Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

dK 38 LFC wanaandamwa wakifikiwa mabeki inaonyesha mabeki muhimu hasa kulia na kushoto hasa kwa GJ no Lalana hayupo ila naongelea tulionunuwa Lallana sijui Kama atafanya uzuri.

huyo GJ hapo anacheza namba ya dogo Flanno,nadhani kule LB ni kupo wazi kabisa
 
Huyu Steven Gerrad Kama Kobe Bryant bora Kobe Bryant wapo kuongezewa miakataba sababu ya walioyafanya nyuma ila yupo taabani muda wake naye umefika mpaka sasa Markovich,Raheem,sturidge na Can kidogo wanajitahidi na Hendo sababu anasaidia SG.
 
Ila sio Lallana Huyu Markovich anajuwa kukimbia na mpira Sema Nguvu Hana EPL majembe watamvunja ila ananipa uhai Sema hii game inaonyesha mabeki watafutwe Huyu GJ hajui kukaba bench litamuita Raheem anaendelea kucheza vizuri hapa na Sturidge.
We have signed qualities, lallana and markovic are super qualities, emre and lovren are pillars
 
Lallana will shock you... I had the same concerns ila nimetumia muda kumsoma na kuangalia games agaist timu kubwa, he was always beyond average

Absolutely true,ninachompendea Lallana,yeye ni attaking MID,ila yupo vizuri sana Defensively,something that our team really misses
 
Huyu Steven Gerrad Kama Kobe Bryant bora Kobe Bryant wapo kuongezewa miakataba sababu ya walioyafanya nyuma ila yupo taabani muda wake naye umefika mpaka sasa Markovich,Raheem,sturidge na Can kidogo wanajitahidi na Hendo sababu anasaidia SG.
Mkuu umekua negative sana kwetu
 
Kwanini hatumnunui dogo wa seattle million 4 tu au tunataka wachezaji million 14 ambao Kumbe ni million 8? Bora Leo kachezesha full team Rogers ajue ukweli na ukweli mpaka sasa timu haijanirizisha na hasa back wing na Steven Gerrad.
 
ubaguzi tu huo....angekuwa mzungu story ingekuwa nyingine...pole remy
Ubaguzi? Kumbuka Bowyer alikuwa mzungu Leeds na aka fail medical sasa ubaguzi upo wapi? bowyer ali fail Medical Liverpool enzi za Gerrad Hollier na Ac Milan Cicokho medical failed sababu walimwambia ni Meno! Sie watu weusi muda mwengine kidogo ubaguzi.
 
Check wavuti.com wana links zaidi ya 50
Markovich anacheza vizuri na Can jamaa anakimbia vizuri na mpira ila kukaba kidogo anapata tabu ila bado kuelewana na wenzao japo naona Can na Markovich wanaoelewa zaidi na Hendo three link wanaonana vizuri.
 
kipindi cha pili wanaingia Allen,Coutinho na Jack Robinson Huyu GJ bado yupo tu na Jack Robinson kupelekwa kushoto mtu mwengine sitaki hata kumuona Jack Robinson na Martin Kelly wauzwe tu Can ametoka Enrique na Markovich.
 
Dk 48 tumekoswa goli GJ kasababisha jamaa kapindisha mpira umegonga mwamba na Dk 50 jamaa Ana chambua na mpira Kona dk 51 Kona Nje Beki GJ!
 
Lucas,Coutes,Martin Kelly wanaingia Out ni Steven Gerrad,Kolo Toure na GJohnson DK ni 62 LFC 1-0
 
Hendo na Coutinho napenda nachokiona kwao wanacheza vizuri sana Lambert na Ibe wameingia kwa Raheem na Sturidge.
 
Mpira Zali sana..

GJ anakula 120k per week!!!!!
babu yangu Mungu amrehemu wakati mdogo alikuwa akisikia mpira tumeenda kucheza anapiga Kelele someni mpira utawasaidia nini ni game za ujinga siku tumekuwa ilikuja news kwenye TV zamani kidogo yupo hai akasikia Jose Mourinho atakuwa analipwa 60,000per week za UK, Marehemu Babu akasema Eh 60,000per week si bora mcheze mpira wa miguu kuliko mishahara ya Serikali zetu hazisaidii hata kutowa sadaka tulicheka.
 
hahahahahah!!!!!

Mpira una zali sana aisee!!!

Uwezo mdogo sana, aliokuja kuwa nao Bwana GJ, lakin bado anakula 120k...

hahahaha!!!
 
Back
Top Bottom