LFC hawajutumia hata sumni ya Suarez itaanza week ijayo Pengine kutumika ila wachezaji wengi sawa na kuanza kujenga timu na mawasiliano upya huo ndio wasiwasi wangu nafikiri Agger na Lucas na Borini watapisha njia au Kama wote watabaki sawa pesa sababu ile January haikutumiwa tukumbuke. Can 9m,Markovich 19m,Lovren 16m,Lambert 4m Lallana 23.5m mpaka sasa ni wengi kuna ambaye nimemsahau hapo? Bora GJ apate mwenzake kulia kuanzia next week ndio za Suarez ila tusitegemee mchezaji Kuwa Kama Suarez wachezaji wa 3 Messi,Ronaldo,Suarez ni nadra kidogo Bora Di Maria na Reus na kuwapata ni Bahati nasibu wachezaji wengi tusipoangalia nafasi ya 7 inatusubiri. Katika hao niliwataja Player Mie ni Markovich na Lovren Huyu Lallana tumepoteza pesa.