Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wapenzi wa mpira bana. Sometimes wanakuwa vigumu kuwa rational, fikiria kama Liverpool wangemsajili wakati wanajua kuwa kafail second medical test then kesho au keshokutwa Remy akaanguka mpirani na kukimbizwa hospitalini ikagundulika chanzo ni moyo, Je mngeilewa na kuwaelewa Liverpool na viongozi wake? Moyo ni kiungo(organ) iliyo delicate wakuu, msilaumu sana. isitoshe jamaa ana historia ya tatizo hilo na mara nyingi historia huwa inajirudia(hasa katika Afya ya binadamu). Mnakumbuka kuna Mcameroon na Mspaniard walifia uwanjani kwa sababu ya ugonjwa wa Moyo? Hii kitu sio ya kuchukulia lelemama hata kidogo. Afu issue ya Remy ni tofauti na ya Kanu ambaye pamoja na kufanyiwa operesheni ya Moyo, kama sikosei hakufail medical test alipohamia Arsenal, Portsmouth, etc. Kama Remy angefail kitu kingine labda angepewa nafasi, nakumbuka Ruud van Nistelrooy naye alifail test ya goti lakini SAF alimpa nafasi

LFC hawajaconfirm kuwa tatizo ni MOYO..habari za ndani zinasema ni knee problem.

LFC wame issue statement kuwa tu, remy kafail medical, hawajatoa sababu.

Speculations za MOYO zimekuja baada ya record yake ya kufail marseille.
 
Watu wanasema ilikuwa ni risky kumchukua.Remy kwasababu ya matatizo yake ya Moyo..Well, inaweza ikawa hivyo.

BUT, hebu tuangalie upande wa pili..

KABLA, ya kumsajili mchezaji, clubs huwa zinapitia kwanza profile nzima ya mchezaji, (ndani ya uwanja na nje ya uwanja), Remy failed his medical test at Merseille, lakin baada ya a lot of discussion the board decided to sign him..ni kama kwa QPR na Newcastle..so ni kitu ambacho kinajulikana WAZI kabisa kuhusu tatizo la Remy.

Na Liverpool (as any other clubs) walikuwa wanalijua hilo suala (lipo kwenye profile la mchezaji), its a football world by the way, inajulikana kuwa Remy ana tatizo hilo..

Sasa kwanini Liverpool, walimake a Move at the first place????

Tuliambiwa Remy has PASSED his medical tangu Trh 25 even skysports (most reliable football outlet in the world) reported that..

Kwanini LFC walitoa hizo habari kwenye media kuwa remy kapass medical kule boston?..kwanini liverpool walileak ishu ya paperwork delay mara ya kwanza?, what was the hold up???

Kwanini walim-bakiza US, baada ya kumaliza medical test? Even after the results he remained there under the custody of LFC..

Tuwe tnafikiria na upande wa PILI jamani..

Watu waliaminishwa kuwa Sanchez chose to LIVE LONDON. (Factor ingekuwa hivyo basi ManUtd, Man city na Liverpool wangepata tabu sana kwenye usajili aisee)...

#THINKBIG
 
LFC hawajaconfirm kuwa tatizo ni MOYO..habari za ndani zinasema ni knee problem.

LFC wame issue statement kuwa tu, remy kafail medical, hawajatoa sababu.

Speculations za MOYO zimekuja baada ya record yake ya kufail marseille.

Navyosikia mitandaoni jamaa alipaishwa Marekani wiki iliyopita kuungana na jopo la madaktari wa Liverpool na independent, hii inaonyesha kuwa Liverpool nao walikuwa na wasiwasi na afya yake. Inaonekana the second opinion(mwanzoni media zilisema alipasi medical ya kwanza) nchini Marekani ndo iliyowafanya Liverpool kughairi. Kama ingekuwa goti nadhani wangempa nafasi, magoti huwa yanapona tatizo yanachukuwa muda sana. Kama nilivyosema Van Nistelrooy naye alikuwa na matatizo ya goti, nadhani Demba Ba kabla ya West Ham au Newcastle alikuwa na tatizo hilo hilo lakini linapokuja swala la moyo ni kuchezea shilingi choo cha shimo
 
mkuu rubaman, ni wazi kabisa kuwa LFC walikuwa wanalijua tatizo la Remy..sasa kwanini walibid na kukubaliana terms na qpr??

kwanini walikubaliana mpaka personal terms na jamaa, kama tu walikuwa wanaelewa Afya ya Remy..

Na cha kuchekesha zaidi, LFC wanaleakisha upuuzi mwengine kwa based LFC journos kuwa, Eti walikuwa wamemuandalia Remy, Jezi namba 7 aliyokuwa anavaa Suarez...

Ili iweje sasa??..wanampoza au???

Uongozi wa Liverpool chini ya Ayre haupo organized kama huu wa SIMBA ya bongo huku..
 
Last edited by a moderator:

navyojua hivyo ndo hii biashara inavyokwenda, una-bid, timu zinakubaliana fees, mchezaji na agent wake wanakubali kipato cha mchezaji afu ndo medical inafanywa. Usipofanya hivi unaweza kushtukia mchezaji kashakwenda kwingine.Hata kama Liver walijua historia ya afya ya jamaa haimaanishi jamaa automatically angefeli.
 
Dejan Lovren has just joined the greatest football club in the world!
10552601_10152714745382573_5642996275526558443_n.jpg
 
inasemekkana kikosi kitakua hivi

Liverpool XI in full:
Jones, Johnson, Skrtel, Toure, Enrique, Gerrard, Henderson, Can, Sterling, Markovic, Sturridge.
Substitutes:
Ward, Coutinho, Coates, Lucas, Allen, Ibe, Kelly, Coady, Robinson, Lambert, Peterson.
 
Hahahahah!!!!!

AYREEEEEEEEEEE!

Annoucement ya mchezaji kusajiliwa inatangazwa saa nne usiku SUNDAY!!!

Really?????

TANGU LINI LIVERPOOL WAMEFANYA HICHO KITU?????

#thinkBIG
 
LFC knew about Remy medical problems kabla hata hawajamsajili.

LFC journos and skysports reported he passed the medicals.

Sunderland came with a huge bid for borini.

then Borini doesnt want to leave LFC and BR is backing that.

#DotheMaths .
 
we nipe channel inayoonesha game bhana,hzo mambo nyingine tuwe watazamaji tu
 
Back
Top Bottom