Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

#TeamLiverpool hivi tangia mmuuze Suarez mmeshatumia hizo pesa kununulia wachezaji wangapi? Naona kila siku mnakuwa linked na kubid kwa wachezaji kibao. Na wachezaji wangapi wameshaondoka Liverpool msimu huu?
 
we nipe channel inayoonesha game bhana,hzo mambo nyingine tuwe watazamaji tu

supersport huwa wanaisikizia skysports, asa kuna channel moja tu ya skysports ndo inaonesha game ya leo, sahv wanaonesha game ya Man city vs Milan (ilikuwa delayed)..so ilkiisha wanaweza wakailink moja kwa moja na ya LFC..

Kama una dishi la Arabsat, waweza ichek kwenye SportsArena 2..

Au kwenye king'amuzi cha startimes, kuna channel inaitwa Sports 2 huwa inaonesha hizi game ( sina uhakika kama wataonesha hii)..ila check kama vipi..
 
Poapoa.
 
LFC knew about Remy medical problems kabla hata hawajamsajili.

LFC journos and skysports reported he passed the medicals.

Sunderland came with a huge bid for borini.

then Borini doesnt want to leave LFC and BR is backing that.

#DotheMaths .
. LFC Journos na skysports sio watu wa ndani ya Club lakini na kukubaliana timu mbili kukubaliana sindio kumpata mchezaji hata ku pass medical sindio kumpata mchezaji mpaka mchezaji aweke wino kwenye karatasi ndio umempata tuwachane na Remy kilichobaki kumuombea jamaa tatizo Kama lipo basi anapokwenda liwe ok kwake Kama binadamu mwenzetu. Dejan Lovren nimefuahi sana kumuona na pen na karatasi wino umecharazika bora.
 
#TeamLiverpool hivi tangia mmuuze Suarez mmeshatumia hizo pesa kununulia wachezaji wangapi? Naona kila siku mnakuwa linked na kubid kwa wachezaji kibao. Na wachezaji wangapi wameshaondoka Liverpool msimu huu?
LFC hawajutumia hata sumni ya Suarez itaanza week ijayo Pengine kutumika ila wachezaji wengi sawa na kuanza kujenga timu na mawasiliano upya huo ndio wasiwasi wangu nafikiri Agger na Lucas na Borini watapisha njia au Kama wote watabaki sawa pesa sababu ile January haikutumiwa tukumbuke. Can 9m,Markovich 19m,Lovren 16m,Lambert 4m Lallana 23.5m mpaka sasa ni wengi kuna ambaye nimemsahau hapo? Bora GJ apate mwenzake kulia kuanzia next week ndio za Suarez ila tusitegemee mchezaji Kuwa Kama Suarez wachezaji wa 3 Messi,Ronaldo,Suarez ni nadra kidogo Bora Di Maria na Reus na kuwapata ni Bahati nasibu wachezaji wengi tusipoangalia nafasi ya 7 inatusubiri. Katika hao niliwataja Player Mie ni Markovich na Lovren Huyu Lallana tumepoteza pesa.
 
. LFC Journos na skysports sio watu wa ndani ya Club lakini na kukubaliana timu mbili kukubaliana sindio kumpata mchezaji hata ku pass medical sindio kumpata mchezaji mpaka mchezaji aweke wino kwenye karatasi ndio umempata tuwachane na Remy kilichobaki kumuombea jamaa tatizo Kama lipo basi anapokwenda liwe ok kwake Kama binadamu mwenzetu. Dejan Lovren nimefuahi sana kumuona na pen na karatasi wino umecharazika bora.

Hongera mkuu,naona kilio chako cha siku nyingi hatimaye akina Ayre wamekisikia.
 
Ila sio Lallana Huyu Markovich anajuwa kukimbia na mpira Sema Nguvu Hana EPL majembe watamvunja ila ananipa uhai Sema hii game inaonyesha mabeki watafutwe Huyu GJ hajui kukaba bench litamuita Raheem anaendelea kucheza vizuri hapa na Sturidge.
 
kwani lallana yupo uwanjani pazi?
 
DK ya 35 Can na Markovich Wana link uzuri Markovich anajaribu kupima goli sehemu ngumu nice try.
 
Ila sio Lallana Huyu Markovich anajuwa kukimbia na mpira Sema Nguvu Hana EPL majembe watamvunja ila ananipa uhai Sema hii game inaonyesha mabeki watafutwe Huyu GJ hajui kukaba bench litamuita Raheem anaendelea kucheza vizuri hapa na Sturidge.

GJ is always kimeo,huna haja ya kuangalia game ili ufahamu hilo,after all naona BR amemvumilia sana
 
dK 38 LFC wanaandamwa wakifikiwa mabeki inaonyesha mabeki muhimu hasa kulia na kushoto hasa kwa GJ no Lalana hayupo ila naongelea tulionunuwa Lallana sijui Kama atafanya uzuri.
 
ubaguzi tu huo....angekuwa mzungu story ingekuwa nyingine...pole remy
 
LFC hawajutumia hata sumni ya Suarez itaanza week ijayo Pengine kutumika ila wachezaji wengi sawa na kuanza kujenga timu na mawasiliano upya huo ndio wasiwasi wangu nafikiri Agger na Lucas na Borini watapisha njia au Kama wote watabaki sawa pesa sababu ile January haikutumiwa tukumbuke. Can 9m,Markovich 19m,Lovren 16m,Lambert 4m Lallana 23.5m mpaka sasa ni wengi kuna ambaye nimemsahau hapo? Bora GJ apate mwenzake kulia kuanzia next week ndio za Suarez ila tusitegemee mchezaji Kuwa Kama Suarez wachezaji wa 3 Messi,Ronaldo,Suarez ni nadra kidogo Bora Di Maria na Reus na kuwapata ni Bahati nasibu wachezaji wengi tusipoangalia nafasi ya 7 inatusubiri. Katika hao niliwataja Player Mie ni Markovich na Lovren Huyu Lallana tumepoteza pesa.
Lallana will shock you... I had the same concerns ila nimetumia muda kumsoma na kuangalia games agaist timu kubwa, he was always beyond average
 
Back
Top Bottom