19.9 KB · Views: 59
Siyo team mbaya hasa ukichukulia ndiyo mechi yao ya kwanza hii kikosi cha kwanza!Team hii inahitaji sasa beki wa kushoto tu ku challenge ubingwa
 
Siyo team mbaya hasa ukichukulia ndiyo mechi yao ya kwanza hii kikosi cha kwanza!Team hii inahitaji sasa beki wa kushoto tu ku challenge ubingwa

Pale mbele Liverpool msimu uliopita tulitengeneza nafasi nyingi Za kufunga kuliko club yeyote BPL kocha angefanyia kazi Hilo tutafanikiwa
 
Huyu Steven Gerrad Kama Kobe Bryant bora Kobe Bryant wapo kuongezewa miakataba sababu ya walioyafanya nyuma ila yupo taabani muda wake naye umefika mpaka sasa Markovich,Raheem,sturidge na Can kidogo wanajitahidi na Hendo sababu anasaidia SG.
Mkuu kumtuhumu SG kwa sasa hivi siyo haki, kaitumikia timu kwa uaminifu sana pamoja na kwamba watu mlitegemea awe amechukua ubingwa Wa EPL! Kwa kuwa mtiifu kwa timu inatosha sana na hatupaswi kumlaumu sana, inatosha sana kwa huo mchango alioutoa kwa timu!
 
Skysports wameandika deal la Remy limeshindikana kutokana na Borini kugoma kwenda Sunderland.
 
Naona Harry Rekdnapp anakataa Kama Remy amefeli medical anasema LFC watakuwa na sababu zengine au Pengine kuna mchezaji wameona watampata wamebadili mawazo wametumia sababu ya kigezo hapo hapo Kasema mbona Kote alipopita hajakutwa na tatizo? Japo hata Mie nimetaka LFC imchukue hivyohivyo ila Comment ya Harry Rekdnapp ni ya Kizee hajui anachoongea je akionyeshwa ushahidi wa makaratasi? Kuna Mchezaji LFC pia ilikuwa impe sign wakakuta Ana matatizo ya goti kwenda Newcastle ka pass medical ila season kuanza alikaa out mpaka January huko Newcastle akapona Huyo Player akaumia tena msimu mzima Newcastle mwaka uliopita sijamuona kucheza. LFC wakipoteza pesa kwa Rodriguez ujue nitaandama Rogers awe makini Wamarekani wametowa pesa bila Shingo upande akichemsha nje ya top 4 mpaka January ujue Henry hatomkopesha Rogers Hiyo January atamfukuza so Rogers afanye sign itayomuweka LFC shaurizake.
 
Pazi,mawazo yako kama yangu,huyu Rodgers muache aendelee kuwajaza waingereza wake hapo,kwa pesa aliyopewa,akishindwa ku qualify champions league msimu ujao lazima Henry amtimue,really! Ila naamini hata yeye anajua kitakachomkuta!
 
Last edited by a moderator:
Wao game nzuri..... Can bonge ya mchezaji.... Team imeanza kujiamini..... Tuhitaji mabeki wa pembeni... Ila tuondoe shaka team iko poa...

Can na Markovic wametulia sana, I am sure Lallana angetupa starehe sana jana na zile zake za kufinya mpira na kupinduka jana

Slowly we are making progress, ila sturridge was flat... he need to get his head down and push himself, asijisahau akijua tayari ndio namba wani striker... niliona ile interview yake na alivyoongoza kipindi for 2 minutes fenway part baada ya game, alikua kama vile tayari yeye ndio new suarez

I hoep we get reus or falcao (loan) aisee
 
Pazi,mawazo yako kama yangu,huyu Rodgers muache aendelee kuwajaza waingereza wake hapo,kwa pesa aliyopewa,akishindwa ku qualify champions league msimu ujao lazima Henry amtimue,really! Ila naamini hata yeye anajua kitakachomkuta!
inatia wasiwasi sana na hii philosophy ya kujaza waingereza
 

In Falcao,i trust
 
inatia wasiwasi sana na hii philosophy ya kujaza waingereza
Hii inaonyesha Players wa nje ukiwaacha timu wanatizama Manager maharufu Rogers fundi Mzuri ila Egos na kujikosha kutaka kuwatengenezea England Team atakuja kujutia yeye na Ayre hawajui kuvutia Players kutoka nje angekuwepo Commoli alienda huko Holland akarudi na Player sio Ayre safari za nje anaenda holiday tu kutumia free ticket za team!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…