nimeongea jana hapa, kuhusu hii saga ya Remy, kina The Magnificent na rubaman wakawa wanaona kama nalalamika sana!!
Remy KATOSWA kwasababu ya BORINI..
Na ni upuuzi kuona unamtosa mchezaji ambaye alikuwa na uwezo wa kufikisha magoli 15-20 akicheza na kina Anita, boby zamora, Sissokho, Ameobi..kwa ajili ya mchezaji ambaye kacheza na kina luis suarez, SG na kina Phill..na hakufikisha hata magoal ma3..
Vyombo vya habari vinamtia kiburi sana BR, anajiona kama Fergie au Mourinho..Atafeli vibaya sana.
Borini alijitafutia sababu ya kujifanya kaumia jamaa anataka kuwakomoa LFC! Hataki kwenda ila Profile pic Twitter kawacha ya Sunderland na pia kinachomletea ujeuri na Mpenzi wake aliyemvalisha pete ni mtu wa LFC demu naye anachangia jamaa asitake kuondoka ila Borini ataondoshwa tu mtaona, ila bado naamini Remy si Borini sababu watu wahabari wanapenda kuandika wanachotaka wao Yule dogo ni matatizo Yale Yale waliyokuta Marseille na Stoke sababu nasikia alishawekewa Number 7 jezi hapa ndipo japo Remy nimetaka awepo ila kupewa number 7 inamaanisha hakuna big name atayekuja LFC kwahiyo tusahau Big Players.
Ngoja afeli ili wamrudishe Rafa..
nimeongea jana hapa, kuhusu hii saga ya Remy, kina The Magnificent na rubaman wakawa wanaona kama nalalamika sana!!
Remy KATOSWA kwasababu ya BORINI..
Na ni upuuzi kuona unamtosa mchezaji ambaye alikuwa na uwezo wa kufikisha magoli 15-20 akicheza na kina Anita, boby zamora, Sissokho, Ameobi..kwa ajili ya mchezaji ambaye kacheza na kina luis suarez, SG na kina Phill..na hakufikisha hata magoal ma3..
Vyombo vya habari vinamtia kiburi sana BR, anajiona kama Fergie au Mourinho..Atafeli vibaya sana.
Ngoja afeli ili wamrudishe Rafa..
I respectfully differ with you... Liverpool are not that cheap kuendeshwa na Borini, i think kuna shida ya medical kweli
in 2010 Remy aligundulika ana heart problem kama ile ya Kanu, au Mohammed Diame wa westham... hatujui kuna risk gani imegundulika zaidi, in addition, Remy alikua na issue ya goti since january
Jana BR aliulizwa atamchezesha Lovren sehemu ipi,RCB au LCB? Na atamdrop nani kati ya Agger na Skirtel? Akawajibu reporters kuwa atakuwa anawachezesha wote wa3 kwa pamoja
Jana BR aliulizwa atamchezesha Lovren sehemu ipi,RCB au LCB? Na atamdrop nani kati ya Agger na Skirtel? Akawajibu reporters kuwa atakuwa anawachezesha wote wa3 kwa pamoja
RAFAAAAAAA!!!!
muda kama huu wa usajili alikuwa anazama Chimboni Spain hukooo..Afu anaibuka na kina Alonso, riera, Aurerio, Garcia, torres..kazama chimbo denmark kaibuka na Agger, Kazama chimbo slovakia hukooo kaibuka na skriter..
Baros aling'aa tu kidogo Monaco kule, kaenda kubeba fastaaaa!!!
kazama czech kule, akaibuka na Smicer (babu) watu wakamshangaa sana, Babu akaja kuwaua Milan nae pale instanbul..
Rafaaa..nimem-miss saaana...
inaonyesha hapo juu wote hao hakuna aliowajuwa Baros na Smicer walikuwa wa GH na si RB ila Rafael Benitez kakuza majina Alonso na Little Garcia hasa Little Garcia alikuwa anajuwa kuhangaika na kupiga mabao ya ajabu Alonso na Garcia wanajijuwa ni LFC damu 4 Life.RAFAAAAAAA!!!!
muda kama huu wa usajili alikuwa anazama Chimboni Spain hukooo..Afu anaibuka na kina Alonso, riera, Aurerio, Garcia, torres..kazama chimbo denmark kaibuka na Agger, Kazama chimbo slovakia hukooo kaibuka na skriter..
Baros aling'aa tu kidogo Monaco kule, kaenda kubeba fastaaaa!!!
kazama czech kule, akaibuka na Smicer (babu) watu wakamshangaa sana, Babu akaja kuwaua Milan nae pale instanbul..
Rafaaa..nimem-miss saaana...
inaonyesha hapo juu wote hao hakuna aliowajuwa Baros na Smicer walikuwa wa GH na si RB ila Rafael Benitez kakuza majina Alonso na Little Garcia hasa Little Garcia alikuwa anajuwa kuhangaika na kupiga mabao ya ajabu Alonso na Garcia wanajijuwa ni LFC damu 4 Life.
Hii inaonyesha Players wa nje ukiwaacha timu wanatizama Manager maharufu Rogers fundi Mzuri ila Egos na kujikosha kutaka kuwatengenezea England Team atakuja kujutia yeye na Ayre hawajui kuvutia Players kutoka nje angekuwepo Commoli alienda huko Holland akarudi na Player sio Ayre safari za nje anaenda holiday tu kutumia free ticket za team!
Skysports wameandika deal la Remy limeshindikana kutokana na Borini kugoma kwenda Sunderland.
kama Agger akibaki, atakuwa ni fourth choice..
Naiona kabisa partnership ya Lovren na Skritel...
Mkuu
Remy ana matatizo ya valve za moyo kwa muda mrefu sana hata QPR walimchukua kipindi kile kama gamble tu!Kashindwa medical tu